wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu njooni hapa mniokoe...

    Wakuu nasoma chuo X hapa dar Sasa Kuna matatizo kwenye mfumo wangu wa matokeo Matokeo yalivyo yanaonesha Nina incomplete kibao na ada zimeongezeka na muda wa kufanya mithiani imebaki wiki moja tu. Sasa nataka kupanda juu ya ghorofa ahsubui kabisa nijaze watu nataka kujitupa ili nisaidiwe...
  2. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu?

    Kuna siku nikiwa kwenye mishe zangu maeneo ya Ilala MTAA wa Arusha nilisikia sauti za watoto wakiiniita kando ya Barabara walikuwa kwenye UBA imepaki, walikuwa watoto wa kihindi, (Maisha safi) kamoja kakanionesha noti ya Tsh 10,000 kaka niambia njoo uchukue kaka, nikatabasamu nikamwambia Ahsante...
  3. JamiiForums Tanzania Nina milion 5 nataka eneo goba wakuu

    Kama kichwa h'cha habari kinavyojieleza natafuta eneo goba Nina hicho kiasi Ili niweze kujenga Kwa mwenye eneo naomba tufanye biashara MODS: msihamishe huu Uzi tafadhali uacheni jukwaa hili hili
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha sita wakuu, naomba kazi nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye stationary

    Habarini wakuu, naitwa frank kijana nimemaliza kidato cha sita mwaka huu apa, ndo tunasubiri maswala mbalmbal twende chuo ila sipo vizuri kifedha. Mwenye Kuna fursa ya kazi aniunganishie wakuu nipo tayar kufanya ata nikiwa chuo kama tu nitapata malazi. Pia Niko expert kwenye maswala ya computer...
  5. JamiiForums Tanzania Nitahakikisha kunakuwa na Tanzania master plan model na kuanzia balozi, mwenyekiti, afisa mtendaji, wakuu wa wilaya na mikoa watakuwa na hardcopy

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisga nchi nzima inapimwa, na hii kazi ya kupima nchi nzima watapewa waholanzi, wakimaliza Tanzania master planning itakuwa kwenye three dimension na hardcopy watapewa mabolozi, wenyeviti wa mitaa, wakuu wa wilaya, na wakuu wa mikoa ili mwananchi akitaka kujenga...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Wakuu mwezi wa pili sasa Airtel ussd haifanyi kazi hili tatizo ni kwangu tu au Hadi kwenu

    Wakuu mwezi wa pili Sasa Airtel ussd haifanyi kazi hili tatizo ni kwangu tu au Hadi kwenu
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Manara Perfume ziliishia wapi wakuu?

    Wakuu Naomba kuuliza,miaka kama mitatu nyuma hapo ndugu Haji Sunday Manara aliwahi kuzindua perfume zake kwa mbwembwe nyingi sana,nakumbuka akawa anajimwambafai kuwa perfume zile bei ni shilling laki 1 kwa wakt ule.cha ajabu hizo perfume sikuwahi wala kuziona madukani. Hivi ziliishia wapi?
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili zote za chuki za kidini katika viongozi wakuu wa nchi hii

    Tusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa makusudi vinavyoongozwa na waislam. Sasa Utakuwa wa CCM, na upinzani utakuwa wa ACT na CHAUMMA. Makanisa yanafutwa...
  9. JamiiForums Tanzania Nina kiasi cha milioni 3.5 naweza kuifanyia ishu gani?

    Salama wakuu wa JF! Last wiki nilikuwa na milioni 6 Kash Ila mpaka wakati huu naandika huu uzi nimebakiwa na milioni 3.5 na hii ndio ya kwngu sasa baada ya kulipa madeni na kufanya manunuzi binafsi ya baadhi ya mahitaji. Kifupi nilikuwa hovyo km miezi 12 hivi iliyopita, hii hovyo sitailezea...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu! Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati, ile juu ya bati juu ya nyumba

    Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati,ile juu ya bati juu ya nyumba Uzi bado
  11. JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  12. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

    Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono halafu eti ananiaomba yeye ni bikra hajawahi kufanya ngono eti Eti bikra kabisa eti aisee hajawahi...
  13. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

    Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono halafu eti ananiaomba yeye ni bikra hajawahi kufanya ngono eti Eti bikra kabisa eti aisee hajawahi...
  14. JamiiForums Tanzania Nimewin milion 8 kampuni ya 1 win ila inagoma kutoka wakuu hii kampuni ni ya kitapeli au

    Naombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee
  15. JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  16. JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  17. JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu, ki-protokali hii imekaaje?

    Wakuu, ki-protokali hii imekaaje?
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wa Softcopy ya Manifesto ya Ccm 2025-2030

    Wakuu Msaada wa Manifesto ya Chama ya CCM 2025-2030 msaada wa softcopy
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu ni hatari sana

    Hivi sasa na kuendelea tunaishi humu. Maana watu ni wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi. Wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…