wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu, naomba akili ya biashara, pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia

    Wakuu, naomba akili ya biashara,pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia.(nimebet nimepiga mpunga) Location: Lindi In cash: Mil 3
  2. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kusumbua wanaotumia barabara kisa kutengeneza content

    Samahanini wakuu kwa usumbufu. Napenda kuuliza kwamba hivi hawa vijana wanapoelekea itakuaje? Maana upumbavu wanaoufanya ili wapate content za kuposti TikTok na umaarufu wa TikTok. Huu ni upuuzi traffic mko wapi mpaka mnaruhusu mtu ajirekod uchoko kama huu barabarani? Hivi taifa litakuaje...
  3. JamiiForums Tanzania Natokaje hapa wakuu?

    Nimepoteza funguo ya ghetto!,funguo nyengine anayo mtu mwengine ambae kuja mpaka kesho kutwa na huyo mwenye funguo nae kapoteza simu Sina mawasiliano nae!. Utamu kunoga upo hapa: Second option ni kwenda kulala kwa mchumba,Sasa mbovu mbaya ni kwamba juzi nilikichafua nilikwazana nae nikamtusi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa wakuu wa mikoa na wakurugenzi unanukia, jiandaeni kiroho na kimwili

    Jana kipenga cha siasa za uchaguzi kilipulizwa huko Zanzibar, tunao wakuu wa wilaya na mikoa ambao kasi ya kukimbilia mpira wa majukwaani siyo nzuri. Wapo wakurugenzi ambao kazi ya kumanipulate issue siyo karma yao. Sasa wajiandae mkeka unakuja. Wasidhani kwamba chama kimewatenga bali speed ya...
  5. JamiiForums Tanzania Nashauri Pascal Mayalla ateuliwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara

    Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote. Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi. Napaza sauti yangu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwani Suzuki Escudo ina shida gani wakuu?!

    Wakuu hamjambo?! Hivi nikivuta Suzuki Escudo nitakumbana na vipengele gani? Kama kuna wakuu wanapinga Suzuki Escudo basi watoe maelekezo nichukue gari gani yenye size hiyo
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika: Kati ya Cyber Security na Laboratory Science in Biotechnology

    Habari wanajf. Kuna rafiki yangu kachaguliwa kozi mbili vyuo vitatu, anaomba ushauri vipi a confirm. 1. Cyber security (Arusha) 2. Laboratory science in biotechnology (SUA na MUST) Msaada tafadhari , ipi Ina soko Sana ama Ina unafuu kwenye upatikanaji wa ajira
  8. JamiiForums Tanzania Samia kama Magufuli wakuu wa wilaya na ma-DED roho juu!

    Rais Samia amewatimua kazi DC na DED wa wilaya ya Mtwara baada ya wananchi wa kata moja kurudisha kadi za CCM kwa sababu ya kuhamisha mradi uliokuwa ujengwe kata hiyo kuhamishiwa kata nyingine kisa uwepo wa wanachama wengi wa vyama vya upinzani. DC na DED walihamisha mradi wa maendeleo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asema kuna Makundi yanatengenezwa kufanikisha Upigaji pesa za Serikali vinginevyo mfumo huo usingeishi

    Fuatilia matangazo haya ya moja kwa moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akifunga mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Chuo cha Uongozi cha Mw. Nyerere, Kibaha - Pwani. https://www.youtube.com/live/6w995GGGrS4?si=8EBhTwCrgxbyhJNG Samia...
  10. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Amani Karume na Anna Makinda wateuliwa kuwa Wakuu wa Chuo

    Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
  11. JamiiForums Tanzania Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Tofauti kati ya kozi ya civil and transport engineering na civil engineering ni ipi?

    Wakuu naombeni kufahamu course ya civil and transport engineering na civil engineering tofauti wa hizi course ni nini?
  13. JamiiForums Tanzania Lita 1 ya petrol inaweza kutembeza pikipiki ya TVS kilomita ngapi?

    Naomba kuuliza lita 1 ya petrol inaweza kutembea kilomita ngapi kwa pikipiki za TVS Kingine naomba kujua bei ya petrol lita 1 ni shilingi ngapi kwa sasa.
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada kwenye kutofautisha hapa.

    Nina Ordinary Diploma ya Famasi sasa najaribu kuingiza taarifa zangu kwenye Ajira Portal hasa Education level ila siioni option ya Ordinary Diploma(Level 6) nimeona Advanced diploma na Higer diploma pia na FTC sasa naombeni mnisaidie ipi kati ya hizo ni equivalent na Ordinary diploma? Thanks...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Hii pikipiki ntaipata wapi wakuu

    Ni kwa ajili ya usafiri wa haraka sina budget ya gari nimependa hii kitu naipata wapi? Ongeza ushauri zaidi
  16. JamiiForums Tanzania Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

    Wakuu leo naandika nikiwa na mawazo mengi sana. Mara nyingi nimekuwa nikileta nyuzi za masuala ya kitaifa ila leo huu uzi ni wa ishu yangu binafsi. Mimi kada mtiifu wa CCM kwa sasa kuna mambo nimeshindwa kuelewa kabisa kwa huyu mwanamke ambaye nimetangaza nia ya kumuoa. Nataka ushauri wenu...
  17. JamiiForums Tanzania Je, mwenye alama 28 kidato cha nne anaruhusiwa kuchaguliwa kujiunga na advanced level?

    Naomba kuuliza wakuu, eti mtu mwenye division four ya 28 anaweza kupata nafasi ya kusoma advance shule ya private?
  18. JamiiForums Tanzania Sijapendezwa na uzinduzi wa jezi za Simba kuwekwa majina ya viongozi

    Ni jambo la kushangaza kwa kile kilichofanyika na club ya simba kuchanganya mpira na siasa Nilipendezwa na wazo la club ya simba kutambulisha jezi yao kwenye mlima mkubwa zaidi Afrika hivyo kufanya kuwa kivutio kikubwa kinachotambulika dunia nzima niliona ni jambo jema Leo mida ya asubuhi...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta kazi

    Wana jf kwema, natafuta kazi yoyote iwe halali nipo Arusha, professionally mm ni mwalimu wa Geography na history. Nina ujuzi wa computer. Fluent in English and Swahili.
  20. JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini yashiriki Mkutano wa Wakuu wa Serikali ya Urusi na Nchi za Afrika

    #Dkt. Biteko Atangaza Fursa uwekezaji Sekta ya Madini St. Petersburg – Urusi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania katika Mkutano wa Wakuu wa Serikali ya Urusi na nchi za Afrika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…