walimu

  1. JamiiForums Tanzania Kuna hali ya kukata tamaa kwa vijana baada ya ajira mpya za walimu

    Baada ya ajira za ualimu kutangazwa vijana wengi wameonekana kukata tamaa huku mioyo yao ikifunikwa na wingu nzito la huzuni na majonzi yasiyoelezeka. Miongoni mwa mambo yaliyochangia vijana kukata tamaa ni pamoja na Tamisemi kutumia suala la umri kama kipaumbele cha ajira. Kama tunavyofahamu...
  2. JamiiForums Tanzania Majina ya walimu na watumishi wa kada ya afya waliopata ajira 2021

    Muda wowote kuanzia sasa serikali kupitia kwa katibu mkuu. OR-TAMISEMI itatangaza orodha ya waombaji waliofanikiwa kupata ajira za ualimu na afya 2021. ========= UPDATES=======
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nani msemaji wa elimu aliyebaki Bungeni? Naona walimu wa private wananyanyaswa sana

    Kuna shule flani kule Arusha inanyanyasa sana walimu na hakuna wa kuwasemea. Waajiri wanatumia kukosekana kwa ajili kunyanyasa walimu. Hiyo shule ukiajiriwa tu unanyanganywa simu huruhusiwi kutumia kabisa, huruhusiwi kuingia na kitabu darasani, walimu wanavaa uniform kama wanafunzi, wanakula...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaangalie walimu wa masomo ya Sanaa (Arts)

    Ushauri tu kwa serikali yangu ya CCM,wahitu wote wa shahada na stashahada ya ualimu wa masomo ya arts. Serikali ione aibu Hawa watu imewatenga sana, na hili ni bomu ambalo siku limelipuka CCM hamtaamni. Kama hakuna umhimu wa masomo hayo Basi ni Bora kozi hizo zifutwe vyuoni kuliko...
  5. JamiiForums Tanzania Walimu wa English medium wana nafasi kubwa ya kufunga ndoa na wazazi wakina Junior

    Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa. Kama uwezo upo, hakuna asiyependa elimu nzuri kwa watoto wake. Wakina Junior wengi hupelekwa kusoma English Medium...
  6. JamiiForums Tanzania Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

    KISA CHA ''MAGAIDI'' WAWILI: SHEIKH RAMADHANI RAJAB CHAMBUSO NA SHEIKH AHMADA KIDEGE ''Akauliza muulizaji katika kuwahoji kwa shutuma za ugaidi ni nani anawalipa kwa kazi hiyo ya kusomesha Qur'an. Jibu likatoka kuwa hakuna anaewalipa ila wanaifanya kazi hiyo ili Allah awaridhie na kesho kiama...
  7. JamiiForums Tanzania Walimu sita wanalazimika kufundisha zaidi ya Wanafunzi 700 Sekondari ya Mwabusalu-Meatu

    WALIMU SITA, WANAFUNZI MIA SABA Mwabusalu Sekondari, Meatu Simiyu (Miaka 3, DIV I-0, II-7, III-14, IV-74, O-9) Habari Gani Tanzania? Shule ya Serikali ya Upili ya Mwabusalu (SLP 232) iliyopo Wilayani Meatu, Mkoa wa Simiyu inakabiliwa na uhaba wa walimu kwa miaka mingi sasa. Mwaka huu wa 2021...
  8. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Walimu wapandishwa kizimbani kwa kughushi nyaraka ili kupata mafao NSSF

    TAKUKURU Mkoani humo imewafikisha Mahakamani Goldina Peter Minja, Rose Koshuma Msangi na Nicodemus Felician Kavishe. Goldina aliwasilisha nyaraka zenye maelezo ya uongo ya "Ukomo wa Ajira yako" Rose aliwasilisha nyaraka zisizo za kweli ili alipwe mafao ilihali bado ni mtumishi, na Nicodemus...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali haina uwezo kuajiri walimu vyuo vikuu au sio kipaumbele?

    Katika kitu kinashangaza ni hili la vyuo vya umma vya elimu ya juu kuwa na upungufu mkubwa mno wa waalimu. Yaani kitu ninachojiuliza ni kwamba serikali haina uwezo kuajiri kuziba huu upungufu mkubwa wa waalimu au ni kwamba sio kipaumbele chao. Inashangaza zinatolewa ajira za walimu wa sekondari...
  10. JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu: serikali ije na majibu ya kueleweka juu ya walimu wangapi wa shahada 'degree' iliowaajiri

    Miongoni mwa mambo yanayotakiwa kutupiwa jicho ni ubaguzi uliopo kwenye utoaji wa ajira kwa kada mbali mbali ikiwemo ualimu Serikali ya awamu ya tano chini ya utawala wa hayati Magufuli imekuwa ikitoa ajira za ualimu kwa upendeleo na ubaguzi bila kuzingatia usawa na elimu za waombaji...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ajirini Walimu wa masomo yote, walimu wa Arts wanaelemewa

    Nawasalimu kwa kina la Jamhuri ya Muungano, Kumekuwa na utaratibu wa serikali tangu mwaka 2017 kuajiri walimu wa sayansi na hesabu tu,ikitokea arts imeguswa basi ni Kiingereza pekee hali hii imefanya idadi ya walimu wa masomo mengine ya arts kuzidi kupungua mashuleni na hata kama hawapungui...
  12. JamiiForums Tanzania Bukombe, Geita: Walimu waripotiwa kuzihama nyumba walizojengewa na Serikali kutokana mauzauza

    Baadhi ya walimu wilaya ya Bukombe wameripotiwa kuzihama nyumba walizojengewa na Serikali na kwenda kupanga mjini Ushirombo kutokana na kuona mauzamauza ya sungura waliovaa tai na watu waliosimama katika nyumba hizo usiku. Hayo yamebainishwa katika kikao cha baraza la madiwani. Chanzo: Clouds...
  13. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Zipo Shule ambazo Wanafunzi hawajawahi kuwaona Walimu wa Physics na Hesabu

    Waziri Ummy Mwalimu amesema kuna Shule takriban 1,000 za Sekondari ambazo Wanafunzi hawajawahi kukutana na Mwalimu wa somo la Physics uso kwa uso. Akiwa Bungeni leo, pia amesema zipo Shule zipatazo 400 ambazo Wanafunzi wa Sekondari hawajawahi kuona Mwalimu wa Hesabu akiingia Darasani. Ametoa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Serikali angalieni maslahi ya kada nyingine pia, si kila kitu Polisi tu. Kuna Walimu, Madaktari nk

    Nimesoma mahali, serikali ina mpango wa kutoa viwanja vya ujenzi wa nyumba binafsi kwa askari polisi ili wasifedheheke pindi wanapostaafu. Rai yangu ni kwamba hili liende kwa watumishi wote isiwe kwa polisi tu. Hainiingi akili kuwa askari anaelipwa mshahara, posho ya shiling 300,000/, pesa ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ajira 5000 za Hayati Magufuli zimepotea, ajira 6,000 za Rais Samia hazieleweki. Sasa hivi tunazungumzia ajira 12,000 bajeti ijayo

    Kulikuwana ajira 5000 ambazo tulizoaahidiwa na Hayati Magufuli aliyekuwa Rais wetu mpendwa muda ukayoyoma na zikapotea bila majibu ya kueleweka mara wamesharipoti in PM voice bungeni nayo ikapita. Kipenzi chetu Mungu akamchukua kazi ya Mungu haina makosa (RIP Rais Magufuli) Tukaja mama...
  16. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na hoja ya Spika: Serikali iajiri walimu wengi wa kiume kuliko wanawake

    Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake. Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu. Kwakuwa uhitaji wa walimu...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri: Walimu wapitishwe Sekretarieti ya Ajira kama kada zingine

    Huu utaratibu wa kuwaambia watu kuomba ajira kisa tu wamesoma na wamemaliza ngazi zao elimu sio sawa, na umeshapitwa na wakati hapa nchini. Na uchumi hauna tena uwezo wa ku-accomodate majority ya walimu na hata kada za afya. Njia pekee ambayo itaisaidia kwa asilimia kubwa utapeli, rushwa...
  18. JamiiForums Tanzania Matakwa ya Spika Ndugai kuhusu Kamati za Bunge kufuatilia mchakato wa ajira za walimu. Je, Serikali inafanya udanganyifu?

    Mapema leo 24/05/2021, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai amezitaka kamati kufatilia mchakato wa ajira za walimu zilizotangazwa kwa uwazi na ukweli. Pia ameonyesha kutoridhika na ajira zilizotolewa mwaka jana huku ikionyesha kanakwamba hakuna uwazi katika kuajiri...
  19. JamiiForums Tanzania Muda wa kuomba ajira za walimu na watu wa afya waongezwa

  20. JamiiForums Tanzania Serikali inakosea sana inapohisi kwamba nchi ina upungufu wa walimu tu

    Habari wadau! Kiukweli serikali imekuwa ikiwapa sana kipaumbele walimu katika kuajiri pasipo kuangalia upungufu kwenye kada nyingine ambazo nazo zina umuhimu. Serikali ijitahidi kuajiri na kada nyingine kupunguza tatizo la ajira. Ngoja niende kwenye maada kuu kiukweli nchi haina upungufu tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…