walimu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Udahili wa Walimu wapya usitishwe au kuwekewa masharti magumu

    Kuna idadi kubwa ya waalimu graduates kutoka vyuo mbalimbali alafu Ajira za ualimu zimekuwa finyu. Kukabiliana na janga hili la waalimu jobless yafuatayo yafanyike: 1. Serikali iache mara moja kuweka kipaumbele cha mikopo ya elimu ya juu kwa watu wanaosomea ualimu badala yake ikopeshe vijana...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Mishahara ya walimu kuongezwa kwa 88%

    Kama sehemu ya Mikakati inayolenga kuboresha Maisha yao, Walimu wa Shule za Msingi Nchini Rwanda watapata nyongeza ya 88 katika Mishahara kuanzia Agosti Mbali na nyongeza hiyo kwa ngazi na Msingi, Waziri wa Elimu amesema Mishahara ya Walimu wa Shule za Sekondari nayo itaongezeka kwa 40% Pamoja...
  3. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Kama walimu wanalipwa mishaara kupitia NMB, benki yenu ni nani ataikuza?

    Salaam Wakuu, Moja kati ya mambo yanayonishangaza ni kuwa Chama cha Walimu Tanzania CWT walianzisha bank yao inayoitwa Mwalimu Commercial Bank ila ajabu no kuwa hadi Leo mishaara ya walimu bado inapitia NMB na mikopo pia wanakopa kupitia NMB. Napenda kuwaambia CWT kuwa wasitegemee maendeleo...
  4. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali iache kutumia walimu kwenye zoezi la Uchaguzi Mkuu

    Ni wakati muafaka Sasa walimu waachwe wapumzike na mazoezi haya kama ilivyo kwenye sensa, post code na mazoezi mengine ya kitaifa serikali itumie Hawa vijana wasio na ajira ili kuinua vipato vyao. Tuache kuwatumia walimu kwenye uchaguzi Tutumie Hawa vijana wasio na ajira. Mwisho.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mliokaririshwa uongo kuwa mishahara ya walimu ni midogo kuliko watumishi wengine wa serikali, nawaanikia hapa

    Jamii ya watanzania wanavyoelewa ni kwamba kazi ya ualimu ndiyo yenye mshahara mdogo kuliko kazi zingine zote. Hivyo hii imepelekea hadhi ya mwalimu kwenye jamii kushuka sana na mwalimu kuhesabika kuwa ni duni katika jamii. Lakini hii si kweli hata kidogo. Msichana akitaka kuchumbiwa na mwalimu...
  6. Kikapuu

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu bora ni ipi?

    Utangulizi. Elimu kwa maana pana ni tendo au uzoefu wenye athari ya kujenga akili, tabia ama uwezo wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika dhana ya kiufundi, elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine (Wikipedia). Elimu...
  7. sepema

    JamiiForums Tanzania Mzazi unayewachukia walimu, huwa unawapeleka watoto wako kusoma wapi?

    Ni jumatatu nyingine, salaam kwenu. JF nimoja Kati ya majukwaa ya kijamii ambalo nadiriki kusema limesheheni karibia watu wa kada/tasnia zote zilizomo humu duniani. Namaanisha Kuna watu wenye uwezo mkubwa wakufikiri, wengine uwezo wakati,uwezo wachini na wengine hawajijui kuwa wapo kweny...
  8. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU WAHESHIMIWE: Kila anayeilaumu serikali kuhusu nyongeza ya mshahara anabambikizwa kuwa mwalimu, tabia hii ikome!

    Walimu wanabezwa sana, hii siyo sawa! Kila anayelalamika anabambikizwa kuwa mwalimu kana kwamba ualimu ni kazi ya kudharauliwa! Sisemi kuwa walimu hawajalalamikia hii nyongeza ya ajabu ajabu ya mshahara, ila siyo kweli kuwa watumishi wengine hawalalamiki. Tunajenga taswira kuwa ualimu ni kazi...
  9. vnn

    JamiiForums Tanzania Bifu kati ya wafanyakazi (walimu) na graduates (Jobles) inazidi kupamba moto

    Hapa katikati naona kama bifu kati ya wafanyakazi hasahasa walimu na jobless inazidi kuota mizizi hii nibbaada ya walimu wengi kupigana vikumbo na jobless kwenye kazi za sensa ongezeko la mshahara wa 23.3% isiyoeleweka limefanya walimu wadhihakiwe kila sehemu, sasaivi kila kitu wanaangushiwa...
  10. fesyto4

    JamiiForums Tanzania Kwani Walimu wamewakosea kitu gani Watanzania?

    Ndugu wana jukwaa hili habari za Jumapili! Ndugu zangu nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa hoja mbalimbali ktk jukwaa letu hili lkn kwann Walimu wamekuwa wakitukanwa kwa kila aina ya maneno kama vile wao pekee yao ndiyo watumishi pekee ktk hii Nchi? Kwa mfano kila anayeandika habari ya maisha...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Walimu tuna hali ngumu

    Walimu tuna hali ngumu (walimu) Na sisi tuna umuhimu (walimu) Tutazua kitimutimu (walimu) Hadi wizara ya Elimu (Walimu) Nimeukumbuka huu wimbo wa wagosi wa kaya jamani
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Siku walimu watakapogundua kuwa wanafunzi ni wateja wao ufaulu utaongezeka na watoto makini watazalishwa. Taifa litasonga

    Habari! Kuna kitu hakiko sawa kwa watumishi wa umma karibu kada zote. Wanahudumia watu ili liende tu wakijua mshahara na posho viko palepale. Leo ngoja niwazungumzie walimu. Mwanafunzi ni mteja wa mwalimu hivyo inapaswa amhudumie kama vile costomer care wa mitandao ya simu wanavyohudumia...
  13. Investaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta walimu tufanye project!

    Habari wasomi. Kama title inavyojieleza hapo juu, nahitaji walimu wa masomo yote ya O-LEVEL & A-LEVEL pamoja na CPA kama wapo. Kwa walimu wa secondary kazi yao kubwa watakuwa wana solve past paper za necta na mock pamoja na kuweka notes. Kwa baadae nafikiri tunaweza kuanza ku solve pia...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Morogoro apiga marufuku Walimu kuwekwa ndani

    RC apiga marufuku walimu kuwekwa ndani Martine Shigela alitoa agizo hilo wakati wa akifungua kikao cha wadau wa elimu wa mkoa wa Morogoro katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) kilicholenga kutathmini masuala ya sekta hiyo. Kikao kazi hicho cha wadau wa sekta ya elimu mkoa...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walimu wa Kenya changamkieni fursa kama kawaida, Uganda yarasimisha Kiswahili

    Sasa Kiswahili ni lugha rasmi Uganda, na kitatahiniwa kuanzia shule za msingi hadi sekondari, hii fursa nzuri kwa walimu wetu hususan ale ambao ako vizuri kingereza maana lazima upate pakuanzia kuwafunza Kiswahili..... Kampala. Uganda’s cabinet on Tuesday July 5, approved the implementation of...
  16. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Kisa QNET, Walimu 8 wafukuzwa kazi Geita

    By Rehema Matowo Geita. Tume ya utumishi wa walimu wilayani Geita mkoani Geita imewafukuza kazi walimu wanane kwa utoro kazini. Walimu hao ambao sita ni wa shule za msingi na wawili wa sekondari, wanadaiwa kujishughulisha na biashara za Qnet badala ya kumtumikia mwajiri huku wengine wakidaiwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Siku hizi naona Walimu wana maisha mazuri sana

    Nimepita sehemu fulani mitaa ya Madale kuna shule moja ya secondari ya kata, nimekuta magari kama 20 hivi yamepaki nje. Nikajaribu kuuliza kama hayo magari ni ya walimu au wazazi wamekuja kuhudhuria vikao vya shule, nikajibiwa ni ya walimu. Kumbe walimu mambo mazuri siku hizi eeh? Mitano tena...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuchagua walimu kwenye ajira ni VIZURI MNO lakini havifuatwi KIKAMILIFU

    Ajira za walimu ndo vizo zimeshatoka tayari na tunaipongeza serikali kwa kutoa ajira hizo. Vigezo vilivyotumika NAKUBALIANA NAVYO ila kwa bahati mbaya sana HAVIFUATWI kwa ukamilifu wake na nitatoa mifano. Vigezo hivyo ni: 1. Mwaka wa kuhitimu ni kigezo cha kwanza. 2. Waliohitimu mwaka mmoja...
  19. system hacker

    JamiiForums Tanzania Book Keeping, Commerce na Economics yawe masomo ya lazima ili vijana wajiajiri

    Duuuu ni ngumu sana kuelewa watu wa Serikali kusisitiza watu wajiajiri; lakini walau watu hawajengewi mentality ya ki business. Kwa Tanzania yetu mandatory subjects yangekuwa: • Book Keeping • Commerce • economics • Computer Studies Imagine wale F.4 wanaomaliza wakiwa na Div. 0 / IV na hawana...
  20. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

    Wana JamiiForums habari za leo Nimeona nilete Uzi huu kwanii yamebaki Masaa machache waziri mwenyedhamana kutangaza majina ya waliopata kazi kulitumikia Taifa katika kada yavualimu na kada ya afya. Hivyo basi wale mtakao fanikiwa njooni hapa tujuzane . ili uweze kupata mwenzio, .au wa njia...
Back
Top Bottom