walimu

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaotia mimba walimu nao waendelee na masomo?

    Kumekuwa na mkanganyiko kuhusu mimba mashuleni ambapo tafsiri na mitazamo huelemea wanafunzi wa kike wanaopewa mimba na watu (wakiwemo Walimu) huku wanafunzi wa kiume wanaotia mimba Walimu wao wa kike wakiachwa nje ya tafsiri na mitazamo hiyo. Zipo jamii katika nchi za Tanzania na Kenya ambapo...
  2. JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa sana na Walimu hawa. Hawakutumia busara kwenye hili

    Habari wakuu, Siku chache zilizopita imesambaa video ya Wanafunzi ambao kwa muonekano wanaonekana ni wa Shule ya Msingi (Sifahamu jina la shule). Video hii inasikitisha mno kwa kuona ambacho wanafunzi wanakiri walichofanya. Ipo hivi, hawa wanafunzi wakiume wanakiri kuwa na na tabia ya...
  3. JamiiForums Tanzania NECTA iache unyanyasaji kwa Walimu

    Moja kwa moja mada. Hivi karibuni tumeshuhudia unyanyasaji mkubwa and unprofessional kabisa kwa walimu kupitia NECTA. Kwanza kabisa NECTA na walimu ni idara mbili tofauti kabisa, NECTA husimamia natioanl assessment na walimu ni watekelezaji wa teaching and learning process,kwa Tanzania...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nguvu kuelekezwa katika ajira za walimu na matundu ya vyoo

    Baada ya kujenga madarasa 15,000 na kuwezesha wanafunzi wote waliofaulu kujiunga kidato cha kwanza, Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu inaelekeza nguvu kwenye ajira za walimu na mtundu ya vyoo. Azma ni kuimarisha ubora wa elimu kwa manufaa ya wananchi na Taifa. #MamaYukoKazini
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa walimu

    VICTORIAN GIRLS HIGH SCHOOL, Luchelele Nyamagana District, P.O.BOX 3145, Mwanza Tanzania, Tel: +255 754 446624, +255 743 475384, + 255 757 642296 Email: victoriangirls2019@gmail.com Victorian Girls High School is a private school which is located at Luchelele near St. Augustine University...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vyumba vya madarasa limekwisha. Je, kuna walimu wa kutosha kufundisha wanafunzi watakaojaza madarasa hayo?

    Igweeeeee Awali nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa kuhakikisha changamoto ya madarasa kwa shule zote za sekondari hapa nchi kubaki historia ifikapo tarehe 17 january 2022 siku shule zote zitakapofunguliwa. Lakini wasi wasi wangu upo upande wa walimu...
  7. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi walimu, wanafunzi yalivyotikisa 2020/21

    Mahusiano ya kimapenzi walimu, wanafunzi yalivyotikisa 2020/21 Dodoma. Mahusiano ya kimapenzi kati ya baadhi ya walimu na wanafunzi umetajwa kuwa miongoni mwa mambo matano yaliyowatesa walimu kipindi cha 2020/21. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Dk Willy...
  8. JamiiForums Tanzania Kati ya walimu wa vyuoni (Lecturers) na wachungaji / matabibu / ustadh rapa, ni yupi anaelemewa zaidi na vishawishi vya ngono.

    Ma lecturer Katika elimu ya juu vyuoni huwa kuna mabinti wengi kuanzia miaka 18 hadi 24 hawana hatari kama wale wa sekondari mvua miaka 30 , wote hawa hatma yao kwa kiasi kikubwa huamuliwa na lecturer, inaweza kutokea binti kafeli somo hivyo yeye mwenyewe anaweza kumfata lecturer kuomba...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi mkoa wa simiyu imeomba serikali kuajiri walimu

    Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, imeiomba serikali kuajiri walimu wengi wa kutosha, ili kukabiliana na ongezeko la wanafunzi watakaoanza masomo yao mapema mwakani. Ushauri huo umetolewa na Katibu wa CCM mkoa wa Simiyu Innocent Nazaba, wakati wa ziara ya kamati ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ni dhambi ujenzi wa madarasa ya Uviko ukaenda sambamba na nyumba za walimu?

    Hivi nani katuroga? Hawa watoto tunaoenda kuwajaza maelfu na maelfu kwa pesa za msaada huku tukijipiga vifua na kutembelea vidole kana kwamba tumetoa mfukoni mwetu, Kuna ugumu Gani angalau kuweka nyumba mbili mbili kila shule Ili kurahisisha na kuongeza morali kwa walimu? Siamini kama akili...
  11. JamiiForums Tanzania KERO: Baadhi ya Walimu wa boarding sio waaminifu

    Kama mupo walimu wa tabia hii jirekebisheni. Mzazi unahangaika unapata chochote kitu unaamua kumtumia mwanao pesa ya matumizi, kwa kuwa wanafunzi hawaruhusiwi kumiliki simu tunatumia namba zenu walimu kama munavyotuambia. Sasa baadhi ya walimu hamna uaminifu, unatumiwa pesa ya mtoto na...
  12. JamiiForums Tanzania Walimu wanawekwa ndani, wanadhalilishwa sababu ya ujenzi wa madarasa wakati si wakandarasi wala mafundi ujenzi. Nini maoni ya CWT kama chama?

    Kwa hili TAMISEMI kaeni mfikiri upya mzigo mnao watwisha walimu ukiachilia mbali mzigo wa vipindi walio nao si haki na si sawa Na CWT mpo kimya hata hamfuatilii mkaona ni madhila gani walimu walio chini ya chama chenu wana nyanyasika na kusurubishwa kwa kazi ambayo hawakuisomea na wala hawana...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Clubhouse katika mjadala wa wazazi na walimu kuhusu kuwapa wanafunzi kazi za shuleni wakati wa likizo

    Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika leo Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse. Kushiriki mjadala huu bonyeza...
  14. JamiiForums Tanzania Wanahitajika walimu kufundisha part time mkoa wa Mwanza

    Tunahitaji walimu wa Physics, Chemistry, Biology, History, Kiswahili, Language,Adv Mathematics, Commerce, Accountancy kwa A level na O-level amabao wapo mkoa wa mwanza kwa kazi ya kufundisha part time. Tuwasiliane pm kama upo tayari.
  15. JamiiForums Tanzania Mfumo unaotoa tathmini ya Tija ya tution inayofanywa na walimu Nyumbani

    Habarini wana bodi. Thred hii iende kwa wazazi wote ambao wanajituma kwa mali na hali kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata elimu yenye ubora na viwango kwa kuzingatia mafunzo muda wa ziada/tution. Kwa muda mrefu nimeshiriki katika kutoa tathmini ya maendeleo ya watoto ya kielimu kama...
  16. JamiiForums Tanzania Tukimalizana na madarasa tujenge nyumba za walimu

    Nitoe Kongole nyingi kwa ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 10 yanayoendelea kujengwa nchi nzima, lengo ni lile lile la kuboresha Elimu! Hata hivyo kwa mustakabali mzima wa kuweka ufanisi katika ufuatiliaji nashauri nguvu nyingine kama hii iwekwe kwenye ujenzi wa Nyumba za walimu...
  17. JamiiForums Tanzania Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

    Viwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range New Government Salary Scales: Approved TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/- TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/- TGTS F1 = 1,235,000/- and TGTS G1 = 1,600,000/- TGTS H1 = 2,091,000/- and TGTS I = 2,810,000/-...
  18. JamiiForums Tanzania Walimu Arusha watakiwa kwenda uwanjani Sheikh Amri Abeid kesho kwaajili Rais Samia

    Kesho kunafanyika maadhimisho ya wiki ya Usalama barabarani mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan. Katika kuhakikisha shughuli hiyo inafana, walimu wote wa shule za sekondari na msingi Arusha, wameagizwa kwenda kuhudhuria bila kukosa shughuli hiyo. Walimu pekee ambao...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi/ajira kwa walimu kutoka taifa online school

    Job Summary We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE. Job Description A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini wahadhiri hawapelekwi tena kusoma 'postgraduate degrees' kwenye vyuo vyenye hadhi kubwa duniani kama ilivyokuwa zamani?

    Habari wadau, Nimegundua wahadhiri wengi wa vyuo vyetu vikuu wapya kama udsm, udom, mzumbe etc hawaaandaliwi kwa kupewa elimu nzuri kama wazee wa zamani. Ni kawaida sana siku hizi kukuta lecture cv yake imejaa local university tu kuanzia degree ya 1 mpaka Phd. Huku ukicheki wahadhiri wazee Ma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…