walimu

  1. JamiiForums Tanzania Mpwayungu village omba msamaha kwa walimu, yatakukuta mazito

    Nimekaa nimewaza sana sipati majibu iweje Mwanaume kamili anawaza kua upande wa pili?..Nina marafiki wa kike kama watatu kwa nyakati tofauti nilisikia wakisema wanatamani wangezaliwa wa kiume, maana mambo yanayowakuta ni mazito. Imagine bwana mpwayungu sasahivi na hii mvua ungekua umechora saba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hamna shukrani kwa walimu?

    Enyi Watanzania hadi lini mtadharau walimu? Walimu Hawa wanao fundisha watoto wenu Kila siku mnawaona kama maskini, roho yangu inauma sana. Hii dhambi ya baadhi ya wapumbavu na wajinga kudharau maisha na maslah ya walimu kuwa ni madogo ni laana kwa taifa hili.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu village acha tabia za kijinga kudharua walimu

    Huyu jamaa anajiita mpwayungu village anakera sana, Iv wewe Mpwayungu village Unajua shida na tabu za ma nesi, na watu wenye taaluma mbalimbali ambao ni watumishi wa serikali? Lakn umekuwa mtu wa ajabu sana unadharau walimu na kuwaona kama wao ni wajinga. Acha mara moja hii tabia yako mbaya. Na...
  4. JamiiForums Tanzania Kalenda ya mihula ya shule 2023 inachanganya walimu

    Kalenda ya mihula ya shule kwa mwaka huu 2023 haieleweki Kuna isyosema kufungua ni 17/4/2023 na nyingine 11/4/2023 ipi Iko sahihi? Walimu tusaidieni maana Kuna mipango ya kifamilia inaharibika kwasababu ya hizo ratiba mbili! Aione mpwayungu village
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tuliofundishwa na walimu hawa tukumbushane brains za walimu hawa

    1. Profesa Ndaalio- Chemistry dept CH114 and CH 220 2. Dr. Tibanyendera CH114 and CH220 3. Prof Khan Organic chemistry 4. Dr. MtotoMwema.......................Botany 5. Dr. Chamungwana.... DSS 6. Prof Ishumi....Education endelea
  6. M

    JamiiForums Tanzania Walimu kupiga mwanafunzi bongo

    Yuko kijana mvulana alizua vurugu shuleni kujaribu kumpiga mwalimu. Mwalimu akaamua kuita wenzake kijana alipigwa na walimu watatu. Niliona ni bora kwa vile alikua amekosa nidhamu. Lakini wako baadhi ya watu walikua wakimtetea kijana huyo
  7. JamiiForums Tanzania Serikali: Mradi wa SHULE BORA utawafikia Wanafunzi 3,800,000 na Walimu 54,000

    SHULE BORA ni mradi wa Serikali ya Tanzania unaofadhiliwa na Serikali ya Uingereza kupitia Shirika lake la Maendeleo la UKAID wenye lengo la kukuza na kuboresha ufundishaji na ujifunzaji shuleni ili kuboresha Elimu na kuhakikisha watoto wote wa Kitanzania wa kike na wa kiume wanapata elimu bora...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi serikali haisikii changamoto za walimu kwenye sekta hiyo?

    Changamoto ni nyingi lakini hiyo ya mishahara midogo haisikiki? Ni wimbo wa miaka mingi sana. Baada ya sera ya elimu bure wazazi hata kununua uniform ni kazi. Kuwalipia watoto chakula imekuwa ngumu. Serikali inashindwaje kuwapa walimu usafiri,waachane na Mambo ya bodaboda kila wkt (kama vipi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Walimu wenye Masters hawatambuliwi kimasilahi?

    Habari. Kwasasa dunia inafanya mapitio ya mitaala ya kufundshia/kujifunza huko mashuleni, huku swala la elimu za walimu ambao ndio wadau wa mitaala hiyo likiwa gizani. Kwa mfano, kwa Tanzania muundo wa kiutumishi wa walimu wa shule za msingi na sekondari unaanzia elimu ya cheti hadi shahada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna mkate mgumu mbele ya chai (Falsafa ya Deus Seif na Abubakari Alawi inavyoendelea kukivuruga Chama cha Walimu Tanzania)

    Leo hii tarehe 16 Machi 2023 Wapiga dili Deus Seif na Abubakari Alawi wamefanikisha kuzuia mambo kadhaa kufanyika kwenye mkutano mkuu wa chama cha walimu Tanzania. Kama ambavyo tumebainisha hapo awali juu ya dhamira yao ya kurudi madarakani na kuendelea kufanya ubadhirifu ndani ya chama cha...
  11. JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu wa chama cha walimu Tanga na sakata la rushwa

    Chama cha walimu Tanzania kinafanya mkutano wake mkuu tarehe 17 Machi 2023 Jijini Tanga haya yakiwa ni maamuzi ya mkutano mkuu wa kikatiba uliofanyika Disemba 2022. Pamoja na mambo mengine lengo ni kumchagua naibu katibu mkuu baada ya aliyekuwa naibu katibu mkuu Japhet Maganga kupandishwa ngazi...
  12. JamiiForums Tanzania Deus Seif na Abubakari Alawi waliokuwa viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania waigaragaza Serikali Mahakamani

    Watajwa hapo juu walikuwa ni viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania ambao Juni 28 2022, walitiwa hatiani kwa kosa la uhujumu uchumi na uchepushaji wa fedha za walimu kiasi cha shilingi 13,900,000 na matumizi mabaya ya madaraka. Kwa kosa hilo walifungwa miezi 6 gereza la Ukonga lakini walikaa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi wa kuanzia mwaka 2000 hadi sasa hawawajui Walimu wao Wakuu na hata Walimu tu wa Kawaida?

    Akina GENTAMYCINE tuliosoma miaka hiyo ya mid 80's hadi late 90's mpaka leo Majina ya Walimu Wakuu, Walimu waliotufundisha hadi Walinzi wa Shule tunajua majina yao. Mitoto ya Siku hizi hawawajui Walimu Wakuu Wao na wanaowajua zaidi ni Wasanii, Madereva wa School Bus zao, Bajaji na Wauza Chips...
  14. JamiiForums Tanzania Waraka kwa Rais Samia kuhusu vilio vyetu sisi Wahandisi tulioajiriwa kama Walimu

    Nimefurahishwa Sana na kusikia rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dr Samia Suluhu Hassan ni mtembeleaji mzuri wa jukwaa hili la JamiiForums na tunaamini atatusikia juu ya hiki kilio chetu. Sisi Wahandisi tulioajiriwa kama walimu katika shule za ufundi Tanzania. Bwiru Boys...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Joseph Misalaba na kampeni chafu kuwania nafasi ya Ukatibu Naibu Mkuu ndani ya Chama cha Walimu Tanzania

    Kama ambavyo tumekua tukiendelea kufichua namna ambavyo uongozi wa CWT unatafutwa kwa mbinu chafu na namna baadhi ya watu walivyokihujumu chama, leo tunamleta kwenu Joseph Misalaba Mgombea wa nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu CWT. Mtajwa hapo juu ni katibu wa CWT wilaya ya Geita aliyeajiriwa kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu Mgombea wa nafasi ya Uweka Hazina Taifa Chama cha Walimu Tanzania Protas Magesa

    Ndugu walimu na wanajamii kwa ujumla wa Taifa hili Tukufu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba nianze kuweka bayana taarifa ambazo huenda hamzifahamu kuhusu Mgombea wa nafasi tajwa hapo juu Mwalimu Protas Magesa. Huyu ni mwalimu mwakilishi kwenye Kamati ya Utendaji...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi wawezesheni walimu kiuchumi

    Walimu wetu wanatumia mda mwingi Sana kutuandalia kesho ya watoto wetu, vipato vyao havitoshi kumudu mahitaji yao. Viongozi wa dini wanalishwa na waumini wao lengo kuu Ili wasiwaze watakula nini. Maana huwezi mtumikia Mungu na mali yaani uhudumie kiroho huku ukafanye vibarua Ili familia iishi...
  18. JamiiForums Tanzania Bodaboda na Walimu wote ni madaraja ya wanasiasa kufikia malengo yao

    Kipindi cha kampeni bodaboda hufanya amsha amsha ya mitaa na kuhadaiwa na wanasiasa kuwachagua kwa ahadi fulani. Baada tu ya uchaguzi kuisha hudharauriwa na wanasiasa kama walivyodharauriwa na Lema. Walimu hawa kazi yao haitofautini sana na bodaboda katika kuwafikisha wanasiasa pale...
  19. JamiiForums Tanzania Nagafirika kwa kejeli, dhihaka na matusi ya member mpwayungu dhidi ya walimu wetu

    Peace be upon you all, Jamii yetu imekua na vijana wa ajabu sana case study ni kijana humu jf kwa id ya mpwayungu village na kama huyu member ni mzee basi ni mzee mpumbavu. Kumekua na desturi ya kudharauliana hadharani na kwa baadhi ya watu huona fahari kudharau na kudhihaki wengine mfano ni...
  20. JamiiForums Tanzania Walimu wa Meru DC watakiwa kujitokeza Jumapili saa 1:00 asubuhi Usa-river wakati Rais Samia atakapokuwa anapita eneo hilo

    Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono. Cha kushangaza hakuna nauli wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…