Walimu wa Mkataba (Mradi wa GPE-TSSP): Mikataba inaonesha tumeajiriwa na Wazazi na si TAMISEMI, tuna mazingira magumu.
Ujumbe wa Walimu wa Mkataba chini ya mradi wa GPE-TSSP, Juni 26, 2026:
Napenda kuwasilisha kwenu baadhi ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo sisi walimu wa mkataba chini...
Waalimu wana malalamiko mengi sana. CCM imeiteka CWT ili iwacontrol waalimu na kuwapumbaza. Cwt inawakata waalimu hela asilimia 2% kila mmoja kwa idadi ya waalimu tulionao karibia laki 4 hadi 5 ambapo kwa uchache karibia bilion 2 hadi 3 kila mwezi.
Kundi hili ndilo kundi linaloongoza kwa...
Sisi walimu wa ajira mpya 2026 tunaonyesha masikitiko yetu kutokana na kutopatiwa fedha za kujikimu, ilhali watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya tayari wamepata stahiki hizo kupitia TAMISEMI.
Tunaiomba Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kutoa ufafanuzi kuhusu tofauti hii ya utoaji wa stahiki...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
haki
haki sawa
kujikimu
malipo
mpya
sawa
tunahitaji
walimu
Ukweli lazima usemwe. Hii ni wizara ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania.
Kuna vijimtu vipuuzi na vipumbavu kuwa wasimamizi vinadhania vimemaliza maisha.
Vinanyanyasa watumishi na kuwatukana kama housegirls wao.
Tangu Rizimoko aingie madarakano kama waziri wa menejimenti ya utumishi na...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano ibara ya 20(1) inasema, “Kila mtu anao uhuru wa kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika, kushirikiana na watu wengine, na kwa ajili hiyo kutoa mawazo yake hadharani na kuanzisha na kujiunga na vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa...
KERO
Mimi kama mzazi na mdau wa elimu shule ya sekondari mchungaji mwema iliyoko chini ya dayosisi ya Kagera nakelwa na mambo kama haya
1. Walimu KUNYIMWA MKATABA ambao ni silaha ya kulinda ajira yao Kwa mujibu wa SHERIA.
2. Mishahara ya kusuasua Kwa WAFANYAKAZI na kulipwa kinyume na SHERIA...
Anonymous
Thread
changamoto
mchungaji
mishahara
mwema
sekondari
utawala
walimu
Huu ni mjadala huru :
Wahitimu wa taaluma ya elimu katika masomo ya sanaa nchini Tanzania wanapitia kwenye kaa la moto kwa muda mrefu sasa, watu wamesota miaka zaidi ya kumi lakini hakuna anayehisi maumivu yao.
Serikali na mamlaka tatizo si kulimaliza bali hata kulipunguza haijatoa mwelekeo...
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu walimu tuliopata ajira mwaka 2025 turipoti kazini, lakini bado hatujalipwa fedha za kujikimu ambazo ni stahiki ya kila mtumishi wa umma. Kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma, fedha hizi zinapaswa kulipwa ndani ya siku saba baada ya mtumishi kuripoti katika...
Anonymous
Thread
ajira
fedha
fedha za kujikimu
jiji
kujikimu
mbeya
walimu
Malenga wapya muhali gani?? Me muhenga naendelea vyema na ombi langu kubwa ni Mola atuvushe katika hali yetu ya Taifa kwa sasa.
Kuna uzi uliwekwa humu kama kero za mafundi sanifu maabara wakiiomba(kuitaka) serikali kuangalia upya maslahi yao na miundo yao ya mishahara na hata uboredhaji wa...
Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu uhaba mkubwa wa walimu wa somo la Literature katika shule nyingi za serikali kwa ngazi ya kidato cha tano na sita.
Serikali ilianzisha kombi mpya za masomo, ikiwemo HGLI na HKLI mwaka 2023, lakini hadi sasa hakuna ajira ya kutosha ya walimu wa somo la Literature...
Wazazi na wanafunzi tunalalamikia tabia ya baadhi ya walimu wa Shule za Msingi Gmhasa iliyopo Ilala, Dar es Salaam kuwashinikiza watoto kuhudhuria shule siku za mwisho wa wiki (Jumamosi), pamoja na kuchangishwa fedha za mitihani.
Inadaiwa kuwa baadhi ya mitihani hulipiwa, jambo ambalo linaibua...
Anonymous
Thread
hela
ilala
mitihani
msingi
shule
shule za msingi
walimu
watoto
Mimi ni mmoja wa walimu waliopata uhamisho katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara. Uhamisho wa kwanza ulifanyika mwezi Desemba 2023 kwenda shule mpya za Mkapa Wasichana Sekondari na Rukumbi Sekondari. Baadaye, mwezi Julai 2024, kulikuwa na uhamisho mwingine kwenda shule za...
Sisi Wahitimu tuliomaliza masomo yetu kati ya mwaka 2014 na 2019 tunaomba Sekretarieti ya Ajira izingatie utaratibu wa kutenga au kugawanya baadhi ya nafasi za ajira kati ya wahitimu wa muda mrefu na wahitimu wa karibuni. Hatua hii itasaidia kutoa fursa sawa kwa Watanzania wote wanaotafuta...
Anonymous (3827)
Thread
maoni kwa tamisemi
msingi
sekretarieti ya ajira
walimu
wizara ya maendeleo ya jamii
Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au wa mkataba katika shule za msingi kupitia mradi wa gpe, ambao tuliletwa na tamisemi. tupo nchi nzima, lakini mpaka sasa hatujalipwa. mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi februari 2026, tena baada ya kutoa kero yetu hapa jamii forums ndipo malipo yakafanyika...
Anonymous
Thread
gpe
kero
kujitolea
kupitia
mkataba
mpaka
mradi
msingi
nchi
nchi nzima
shule
shule ya msingi
walimuwalimu wa kujitolea
Huenda kada ya walimu ni kada yenye laana, masikini na isiyo jielewa, hii ndio kada pekee inayo tumiwa na CCM kuwekwa madarakani, Oktoba 29 wao pia walichangia kwa asilimia kubwa sana, vipande vya laki na 40,140000 walivyo pewa wakaona ndio posho ya maana, sasa hivi wanalia mtaani wamegomewa...
Habari Wana nzengo
Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza...
MHESHIMIWA WAZIRI.
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Mji wa Serikali Mtumba Mtaa wa Utumishi.
S.L.P 670.
DODOMA, TANZANIA.
Yah: MAPUNJO YA DARAJA KWA WALIMU WALIOAJIRIWA MWAKA 2014.
Husika na somo tajwa hapo juu.
2. Kwa heshima kubwa, nakuandikia barua hii...
Sisi walimu ajira mpya tulioajiriwa Februari na Machi mwaka 2025 katika Wilaya ya Rorya, tuliandika hapa JamiiForums mapema mwezi huu kuwa hatujathibitishwa kazini.
Soma: Ajira Mpya Wilaya ya Rorya hatujathibitishwa kazini tangu Januari 2025
Tunashukuru kwamba baada ya andiko hilo kutoka...
Kuna changamoto katika Nanyumbu District Council inayohusu ucheleweshaji wa malipo ya gharama za uhamisho kwa watumishi, hususan walimu wa sekondari. Hali hii imekuwa ikileta usumbufu mkubwa kwa wahusika kutokana na mazingira ya kazi na maisha wanayokutana nayo baada ya kuhamishwa.
Uhamisho...
Anonymous
Thread
malipo
malipo ya uhamisho
nanyumbu
ucheleweshaji
uhamisho
walimu
Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu.
Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.