wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu nauza UNGA wa uji lishe

    Habari Katika harakati za kujitafuta nimeamua niingie kwenye ujasiriamali ambapo natengeneza uji mzuri wa uji wa lishe ambao una faida kiafya kulingana na viambata vyake ambavyo nimetumia UNGA huu unatumiwa na watu wa rika zote kuanzia watoto wadogo Hadi watu wazima Lakini pia una faida Kwa wale...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada

    Political science Theology Bachelor Degree in International Relations and Diplomacy Tourism Laws Bachelor of Science in Aquaculture and Aquatic Sciences Logistics and Transport Shipping and Logistics Management Shipping Economics and Logistics Bachelor of Accounting with Information...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

    Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29 Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa. Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana...
  4. JamiiForums Tanzania Mtu anayeitwa kiparangoto ni nani? nasikia ndo anataka kukiondoa kitalu namba nne

    Leo nilikuwa Ofisini Ila nimeambiwa kuna MTU anaitwa Kiparangoto je huyu ni nani wakuu?.
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu tuwe makini lock milango kabla ya kuanza kuendesha gari

    Habari wana JF. Leo nikiwa kwenye safari zangu mjini Dar es salaam Kuna gari ilikuwa inazunguka round-about, ghafla mlango wa nyuma ulifunguka na akadondoka mtoto umri kama miaka 4 hivi. Na dereva aliyekuwa anaendesha hilo gari hajajua kwamba mtoto kadondoka, Kwa nyuma pia kulikuwa kuna gari...
  6. JamiiForums Tanzania Habari wakuu wa kaya Naomba Ushauri juu ya uchimbaji wa Dhahabu

    Wakuu wa kaya NAOMBA USHAURI JUU YA UCHIMBAJI WA DHAHABU Kuna eneo nyeti Lina dhahabu nahitaji niwekeze Anae jua process za UCHIMBAJI anipe info mbili tatu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa ya jino, leo sijalala

    Wapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia. Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu, mnasemaje?

    Kwa anayefahamu udani wa hii picha anijuze hivi ilikuwa mwaka gani?
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu hii gari inatoboa au editing za vijana

    Nimeikota hii post huko mitandaoni
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu

    Wakuu ni sehem gani hapa dar wanatoa huduma za Wigs za kiume kwa mtu mwenye upara naomba kuwasilisha
  11. JamiiForums Tanzania Pressure cooker Wakuu hii sio hatari?

    Pressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi.. Nimeosha sana na Steel wire Ila bado nitumie njia gani? Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
  12. JamiiForums Tanzania Mkimsema vibaya Mh. Rais naumia sana wakuu, naona kabisa mnanizibia riziki

    Wakuu kwanini msikae kimya tu hata kama mnamchukia? Huu ni wakati wetu wa kutamba na mama yetu. Nyie tulieni ikifika zamu yenu mtatamba na wakwenu. Mnanikosesha amani, nikiongea mnaanza kuniita Ponjoro wa Kinondoni , jina sio baya sana ila mtulie nasisi tule keki ya taifa, tukishiba mtakuja na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu nna biashara nauza

    Habari za jioni wakubwa?Wakubwa nna biashara nauza,biashara hizo ni pamoja na,. (1)Focusrite Scarlett 18i20,hii ni soundcard for Professional recording studio naitakia 1,700,000. (2)Scarlett solo,hii ni kwa home studio naitakia 350,000 (3)Garmin Heart Rate Monitor,hii ni mikanda ya kuvaa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Askofu Gwajima anasema wakuu wa nyombo vya ulinzi kulindwa na kulipa mishahara mizuri na wafanyakazi wao?

    1. Kufanya wafanye kazi kwa weredi na ustadi wa Hali ya juu sana 2. Kutoka kuendesha na kutumika na wanasiasi kwenye mambo ya siasi kisa njaa na familia zao. 3. Kuwafanya wafanye kazi zao bila presha yoyote kutoka kwa mtu yoyote. 4. Kufanya wawe na confidence na wasimuogope mtu yoyote na kuhofua...
  15. JamiiForums Tanzania Mbona kama nashindwa kufanya Diet! Wakuu mnawezaje?

    Nawezaje kuepuka ugali. Nawezaje kuepuka wali. Maisha ya kigeto kigeto. Ugali una wanga ambao ni hatari. Wali una sukari ambayo ni hatari Sasa ntafanyaje mana migahawani hakuna diet wenzangu mnawezaje?
  16. JamiiForums Tanzania Ili kuku wa mayai watage vizuri wanatakiwa wapewe dawa gani na dawa zipi haziwafai nipo najifunza wakuu

    Wakuu nipo hapa kupokea nondo zenu sijawahi fuga kuku wa mayai. Najua kuna dawa wakipewa huwa zinawazuia kuku kutaga sio dawa tu hata booster pia nyingi huwafanya wanenepeane na kuwa na mafuta na mwisho kuwafanya kuku wasitage Nakaribisha Elimu zenu tujifunze
  17. JamiiForums Tanzania Unafanyaje unapotukanwa na mlevi?

    Hivi wewe unajisikiaje unapotukanwa Matusi ya Nguoni na Mlevi anaekunywa Pombe mpaka anajinyea? How do you feel? Yaani mlevi anaekunywa pombe mpaka anashindwa kujizuia haja kubwa anaanza kukutukana unajisikiaje? Samahani kwa wale wanaokunywa kistaarabu, namaanisha sizungumzii wewe unaekunywa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Habari zenu Wakuu

    Mi ndiyo nimeingia kivingine humu,kama kawaida Upendo na Heshima kwa kila mtu,tuko pamoja Wakuu.
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

    Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu hizi baiskeli zinapatikana huko mjini Dar es salaam?

    Naomba kufahamu kama baiskeli aina hii zinapatikana hapa Tanzania, hii picha nimeitoa Alibaba. Poor Brain dosho12 Harmful Mama Ndege secretarybird
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…