walimu

  1. JamiiForums Tanzania Hai: DC Sabaya awataka Utumishi kueleza kwanini hawajapeleka majina ya Walimu waliostaafu Hazina

    Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amewapa siku tatu maafisa utumishi wilayani humo kuhakikisha wanatatua changamoto za waalimu wapatao 105 wanaodai malimbikizo ya fedha zao. Aidha amebainisha kuwa fedha hizo ni pamoja na malimbikizo ya kupandishwa madaraja mishahara na fedha za kustaafu...
  2. JamiiForums Tanzania Ludewa yakabiliwa na uhaba wa walimu 400

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Andrea Tsere, amesema wilaya hiyo inakabiliwa na tatizo kubwa la upungufu wa walimu zaidi ya 400 na kuiomba Wizara ya Elimu kuangalia namna ya kuwaongezea ili kupandisha kiwango cha ufaulu wilayani humo. Akizungumza katika kikao cha watumishi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuranga: Walimu watakiwa kutowatoza Wanafunzi michango yoyote Shuleni

    Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filbeto Sanga, amewataka walimu kutowatoza michango ya aina yoyote wanafunzi ambao wanaoanza shule. Sanga aliyasema hayo jana katika kikao maalumu cha Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, kilichoitishwa kubadilisha matumizi ya fedha ili ziende kutumika...
  4. JamiiForums Tanzania Kilio cha Walimu nchini (mwaka 2021)

    KILIO CHA WAALIMU NCHINI TANZANIA! Nimepokea waraka kutoka kwa mmoja wa waalimu akiwawakilisha waalimu wenzake. Kwa sababu za unyeti wa maudhui ya waraka huo, kiapo changu cha Uaskofu kinaniruhusu kutokutaja jina la mtu aliyeniletea! Nimeamua kuuchapa waraka huo katika ukurasa wangu ili...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

    Mishahara yetu duni..... Tumekubali. Posho ya mazingira magumu hamna... Tumekubali. Madaraja hatupandi.. Tumekubali. Annual increment hamna.. Tumekubali. Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali. LAKINI Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yaani mitihani...
  6. JamiiForums Tanzania Utoro, Ulevi na kuwa kwenye mahusiano na Wanafunzi zatajwa kuwa tabia sugu kwa Walimu wa Tanzania

    Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Moses Chitama ametaja makosa sugu yanayofanywa na baadhi ya walimu nchini kuwa ni utoro, ulevi pamoja na kujihusisha kimapenzi na wanafunzi. Aliyasema hayo Januari 5 mwaka huu, wakati akiwasilisha mada kuhusu maadili, katika Mkutano wa...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza awamu ya pili ya ajira 5000 za Walimu

    Serikali imetangaza awamu ya pili ya ajira ya walimu 5,000 ili kufikia idadi ya walimu 13,000 kutokana na kibali kilichotolewa na Rais John Magufuli. Septemba 7, mwaka jana Rais John Magufuli alitoa kibali cha ajira mpya za walimu 13,000 wa shule za msingi na sekondari pamoja na mafundi sanifu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Serikali hii inatengeneza pato kubwa kuliko Serikali zilizopita, mbona haitoi ajira za walimu na watumishi wa afya kama serikali zilizopita

    Ukweli ni kwamba kabla ya awamu ya tano haijaingia madarakani, ajira za walimu na watumishi wa afya zilikuwa ni za kila mwaka, na kama sikosei, wahitimu wote walikuwa wanapata ajira. Baada tu ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani, kumekuwa hakuna ajira za uhakika kwa wahitimu wote wa...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada : kujitoa chama cha walimu Tanzania

    Wadau, Heri ya mwaka mpya, Bila shaka humu wapo watu mbali mbali, Naombeni msaada wa kujitoa kwenye hili JINI nyonyaji CWT Nataka kujitoa kwasababu zifuatazo: 1. Chama hakina msaada wote kwangu zaidi ya kukata %2 2. Mwaka wa 7 huu hakuna daraja wala nyongeza chama lipo tuu. 3. Mapato na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inawabagua walimu wenye shahada kwenye ajira?

    Kuna kitu hakipo sawa kwenye ajira za walimu. Kwenye kila kibali cha ajira kinachotoka idadi ya walimu wenye shahada wapatao fursa ya kuajiriwa serikalini huwa ni ndogo sana kulinganisha na walimu wa ngazi zingine za kielimu kama vile cheti na diploma. Kielelezo kizuri ni ajira zilizotoka juzi...
  11. JamiiForums Tanzania Siasa na walimu wapya 2020, hajapewa hela ya kujikimu wala mshahara mwaka huu

    Hope kila mmoja ameshiba pilau. Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu. Namshukuru Mungu mtoto wa baba yangu mkubwa ni moja ya kijana walibahatika kupata ajira ya ualimu mwaka huu(alikuwa mzigo), But alipangiwa mkoa wa mbali sana na tulipo hivyo baada ya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Tume ya Utumishi wa walimu adai walimu ndio wanalipwa mishahara mizuri kuliko mtumishi yeyote Serikalini

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu amesema walimu ndio kada ya watumishi wa umma wanaolipwa mishahara mikubwa kuliko kada nyingine yoyote. Naibu Katibu Mkuu amesisitiza kuwa walimu wanalipwa mishahara mikubwa sana nchi hii kuliko kada nyingine zote. Naibu waziri ameyasema hayo kwenye kipindi...
  13. JamiiForums Tanzania Kutumia C++ wakati wa course ya Artificial intelligence haifai tena, hebu walimu wa vyuo mnaohusika mbadilike

    Kwanini bado mnatumia C++ kwenye hii course? Naona bado na ninyi mnakuwa wazembe au labda vyuo husika vinawaforce kufanya hivyo, labda nipate maelekezo kidogo hapa. Maana naona PYTHON ndo imejaa vitu vingi muhimu vilivyopo kwenye hii course, but why mnadeal na algorithm pekee why not other...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli TAMISEMI imefuta Ajira za Walimu walioajiliwa wenye Ngazi ya Diploma?

    Habarini ndugu Naomba nifikishe hili suala maana nina wasiwasi sana na Ajira yangu mpaka sasa kwasababu nilisubiri sana mpaka kuipata. Siku ya Jumamosi tarehe 19 Dec nilipokea simu kutoka kwa Afisa Ajira wilaya ya Tandahimba (kwa mujibu alivojitambulisha), akisema kua Ajira yangu imesitishwa...
  15. JamiiForums Tanzania Je, hapa Serikali haijawatapeli walimu? Tafakari hili

    Kwa mujibu wa mwalimu mmoja aliyepo wilaya ya Uyui mkoa wa Tabora ambae yupo likizo kwasasa hapa mkoani Dar es Salaam anasema hivi! Kipindi cha kuelekea uchaguzi walimu waliambiwa na CWT pamoja na maafisa utumishi wajaze haraka sana fomu za Bibi na bwana salary areas claiming forms ili walipwe...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya walioripoti makazini Halmashauri ya Mbinga wahenyeshwa

    Walimu walioripoti vituo vyao vipya vya kazi kuanzia tarehe 1 mpaka 14 Desemba katika Halmashauri Ya Mji wa Mbinga wameendelea kupata shida huku wakiwa hawajui hatima yao. Mpaka sasa hawajapewa fedha yao ya kujikimu na wameendelea kusumbuliwa bila kujua hatma yao. Wenzao wa wilaya ya mbinga...
  17. JamiiForums Tanzania Maoni: TAMISEMI fanyeni haya kuboresha Mfumo wa Kuajiri Walimu

    Kwa mtazamo wangu naona haya ni maeneo ya muhimu yanayopaswa kufanyiwa marekebisho ili kuepusha changamoto zinazojitokeza wakati wa kutoa ajira. 1. Unganisheni mfumo wenu na database ya NECTA kwakuwa wao ndio wenye taarifa zote za kielimu za waombaji basi hii itasaidia pale ambapo mwombaji...
  18. JamiiForums Tanzania UNICEF: Walimu wanapaswa kupewa kipaumbele katika chanjo dhidi ya COVID-19

    Majaribio ya chanjo na Pfizer na BioNtech kwa ajili ya kupata chanjo dhidi ya COVID-19BioNTech. Majaribio ya chanjo na Pfizer na BioNtech kwa ajili ya kupata chanjo dhidi ya COVID-19. Janga la corona au COVID-19 limesababisha athari kubwa katika elimu ya watoto kote duniani na kuwachanja...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Walimu wa vyuo vikuu ambao hawajawahi kufanya kazi katika field wanazofundisha, wanaweza kuwa walimu wazuri?

    Habari wakuu, Kuna jambo moja huwa najiuliza kuhusu walimu (wahadhiri) wa vyuo vikuu ambao tangu wamalize shahada zao za kwanza na kufanya vizuri, hawajawahi kufanya kazi katika taaluma walizosomea lakini wanaendelezwa/wanajiendeleza mpaka kufikia kupata Doctorate au Uprofesa na kurudi vyuoni...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu tunaomba utusaidie walimu DIT hatujalipwa tangu Juni

    Sisi walimu wa Chuo cha Serikali cha DIT tunaofanya part time tunaomba utusaidie tulipwe mishahara yetu tunayodai tangu mwezi June na sasa ni December na hatuoni dalili za kulipwa. Kwakweli ni tatizo la muda mrefu ambalo hakuna anaeonekana kujali sio mkuu wa chuo wala nani maana semester...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…