Rwanda: Mishahara ya walimu kuongezwa kwa 88%

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kama sehemu ya Mikakati inayolenga kuboresha Maisha yao, Walimu wa Shule za Msingi Nchini Rwanda watapata nyongeza ya 88 katika Mishahara kuanzia Agosti

Mbali na nyongeza hiyo kwa ngazi na Msingi, Waziri wa Elimu amesema Mishahara ya Walimu wa Shule za Sekondari nayo itaongezeka kwa 40%

Pamoja na kuboresha Maslahi ya Walimu, nyongeza hiyo pia inalenga kukuza ubora wa Elimu katika Shule za Umma.
---

Primary school teachers in Rwanda will get an 88% pay rise starting in August.

This is part of the country’s incentives aimed at improving teachers’ livelihoods.

Under these new revisions, secondary school teachers will also see their pay increased by 40%, the country’s education ministry announced on its official Twitter page on Monday, August 1.

The communique noted that the net salaries of certificate holders in the teaching profession which currently start at 50,849 FRW (Ksh.5,856) will go up to Ksh.11,010.

“The salaries for Head Teachers, Deputy Head Teachers, and support staff working in public and government-aided schools have also been revised upwards. These decisions come into force from the payment of the teacher salaries of August 2022,” the statement added.

Whereas Rwanda has increased teachers’ salaries by 10% since March 2019, the country’s The New Times newspaper reports that over 1000 teachers leave their profession monthly in search of better welfare.

The new pay rise is part of a package that will incorporate incentives to improve the welfare of teachers and promote the quality of education in public and government-aided schools for general education and TVET.
 
Hata Tanzania itaanza kuboreshwa baada ya kukamilika kwa mtaala mpya na kuacha kubrecruit walimu walio na ufaulu wa Kati yaani div.3
 
Na ninaongezea kwenye mada,Rwanda imepanua wigo wa kutafuta na kuajiri waalimu wapya, Zimbabwe 🇿🇼 waalimu wake ni hot cake, Rwanda 🇷🇼 wameamua kuajiri waalimu kutoka Zimbabwe!,sisi tuendelee kuwa mazuzu
 
Hivi basi la Trinity linaloenda Rwanda ofisi zao zipo wapi hapa Dar? nauli ninayo
 
Kagame ana Nini lakini? Mbona anatupiga vijembe..?!! Uku mama yetu anaupiga mwingi bana alaah..mumeona juzi mishahara imepanda hahaha 23% hiyoooo...

Em Kagame atuache na mama yetu aupige mwingi Hadi mafuta yafike 4000 ndio tutaita maji mma hahahaha...🤣🤣🤣🤣
 
hamna lolote uwezo huo hawana ni mbinu fulanizakutaka waalimu waende kule
maana hawana walimu kabisa, pia mazingira yao ya kazi ni magumu sana huruma mno
 
Back
Top Bottom