wakuu wa mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia asijikite kutumbua Wakuu wa Mikoa na Wilaya pekee. Amulike ufisadi unaofanywa na Mawaziri wake

    Niaje waungwana, Kiukweli mimi sio mwanasiasa, wala mfuatiliaji wa mambo ya siasa hapa JF. Hivyo nimesukumwa tu na uzalendo wangu mwenyewe kuandika haya niliyoandika. Kwa kawaida nchi yetu ina mawaziri zaidi ya ishirini na manaibu wake (hapo sijazungumzia makatibu wakuu na manaibu). Kikawaida...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakuu wa Mikoa na Wilaya fuateni utaratibu wakati wa kuvunja mikataba, mnatutia hasara

    “Kuna suala la mikataba,kuna amri kwamba mikoa, wilaya isimalize kuingia kwenye mikataba mpaka ofisi ya Mwanasheria Mkuu waone mikataba hiyo, lakini kuna wengine wanajifanya mafundi na kusaidi mikataba hiyo. Lakini pia kuna mikataba imefungwa kwa njia inayokubalika, lakini wakati wa kuvunja...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Mabadiliko madogo ya uongozi Serikalini, amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART). Miongoni mwa watu hao ni Daniel Chongolo...
  4. JamiiForums Tanzania Kazi ya Wakuu wa Mikoa ni nyepesi sana

    Heshima sana wanajamvi, Inafahamika Jumanne yatakuwepo maandamano hapa Jijini Arusha. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha imekuwa katika harakati kubwa za kutaka kuyazuia maandamano hayo kwa kutumia njia haramu na zinazo kiuka misingi ya katiba yetu yenye mapungufu mengi. Mosi kamtumia mwenyekiti...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa aagiza Wakuu wa Mikoa kusimamia usambazaji wa sukari

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake. Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
  6. JamiiForums Tanzania Usambazaji wa Sukari nchini kusimamiwa na Wakuu wa Mikoa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake. Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
  7. JamiiForums Tanzania Wananchi kukimbilia kwa Makonda kueleza kero zao je Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa wameshindwa majukumu yao?

    Tumeona mama katoka Tabora anasema Tabora alikosa nafasi akaenda kahama akakosa nafasi, hakuchoka akaenda mpaka kigoma ndio akapata nafasi akaeleza kero zake kwa mh Paulo makonda swali fikirishi sana shida ipo wapi je wanainchi hawana imani na viongozi waliopo katika halmashauri zao ambao...
  8. JamiiForums Tanzania Mawaziri na Wakuu wa Mikoa mmeshajiandaa kwa 'Keka la Kimkakati' la kuelekea 2025 na Kunivusha salama Oktoba 2025?

    Haya ukisoma tu hii Thread yangu GENTAMYCINE kama Wewe ni mpenda Ushirikiano basi Karoge sana na kama ni muamini Mungu kama Mimi basi nakuombea ufanye mno Dua kwani muda wowote nimeoteshwa na Mizimu yangu Mikali ya Kizanaki ( Mara ) na Kiyao ( Mtwara ) kuwa kuna reshuffle kwa Mawaziri na Wakuu...
  9. JamiiForums Tanzania Makonda huna mamlaka juu ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa

    Umesikika katika hotuba yako ya leo kuwa utawarukia mawaziri na wakuu wa mikoa. Nakutahadharisha wewe ni kama Ahmed Ally wa Simba au Ali Kamwe wa Yanga, huna nguvu ya kujipangia unachotaka. Una ripoti kwa Katibu Mkuu, ndiyo anakupa kitu cha kuongea.
  10. JamiiForums Tanzania Siri hadharani: Siyo Vyama vya Upinzani ni Vyama Vya Watoa Taarifa

    Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu kwa Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale...
  11. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe awataka Wakuu wa Mikoa kufanya maonesho ya Utalii

    Naibu Waziri Kigahe Awataka Wakuu wa Mikoa Kufanya Maonesho ya Utalii Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amewataka Wakuu wa Mikoa yote ya Tanzania kuhakikisha wanafanya Maonesho ya Utalii ili kukuza utalii na kuongeza mapato ya nchi kwa kuwa sekta hiyo inachangia kwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa wakuu wa mikoa na wakurugenzi unanukia, jiandaeni kiroho na kimwili

    Jana kipenga cha siasa za uchaguzi kilipulizwa huko Zanzibar, tunao wakuu wa wilaya na mikoa ambao kasi ya kukimbilia mpira wa majukwaani siyo nzuri. Wapo wakurugenzi ambao kazi ya kumanipulate issue siyo karma yao. Sasa wajiandae mkeka unakuja. Wasidhani kwamba chama kimewatenga bali speed ya...
  13. JamiiForums Tanzania Nashauri Pascal Mayalla ateuliwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara

    Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote. Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi. Napaza sauti yangu...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Tax awapa Wakuu wa Mikoa mbinu za kutekeleza Diplomasia ya Uchumi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amewapa Wakuu wa Mikoa mbinu mbalimbali za kutekeleza Diplomasia ya Uchumi katika Mikoa yao. Dkt. Tax ametoa mbinu hizo tarehe 26 Agosti, 2023 wakati wa Mafunzo ya Uongozi kwa Wakuu wa Mikoa na Makatibu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asema kuna Makundi yanatengenezwa kufanikisha Upigaji pesa za Serikali vinginevyo mfumo huo usingeishi

    Fuatilia matangazo haya ya moja kwa moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akifunga mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Chuo cha Uongozi cha Mw. Nyerere, Kibaha - Pwani. https://www.youtube.com/live/6w995GGGrS4?si=8EBhTwCrgxbyhJNG Samia...
  16. JamiiForums Tanzania Halima Dendego ni moja ya Wakuu wa Mikoa mizigo

    Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa. Sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa, ni maamuzi ya kijinga sana ya Mkuu wetu wa Mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza, yani cap za maduka ziondolewe. Migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza. Mkuu huyu wa mkoa...
  17. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni lazima Wakuu wa Mikoa wakusanyane Dodoma kwenye bajeti ya TAMISEMI?

    Hii nchi ina matumizi ya anasa sana, kwamba ni lazima hawa jamaa wasafiri kote huko kutoka Kona za Tanzania kwenda Dodoma kushuhudia bajeti ya Tamisemi ikisomwa? Sina kumbukumbu kama hu utaratibu ni wa wakato wote au umeanza awamu ya kula kwa urefu wa kamba, Kwamba hawawezi fuatilia mkutano...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni utaratibu Wakuu wa Mikoa kwenda kukagua miradi ya ujenzi au majengo saa za usiku?

    SWALI tajwa lahusika. Tupo hapa masaa machache RC anamaliza kukagua mradi wa MAJENGO usiku wa saa 2 kasoro usiku. Je, kama zipo kasoro katika MIRADI hiyo au MAJENGO. Je, zitabainika kweli au ndio utaratibu wa ilani na sera ya chama?
  20. JamiiForums Tanzania Magari ya wakuu wa mikoa na wilaya wanayaacha wakistaafu au wanaondoka nayo?

    Habari, Zile Gari za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wanaziacha wakistaafu au wanaondoka nazo? Kuuliza siyo ujinga naomba majibu ya swali hilo hapo juu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…