wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimeitwa TRA. Usalama upo kweli?

    Nimepigiwa simu TRA wananiita. Namba ya simu ni ya kawaida. Je uzima upo? Sehemu niliyo itwa ni tofauti na kituo changu cha Kodi.. Usalama upo kweli? N. B : Mimi sio mfanyabiashara mkubwa wala wa Kati.
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu nimfanyeje huyu kiumbe?

    Na usafi nimepiga wa maana geto🥹
  3. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta wakuu

    Tangu wife ajifungue ni miezi mitatu sasa, na ndio nimeanza kushiriki tendo la ndoa na mke wangu Vipi hapa, kutakuwa na shida yoyote kwenye swala kumbebenda mtoto?
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu sikio kuwa na hali kama ya kujaa maji, nifanyaje kabla ya kwenda hospital?

    Nilipata maumivu ya jino yaliyopelekea sikio kuuma na kufika baadae nikapata kama presha katika sikio, ile hali kama kuna kitu sikioni au maji hivi. Ni siku mbili sasa jino limepona kelele zimepungua ila ear fullness ,bado ipo Dawa za matone zimedoda, kuna njia yoyote ya huduma ya kwanza...
  5. B

    JamiiForums Tanzania NISHAURI; Nianze na gari ipi wakuu?

    Hii itakua gari yangu ya kwanza kumili ni mgeni kwenye hii màneno. Nataka kuagiza Japan. BAJETI Isizidi 35M MATUMIZI Kwenda kazini na misele ya town Dodoma mjini pamoja na likizo kwenda Mwanza MACHAGUO Rav4 3rd Generation Mazda CX 5 Outlander Forester Xt Nissan Duals/X strail Mambo muhimu ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu wa idara za afya na vyombo vya ulinzi na usalama

    Kuna nafasi za ajira jeshi la Magereza zimetoka na nna mdogo wa kwa upande wa mama wa kambo anataka kuomba,lakini yeye ana changamoto ya kuishi na Virusi vya ukimwi. Je kwa mwenye uzoefu anijuze ; inawezakana akapata nafasi endapo vigezo vyote anavyo isipokua hapo kwenye suala la afya ambalo...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Ombi la kuachiwa Lissu limefika mezani kwa Wakuu na linajadiliwa

    Habari za Jumapili! Najulishwa hapa Ombi la Kuachiwa Tundu Lisu Lipo meza ya Wakuu linajadiliwa. Kuona kama umuhimu wa kumuachia kabla ya septemba 7. Yapo makundi mawili; Kundi moja linasema akae mpaka baada ya uchaguzi. Kundi jingine linasema aachiwe tuu. Lakini nimejulishwa kuwa wapo...
  8. JamiiForums Tanzania Ni uzee umepiga hodi au nimerogwa wakuu?

    Za saizi wakurugenzi? Nimesononeka sana usiku wa leo,yani kuna pisi kali nilikua nimeipanga jana ikaingia kwenye mfumo,cha ajabu usiku kucha nimeishia kupiga viwili tu. Ni uzee au ndo nimerogwa?
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuelekezwa jinsi compound interest ya M wekeza inavyofanya kazi

    Nimewekeza kwenye kampuni ya sanlam ambayo imeungana na Vodacom Na kuita jina M Wekeza Sasa nilitaka kujua pale kwenye hii huduma nikichukua asilimia na pesa zangu ninazoweka Kwa mwaka wananimetea kiasi Fulani ambacho nataka kujua he hicho kiasi ndio kimejumuishwa na compound interest au ni...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu niko Kibaya Kiteto nipeni muongozo

    Inawahusu wazee wa totoz na gambe. Nipo njiani nasogea kibaya nipeni bar nzuri guest za Bei chee.
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi Popoma ni nini je ni aina ya binadamu au ?.

    Wakuu hivi Popoma maana yake ni nini ? ni MTU wa aina gani .?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu sehemu nzuri Dar ya kuchill, kuangalìa mpira na chakula

    wakuu niko dar ni mgeni wa jiji naombeni mnambie sehemu nzuri kuchill kula na kuangalia mpira asanteni
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada kozi ya kusoma kwenye vyuo vya mzumbe na T.I.A kwa mwanafunzi aliyesoma comb ya HGL

    Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe...
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu Msaada kozi ya kusoma kwenye vyuo vya mzumbe na T.I.A kwa mwanafunzi aliyesoma comb ya HGL

    Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o level alipata hesabu F na vyuo hivi kozi nyingi najua ni zile ambazo zinataka angalau hesabu uwe...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Askari Magereza wakiimarisha Ulinzi leo wakati kesi ya Lissu iliposikilizwa

    Wakuu, Naomba kufahamishwa kwa nini hawa maaskari wamevaa kininja namna hii? Hapa ni kwenye kesi ya Lissu leo Changamoto ni nini? Kwanini hawataki kuonekana? Pengine mimi sijui mambo mengi kwa anayefahamu naomba anijuze.
  16. JamiiForums Tanzania Nikipigiwa simu kwenye laini zangu watu wanaambiwa inatumika wakati siongei na mtu

    Wakuu nisaaidieni Hilo jambo aisee natumia Airtel na Vodacom nikipigiwa simu anaenipigia anaambiwa natumika wakati simu ninayo mkononi na siongei na mtu na kibaya zaidi hata haiiti tatizo litakua nini wakuu mwenye kujua hii ishu wakuu maana watu wanasema nimewablacklist wakati sivyo
  17. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu humu Jf kwa jinsi watu walivyo nafikiri unaweza kubishana na baba yako na usijue

    Wakuu humu Jf kwa jinsi watu walivyo nafikiri unaweza kubishana na baba yako na usijue au mnasemaje wakuu ?
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu nahitaji remote control ya Projector Epson anayejua chimbo tafadhali p

    Habari wanajf. Kichwa Cha habari kinajieleza.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hii imekaaje wakuu? Unakuta mwanaume mzima anasema "lol". Mimi naona kama sio sawa

    Hivi hii imekaaje wakuu unakuta mwanaume mzima anasema "lol" mimi naona kama sio sawa
  20. JamiiForums Tanzania Kuna idea ya biashara ninayo wakuu naomba ipokelewe

    Ni imani yangu mnaendelea vyema sana. Kumekuwa na gepu kubwa sana siku hiz kwenye engagement kati ya mada za matumizi ya maarifa ya juu au fikirishi na mada za kuchekesha au kuburudisha. Hili jambo limeenda sambmba kabis na kupungukiwa hamu kwa wanajf wakongwe au wahitaji wa kujiunza au misaada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…