walimu

  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Video : Walimu wengi wa Madrasa hatupendi Ugali, Ni Dhiki tu ukiona tunakula. Si twapenda Wabwabwa

    Safi sana. Na mwalimu naye apewe. Anasema yeye ni wa ubwabwa ugali hapana. Labda ndizi hizo aweza kula ugali hapana. Tupate Habari Kamili.
  2. October 2pm

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya msitusahau bado tunalia

    Nipo zangu Nachingwea! Ajira mpya lakini bado hatujalipwa lakini hainizuii Oktoba kutiki.. nitatiki miye japo najua watu wale wanakeleka. Na bado! Mpwayungu Village tusemee
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Usimamizi mitihani halmashauri ya Kwimba; Kwanini walimu wa shule za msingi ndio wanasimamia mitihani katika ngazi zote (sekondari na msingi)

    Mamlaka za usimamizi wa mtihani zifatilie hili Jambo, Kwimba walimu msingi wanasimamia mtihani ngazi zote, na walimu Sekondari wanachukuliwa wachache tu kama danganya toto. Chunguzeni mamlaka husika kuna siri ipi? Kwanini wanaacha utaratibu wa kubadilishana? Yaani walimu secondari wasimamie...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Geita Vijijini tangu March 2025 mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu

    Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums. Nyingine soma ~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya somo la biashara wengine tumenyimwa mikataba na TSC

    Habari, Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC. Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC Naona...
  6. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Je, walimu ndiyo kundi la watumishi, wasio na mshikamano, wasiojua kesho yao?

    Walimu: Injini ya Maendeleo au Mashine Isiyotambua Thamani Yake? Leo nimeketi na kutafakari kwa kina. Nimejiuliza swali gumu lakini la lazima: Je, walimu ndiyo kundi la watumishi wajinga, wasio na mshikamano, wasiojua kesho yao? Ni swali chungu, lakini si matusi—ni mwaliko wa kujitazama...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wa mjini wanaweza kuwa na posho kubwa kuliko watumishi wengi wa serikali

    Ni kazi inayodharauliwa na kubezwa sana na watu wengi lakini je uhalisia ukoje? Nimepiga stories mbili tatu na walimu wa shule za msingi hasa ukanda wa Temeke. Darasa la nne wako watoto 450+ Hawa watoto kila Alhamis wanachangia 1000 ya mtihani. Hapo wako walimu 4. Kila Jumamosi wanakuja kusoma...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Kwanini shule za sekondari za Halmashauri ya Mji wa Bunda zinawaambia Wanafunzi na Walimu kwenda kesho standi ya zamani kwenye kampeni za CCM?

    Hii ni hatari sana kama CCM wanalazimisha watumishi wa kada ya ualimu na wanafunzi kwenda kwenye kampeni za mgombea wao hapo kesho.
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100

    Dkt. Samia Suluhu Hassan mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100 ili kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini. Dkt. Samia amesema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu na kweli: Walimu wa English Course wanaendesha magari ila walimu wa Mathe hawana hata baiskeli

    Miaka ya elfu 2 kumi kulikuwaga na mzee mmoja mtaani kwetu nyumbani kwake alikuwa ana banda ameajiri vijana wanafundisha English kwa watu mbalimbali na matangazo yake y alikuwa ya kubandika kwenye nguzo alikuwa ana tuma watu wake wanabandika nadhani wilaya yote ya Kinondoni plus Ubungo.. Mzee...
  11. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini walimu wa shule za msingi za serikali ni wagumu sana kulipa madeni ya watu?

    Mtu namdai laki 1 tu,lakini huu unaenda mwezi wa 2 sasa,kila mshahara ukitoka jamaa anasema ana vipengele vingi hivyo nimvumilie. Huu sio uungwana kabisa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Chungeni wake zenu au mademu zenu. Leo wanajeshi na walimu wamepata midhahara yao.

    Nawasihi sana mke au demu wako akikuaga anaenda sokoni usikubali. Hiyo ni appointment anaenda kupata ukimwi huko
  13. H

    JamiiForums Tanzania Athari za Ujio wa Akili Mnemba (AI) katika Kuathiri Ubunifu na Fikra Tunduizi kwa Wanafunzi, Watafiti na Wataalamu: Nafasi ya Walimu wa Vyuo Vikuu

    Utangulizi: Katika zama za mapinduzi ya nne ya viwanda, ujio wa akili mnemba (Artificial Intelligence - AI) umeleta mageuzi makubwa katika sekta mbalimbali duniani, hasa elimu. Wakati AI inaleta fursa ya kurahisisha upatikanaji wa taarifa na kuongeza tija, pia imeibua changamoto kubwa kwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kagera: Walimu zaidi ya 80 Wilaya ya Ngara tuliohamishwa mwaka jana mwezi Mei hatujapewa hela za kujikimu. Hali ngumu

    HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI. PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA FEDHA ZA KUSAFIRISHA FAMILIA NA MIZIGO YETU.
  15. Bueno

    JamiiForums Tanzania Walimu Mmeshaanza Likizo?

    Wakuu, naomba kuuliza swali lipo hapo juu. Walimu mmeshaanza likizo au bado mpo shule mnafundisha? Naomba kujibiwa na Walimu wote waliopo humu JF. Km mpo likizo semeni kuna jambo jingine nataka kuwauliza.
  16. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ameshakariri wimbo wa methali mchanganyo. Walimu mna kazi

    Ukiskia mtu anakwambia ualimu ni shughuli pevu, shughuli yenyewe huanzia hapa. Mwanangu ndo kashakalilishwa hivyo. Ukimuuliza Mtaka cha Uvunguni, anakwambia matrako hulia mbwata Na hili nalo mkalitazame kwa kina...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania MNEC Toufiq Salim Turky Aahidi Kuendeleza Ufadhili wa Walimu wa Madrasa Katika Jimbo la Mpendae

    MNEC TOUFIQ TURKY AAHIDI KUENDELEZA UFADHILI WA WALIMU WA MADRASA Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Toufiq Salim Turky amekutana na viongozi mbalimbali wa Misikiti na Walimu wa Madrasa katika Jimbo la Mpendae ambapo amewatoa wasiwasi kwa kuahidi kuwa ataendelea...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Haji Juma Omar: Mishahara Midogo kwa Walimu inachangia wengi wao kuishi kwa madeni

    Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar, Haji Juma Omar amesema changamoto ya ulipaji wa mshahara mdogo kwa baadhi ya Walimu Zanzibar imesababisha kuwaingiza katika madeni makubwa na kusababisha kutafuta kazi nyingine za kuwaingizia vipato ili kuweza kujikimu. Akizungumza katika Mkutano Mkuu...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Zanzibar: Tuna uhaba wa Walimu wa Sayansi, wanaohitimu wanakwenda wapi?

    Chama cha Walimu Zanzibar kimehoji Wanafunzi wanaohitimu na kufaulu masomo ya Sanyansi katika Skuli za Unguja na Pemba wako wapi baada ya kumaliza kusoma kwani bado kuna changamoto ya uhaba wa Walimu katika masomo hayo. Hoja hiyo imeulizwa mbele ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya DC: Walimu wanaotaka kuhama CWT na chama chochote wafuate taratibu watapewa uhamisho

    Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa Walimu wa Wilaya hiyo wanapata changamoto wanapotaka kuhama kutoka Chama cha Wafanyakazi cha CWT, ambapo Wilaya imetoa maelezo kuhusu kinachotakiwa kufanyika. Awali, Mdau huyo alidai...
Back
Top Bottom