Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33

Street brain

JF-Expert Member
Oct 24, 2022
482
592
Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33.

Ana ufaulu huu hapa kisw C, hist,F civ F, geo F, bio F, eng F, math F, Nishaurini anafaa kusomea nini au ni sehemu gani itakayomfaa maana hapa natafakari na yeye kachanganyikiwa maana alitamani akasomee clinical officer but ufaulu haumruhusu nipeni ushauri wakuu ana stress Sana hakutegemea hayo matokeo.
🙏🙏🙏🙏
 
aachane na shule haimfai muhimu ashatoa ujinga, mfundishe biashara mkuu, bado Mdogo sana huyo na ukimsimamia atafanya vizuri huko mbele, mfungulie hata kijiwe cha pweza kwa kuanzia na umpe target kulingana na biashara utakavyoiona, haya mambo ya kusomea kusomea yamewachelewesha wengi sana
 
Akaresit f3 kama anataka kusoma na awe serious, kwa sasa asahau kusoma elimu ya chuo unless kama ataenda VETA atumie cheti ya std7

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Umemaanisha arudie kidato cha nne au atafute nafasi ya kidato cha tatu afanye mtihani mwakani ? Sidhani kama inawezekana kwa mtu aliyefeli kidato cha nne kurudia kidato cha tatu, labda arudie mtihani wa kidato cha nne kama Mtahiniwa wa kujitegemea (private candidates).
 
Kama kweli unataka clinical officer Kama nae chini muelekeze uhalisia zaidi maana naiman hayo matokeo yatakuwa yamempa uhalisia kwa majuto kisha mpe nafasi ya kureset baadh ya masomo aanzie form three, nawajua wengi tu ambao waliteleza form four wakatumia hiyo mbinu saivi wako mbali, unaweza ukampa pesa ya Biashara na asifanye kile kinachotakiwa kwenye biashara
 
Back
Top Bottom