wakuu wa mikoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Tafsiri rahisi 3 za kutoonekana kwa jina la David Kafulila katika teuzi za Wakuu wa Mikoa Julai 28, 2022

    Habari JF, Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila. Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake ni either :- 1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi au 2. Ameachwa kutokana na...
  2. T

    Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera. Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi...
  3. Nyankurungu2020

    Shaka usilazimishe Wakuu wa Mikoa kuelezea mafanikio ya Rais Samia kwa nguvu

    Nani alilazimishwa na kuelezea mafanikio ya serikali ya hayati JPM? Kila mtu aliona miundo mbinu ya afya, barabara na hata miundo mbinu ya usafiri wa maji na anga ikiimalika. Sasa kuwalazimisha wakuu wa mikoa waeleze kwa nguvu haisadii. Maana wananchi hawaoni kwa macho yao. Tusilazimishe mambo...
  4. figganigga

    Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

    Salaam Wakuu, Baada ya rais Samia kukaa mwaka mmoja na siku kadhaa madarakani, macho yake yamemuwezesha kuwaona Wakuu wa Wilaya na Mikoa Wachapakazi na wale Wauza Sura. Japo Mkeka wa Wakurugenzi haupo wazi, ila nao panga linawapitia. Makatibu Tawala kidogo Wanajitahidi. Wanamfurahisha Mama...
  5. JOHNGERVAS

    Katavi: RC Mwanamvua Mrindoko awataka walimu kuwapo shuleni saa 24

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka walimu kuwapo shuleni saa 24 kwa ajili ya kupokea wanafunzi watoto wanaoandikishwa kuanza darasa la kwanza na awali ili mzazi akifika asirudi na mtoto nyumbani kwa kukosa huduma.
  6. Analogia Malenga

    Wakuu wa mikoa watakiwa kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa kabla ya Desemba 15

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewataka wakuu wa mikoa yote kuhakikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa na miundombinu mingine ya elimu ambayo Serikali Kuu imeipatia fedha inakamilika kabla ya Desemba 15, mwaka huu. Alitoa agizo hilo jana wilayani Rungwe katika Mkoa wa Mbeya alipofanya ziara ya...
  7. Prof Koboko

    Tusiwalaumu sana Polisi kuzuia mikutano ya kisiasa, tatizo kubwa ni wakuu wa Wilaya na mikoa

    Hili binafsi ningeomba viongozi wa vyama vya siasa muelewe vizuri kabisa na hata kama mtahudhuria kikao chenu anachoitisha msajili wa vyama vya siasa na Polisi, mwambieni ukweli kuhusu hili. Kwa bahati nzuri sana kabla ya kuikacha CCM na kuamua kubaki kufundisha kunoa vijana,nimewahi kua...
  8. Trubarg

    Wakuu wa Mikoa na Wilaya, toeni tamko moja kuhusu COVID-19

    Nachokiona ni mparaganyiko wa viongozi. Leo atatoa tamko Mkuu wa Mkoa kesho Mkuu wa Wilaya. Leo utasikia ya Dodoma, kesho Tanga, kesho kutwa Kiteto. Mimi nafikiri mnatuchosha wananchi. Inaonekana viongozi mnaogopa Covid kuliko sisi wananchi. Tunaomba mjipange then mje na tamko moja...
  9. J

    Waziri Gwajima: Elimu kuhusu Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya. Kirusi kinabadilika badilika siyo kama mwanzo!

    Waziri wa afya Dkt. Gwajima amesema wagonjwa wa Corona wanaongezeka hivyo wananchi wachukue tahadhari. Kwa sasa elimu ya kupambana na Corona inatolewa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sababu kirusi kinabadilika badilika na sisi tunabadili style ya kukikabili kwani Wizara ina mambo mengi sana ya...
  10. Analogia Malenga

    Kassim Majaliwa: Marufuku Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwa na mabaunsa

    Wakuu wa mikoa na wilaya wameelezwa mambo kadhaa ambayo hawatakiwi kuyafanya katika utekelezaji wa majukumu yao, ikiwemo kutumia walinzi binafsi ‘mabaunsa’ na matumizi ya magari binafsi yanayowekwa nembo ya Serikali. Vilevile, wametakiwa kuacha kutumia vibaya Sheria inayowapa mamlaka ya...
  11. B

    Rais Samia, teuzi za Ma-DC, RC, RAS na DAS zirudishe kwa vijana walio katika utumishi wa umma

    Kwa miaka zaidi ya kumi Sasa wanasiasa wamekosa nidhamu na weledi wa utoaji huduma katika ngazi tajwa. Naamini watumishi wa Umma wengi hawafungamani na sana na vyama vya siasa, kwao wao kazi ndo msingi wa maisha. Wengi hawawazi kugombea Wala kujipendekeza kuteuliwa. Kuwateua vijana kutoka...
  12. Replica

    Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  13. Replica

    Rais Samia awaapisha Wakuu wa Mikoa. Afanya mabadiliko madogo, Kafulila apelekwa Simiyu, Mongella aletwa Arusha

    Dkt. Mpango: Wakuu wa Mikoa wasiwe walevi na wazinzi Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi Asema Kiongozi mzuri ni yule mwenye busara na bidii ya kazi Jaji Mkuu: DPP ni chujio la kwanza la haki Prof. Ibrahim Juma...
  14. Erythrocyte

    Serikali: Majaji wateule kuapishwa Mei 17, Wakuu wa Mikoa Mei 19

    Hii ndio Taarifa ya serikali ya Tanzania iliyosambazwa kwa vyombo vya habari . Shughuli hizo zitafanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete .
  15. sajo

    Umri wa Kustaafu kwa Wakuu wa Mikoa na wa Wilaya; Sheria za nchi zinafuatwa?

    Fahamu kwamba kwa mujibu wa sheria ya uongozi wa mikoa (The Regional Administration Act) Sura ya 97, Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ni maofisa (watumishi) wa Umma (Kifungu cha 3 na kifungu cha 4 (2)). Stahiki na mafao yao ma-RC na ma-DC zimeelezwa katika Sehemu ya 6 ya Sheria ya the Political...
  16. Ngamanya Kitangalala

    Wakuu wa mikoa wamestaafu Utumishi wa Umma kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi wao

    Nimejaribu kuangalia sheria na kanuni kadhaa kuhusu hili swala la KUSTAAFU kwa wakuu wa mikoa. Nimesoma sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2002 (The Public Service Act,2002) pamoja na mabadiliko yake. Pia nimesoma kanuni za utumishi wa umma za mwaka 2003 (The Public Service Regulations...
  17. Roving Journalist

    Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

    Salaam Wakuu, Huu ndo uteuzi rais kafanya. Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP), Hamduni Mkuu wa TAKUKURU, Amos Makala kawa mkuu wa Mkoa wa Dar, Kafulila kawa mkuu wa Mkoa Arusha, Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Queen...
  18. J

    Waziri Ummy: Marufuku Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuingiza Siasa kwenye taaluma ya Uuguzi

    Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa wanasiasa kuingilia taaluma ya Uuguzi. Waziri Ummy amesema tabia ya Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwakamata Wauguzi na Madaktari na kuwaweka ndani haikubaliki kabisa na atakayethubutu kuwachezea watumishi wa afya yeye kama Boss wao...
  19. GENTAMYCINE

    Je, 'Kutumbua' Wakuu wa Mikoa na Wilaya kabla au baada ya Siku Kuu ya 'Eid' ipi ina Afya ya 'Kisaikolojia' kwa Walengwa?

    Kama nawaona sasa baadhi ya Watu (Walengwa) baada ya Kuusoma tu 'Uzi' huu watakavyoanza Kupiga Simu kwa Waganga wa Kienyeji na hata Kuomba 'appointment' nao haraka. Moshi Mweupe unaanza Kupaa tu sasa.
  20. Kijana ushe2

    Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa na wakurugenzi matumbo joto

    Ndugu wanasiasa wenzangu, awali ya yote nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KAZI IENDELEE. Hawa watu wanahangaika sana na pia inabidi ikimpendeza Rais awateue upya au awaambie wachape kazi tu maana wanatumia fedha za umma vibaya. Wakurugenzi ndio wa hovyo kabsa muda huu kila...
Back
Top Bottom