walimu

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mama na Walimu wanaharibu afya ya akili ya Mwanafunzi wa Kidato cha 4 Shule ya Kimbiji Secondary School

    Hii si hadithi, ni maisha halisi ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ni kuhusu mwanafunzi wa kike anayesoma Kidato cha Nne katika Shule ya Kimbiji Secondary School. Msichana huyo jina nalihifadhi amekuwa katika mgogoro wa muda mrefu na mama yake mzazi, ambapo mama anashinikiza mwanaye aondolewe...
  2. W Mallya

    JamiiForums Tanzania Tunaomba pepms isiwe kikwazo Kwa walimu kupanda Madaraja

  3. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Mh.Waziri mkuu wa Tanzania Mwigulu Lameck Nchemba tembelea wilaya ya Kilindi Tanga uwaokoe walimu wanaofanyiwa udikteta wa hali ya kutisha bila kutete

    Kwanza nakusalimia Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.Kazi iendelee. Naandika Kwa maumivu makali moyoni juu ya udikteta wa kutisha unaofanywa Kwa walimu wanaodai madai mbalimbali hapa wilayani Kilindi Tanga.Pesa za likizo hazitolewi Kwa wakati Kwa watumishi na zikija zimekatwa. Pesa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya Kasulu DC, Walimu tulioajiriwa 2025 hatujathibitishwa kazini

    Walimu tulioajiriwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu (Kasulu DC) mwezi Julai 2025 bado hatujathibitishwa kazini hadi sasa. Hatujapewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa uthibitisho huo, hali ambayo imekuwa ikitutia wasiwasi na kutokuwa na uhakika kuhusu ajira zetu. Tunaomba...
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya walimu kupiga wanafunzi mpaka kuwaua

    Frustration, Frustration, Frustration. Asilimia 60% ya walimu wamekata Tamaa, tena Frastruation zao sio kwasababu ya mshahara, hapana Frustration kutoka kwa Mkuu wa shule, mwenyekiti wa mtaa, Diwani, MEK na watumishi wote wa halmashauri wanaweza kumpiga kofi mwalimu. Imagine Mwl anafundisha...
  6. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini walimu watoto wao wasisome bure chuo kikuu yaani isiwe mkopo.

    Walimu wanamchango mkubwa sana kwa taifa. Imagine mwalimu anafundisha madarasa mangapi ? Let say kafanya kazi miaka 15, watu kibao wamepita katika mikono yake. Fikiria mwanajeshi ana mambo mengi ya kumpa ahueni kwanza nauli halipi. Pia hata bank riba za mikopo ni ndogo. Pili wanaposho kila...
  7. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mara: Walimu sita wa kidato cha Sita mbaroni kwa mauaji ya mwanafunzi wao

    Waalimu sita wa shule ya sekondari Makongoro iliyopo wilaya ya Bunda mkoani Mara wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Petro Chisumo (23) aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha sita shuleni hapo. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi...
  8. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Walimu sita mbaroni kifo cha mwanafunzi Bunda

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo, amethibitisha kifo cha mwanafunzi Peter Maira, aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya sekondari Makongoro, iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda. Kamanda Lutumo amesema mwanafunzi huyo alifariki dunia wakati akipatiwa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki muda mfupi baada ya kuadhibiwa shuleni, tunawahoji Walimu 6

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Pius Lutumo akifafanua kuhutu tukio la Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro kufariki Dunia muda mfupi baada ya kuadhibiwa kwa viboko na Walimu wake. Shule hiyo ipo Bunda Vijijini mkoani Mara...
  10. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Makongoro - Bunda Vijijini amefariki yadaiwa ni baada ya kuchapwa na Walimu 30

    Kuna Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro iliyopo mkoani Mara - Bunda Vijijini kachapwa viboko na Walimu takribani 30 mpaka amefariki Dunia, tukio limetokea SaaSaba Mchana Agosti 19, 2026. Jeshi la Polisi latoa tamko ~ RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki...
  11. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu Kilindi laana ya dua mbaya iwe juu yenu

    Habari za mchana. Malengo ya chama cha walimu ni kuwatetea na kupigania haki za walimu kwa mwajiri.Chama cha walimu Kilindi Tanga hamjali shida za walimu kabisa mnajali kulinda vyeo vyenu laana iwe juu yenu katika kila jambo katika maisha yenu.Ameen. Walimu wanakatwa pesa za likizo bila huruma...
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuharakisha Leseni za Walimu, Madalali na WAendesha Guta za umeme zisizo na namba plate!

    Walimu ni kada muhimu inayodharaulika. Siyo kwamba si wasomi ila kwakuwa ukitoka tu chuo basi unafundisha lakini wanapswa kukata leseni ili waheshimike kama mawakili wanavyoheshimika duni a nzima Madaktari bingwa na wa jumla (Physicians Wauguzi waliosajiliwa (Registered Nurses - RN) Wafamasia...
  13. T

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu AJIRA mpya halmashauri ya wilaya ya Nzega -Tabora hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Halmashauri ya wilaya ya Nzega -Tabora haijatulipa fedha za kujikimu walimu wa ajira mpya 2026 badala yake imewalipa watumishi wa afya pekee, hii sio haki kwa watumishi wengine Kwani wote tuna haki ya kulipwa fedha hizo, mkurugenzi amekaa kimya na hakuna majibu ya kueleweka kuhusu jambo hili.
  14. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Walimu 56 wakihama chama cha CWT Kilindi Tanga

    Walimu 56 wakihama chama cha walimu CWT kilindi Tanga.Hatua hiyo wamefikia kutoa notisi ya mwezi mmoja kwa mwajiri. "Mimi nadai pesa za uhamisho mwaka wa 6 huu mbaya zaidi kila wanaposema wanatulipa tunaishia kupewa laki mbili,tatu au nne sisi walimu wa msingi lakini wenzetu wa sekondari...
  15. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya walimu Kilindi Tanga yafika ofisi ya waziri mkuu Kwa mafanikio.Cwt kilindi kuburuzwa katika vyombo vya kisheria

    Habari za muda huu. Kwa mafanikio makubwa katika historia ya maendeleo ya kielimu wilayani kilindi.Mjumbe maalumu alieandaliwa na walimu hao wenye malalamiko ya madai mbalimbali aliwajulisha walimu kuwa kazi aliyotumwa ameifanya kikamilifu huku akiwatumia picha kadhaa za ushahidi wa kufanikisha...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa muda (Part-Timer) – Chuo cha UDOM, mwezi wa 5 sasa tunasotea malipo yetu

    Nimekuwa mmoja wa Walimu wa mkataba (part-timers) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kazi yetu kuu ni kusaidia kufundisha wanafunzi wa kozi za Diploma ya Famasia (Pharmacy) na Diploma ya Maabara ya Tiba (Medical Laboratory Sciences) chini ya Shule Kuu ya Tiba (School of Medicine). Wengi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wapya Wilaya ya Bukombe fedha za kujikimu tumelipwa 280,000 kati ya Laki 9.5

    Walimu wapya Wilaya ya Bukombe fedha za kujikimu tulitakiwa kulipwa kiasi cha takribani shilingi 950,000 lakini hadi sasa tumelipwa shilingi 280,000 tu. Hatujapewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kupunguzwa au kucheleweshwa kwa sehemu iliyobaki ya fedha hizo. Kinachotushangaza zaidi ni kwamba...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Umoja wa Walimu wasio na ajira (NETO) tumewasilisha taarifa kuhusu kutotekelezwa kwa ahadi za Serikali na kutopatiwa majibu ya changamoto

    Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (NETO) uliwasilisha taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kutotekelezwa kwa ahadi za Serikali na kutopatiwa majibu kuhusu changamoto zinazowakabili. Katika kikao chetu cha tarehe 12 Machi 2025, tulishangazwa kuona baadhi ya vyombo vya habari...
  19. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Walimu wa shule binafsi Wilaya ya Ngara hatuteuliwi kusimamia mitihani ya NECTA tangu 2021?

    Tunaomba ufafanuzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kuhusu uteuzi wa walimu wa shule binafsi kusimamia mitihani ya NECTA. Kabla ya mwaka 2021, walimu wa shule binafsi walikuwa wakiteuliwa kushiriki katika usimamizi wa mitihani ya NECTA. Hata hivyo, tangu mwaka 2021 hadi sasa, walimu wa...
  20. Mtu na nusu

    JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    Nimejaribu kupitia na kuangalia maslahi ya walimu kwenye nchi za wenzetu(botswana, South Africa, Rwanda, Qatar n.k) nikagundua walimu wanalipwa vizuri mno kuliko wanavyolipwa kwetu Nikaangalia vigezo na taratibu za kuomba ajira nikaona vyote ni rahisi na vinawezekana. Nilichojilaumu ni mimi...
Back
Top Bottom