Good afternoon class
Naomba kuuliza hivi walimu wanashida gani? Maana kwenye hatua zote tatu asilimia 50 lazma watapeliwe
Hatua ya kuomba kazi hapa wanapiga sana, vilio hapa ni vingi mno
Hatua ya kuingia kazini, hapa waliobahatika kupata napo utapeliwa sana wakipata visenti vyao sio na...
Nimeamka na mawazo sana. Yaana wanakata pesa ambayo haihusianai na mkopo kabisa.
Alafu nafika hapo wanajifanya kupigiana simu kana kwamba hawajui huo uhuni
Eti labda system. System gani hiyo ya Crdb tu ndio inachukua pesa zisizo husika.
📢 TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE 📢
Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza.
🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana:
🗣 LUGHA ZA KIGENI
✅ English
✅ French
✅...
Kura yako, haki yako, jitokeze kupiga kura
Moja kwa moja kwenye mada, swala la bikira limekua gumu sana kulipata kwa wasichana wengi katika dunia ya sasa si Tanzania wala popote pale mabinti wanapoteza ubingwa wa makombe yote mawili hata kabla ligi haijaanza.
Sasa basi katika tafiti zangu...
Wakuu habar za asubuhi
Kuna karesearch nimekufanya kwa kuzingatia mambo fulan fulan nimekuja kugundua asilimia karibia 70 ya wafanyakazi wa serikali wanaongoza kwa kuchapiwa wake zao ni walimu.
Pia asilimia 90+ ya wafanyakazi wa serikali wanaongoza kwa usimp ni walimu.
Yani wao kugongewa wake...
Kwenye ile clip ya Muliro na Mafwele, Mafwele ametamba na kutoa idadi ya wanajeshi wa JWTZ waliowateka ambao bado wanawashikilia, akawataja idadi ya madaktari waliowateka na kuwashikilia, akataja idadi ya walimu waliowateka na kuwashikilia, amewataja wahasibu waliowateka na kuwashikilia...
Walimu saba kati ya 12 wa Shule ya Msingi Isenegeja, Kata ya Mwisi, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, wameondolewa kazini kufuatia kifo cha mwanafunzi William Kapingu (12), aliyefariki dunia baada ya kuzama kisimani alipokuwa akichota maji kwa maagizo ya walimu.
Wakazi wa eneo hilo waliwakataa...
Mkoa fulani umeachia majina ya watakaosimamia Uchaguzi Mkuu 2025.
Wengi wao ni walimu. Watafanya interview kuanzia week inayoanza jumatatu.
Oktoba imeanza kuchangamka
Nimekutana na mwalimu wangu wa shule ya msingi kwa sasa ni mstaafu ila mpaka jina langu kaniambia.
Walimu wanakipawa gani kujua watu na kila siku wanapokea idadi mpya ya wanafunzi.
Nipo zangu Nachingwea! Ajira mpya lakini bado hatujalipwa lakini hainizuii Oktoba kutiki.. nitatiki miye japo najua watu wale wanakeleka. Na bado! Mpwayungu Village tusemee
Mamlaka za usimamizi wa mtihani zifatilie hili Jambo, Kwimba walimu msingi wanasimamia mtihani ngazi zote, na walimu Sekondari wanachukuliwa wachache tu kama danganya toto.
Chunguzeni mamlaka husika kuna siri ipi? Kwanini wanaacha utaratibu wa kubadilishana? Yaani walimu secondari wasimamie...
Anonymous
Thread
msingi
mtihani
ngazi
shule
shule ya msingi
usimamizi
walimu
Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums.
Nyingine soma
~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha za kujikimu
geita
geita vijijini
hela
kujikimu
march
mpaka
mpya
vijijini
walimu
watumishi wa umma
wilaya
wilaya ya geita
Habari,
Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC.
Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC
Naona...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
business
masomo
mikataba
mpya
studies
tsc
ualimu
walimu
wamegoma
Walimu: Injini ya Maendeleo au Mashine Isiyotambua Thamani Yake?
Leo nimeketi na kutafakari kwa kina. Nimejiuliza swali gumu lakini la lazima:
Je, walimu ndiyo kundi la watumishi wajinga, wasio na mshikamano, wasiojua kesho yao?
Ni swali chungu, lakini si matusi—ni mwaliko wa kujitazama...
Ni kazi inayodharauliwa na kubezwa sana na watu wengi lakini je uhalisia ukoje?
Nimepiga stories mbili tatu na walimu wa shule za msingi hasa ukanda wa Temeke. Darasa la nne wako watoto 450+
Hawa watoto kila Alhamis wanachangia 1000 ya mtihani. Hapo wako walimu 4. Kila Jumamosi wanakuja kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.