wakuu wa mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mbunge Joseph Kasheku 'Musukuma' amtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Geita kutafuna Tsh. Milioni 600

    Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600. Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri. Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini. https://www.ippmedia.com/sw/habari/mbunge-adai-rc-geita-kutafuna-mil-600
  2. Sky Eclat

    Hivi vifaa vya kujengea nyumba za viongozi huwa vinanunuliwa wapi? Nyumba moja kugharimu milioni 838

    Sisi ghorofa zetu tunajenga kwa miliono 120-200 na zinapendeza na kukalika kwa kuji nafasi. Hawa viongozi hizi ghorofa zao huwa wananunulia vifaa wapi au gharama zinatokana na nini? === Mamilioni kujenga nyumba za wakuu wa wilaya na mikoa. Milioni 838 kumalizia nyumba ya mkuu wa mkoa Kagera...
  3. Kwa msisi yetu

    Nitashangaa sana kuona wafuatao wakirudi katika nafasi za Ukuu wa Mkoa

    Binafsi nimpongeze mama yetu Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan kwa kuanza kazi vizuri na kikubwa zaidi alichonifurahisha ni kuwataka viongozi katika Serikali yake kutumia akili katika kuongoza watu badala ya mabavu, ni jambo jema kwa kweli. Kaanza kwa kutuletea VP Mpango, kateua mawaziri na juzi...
  4. J

    Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma. Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa? Ngoja tuone. Maendeleo hayana vyama!
  5. Zakamwamoba

    Baadaa ya Mawaziri panga linalokuja ni kwa Wakuu wa mikoa na wilaya

    Mheshimiwa Rais Samia leo amemwapisha Katibu Mkuu Kiongozi na baadhi ya Mawaziri na Manaibu wao. Hii ni kufuatia mabadiliko madogo aliyoyatangaza jana tar 31 March 2021. Baada ya kuwaapisha, Rais Samia amesikia akisema kuna uwezekano Jumanne kuna watu wataingia Chamwino kula viapo. Mnuso wangu...
Back
Top Bottom