wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atoa salamu kwa wakulima

    Dodoma, Tanzania MHE. TUNDU LISSU AKITOA SALAMU KWA WAKULIMA IKIWA NI MAADHIMISHO YA SIKU YA NANE NANE Leo ni NaneNane sikukuu ya wakulima, tufikirie hali ya mkulima popote katika nchi hii, tufikirie hali ya mfugaji na mvuvi katika nchi hii. Wakulima hawa wana umasikini mkubwa wakati...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 1: Mgombea wa Chama cha Wakulima (AAFP), Seif Maalim Seif achukua fomu (NEC) ya kuwania Urais wa Tanzania

    Mgombea wa Chama cha Wakulima (AAFP) Seif Maalim Seif amekuwa wa kwanza kufika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kuchukua fomu ya kuwania Urais kwaajili ya kugombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mgombea mwenza wake ni Rashid Ligania.
  3. T

    JamiiForums Tanzania CCM inaenda kuondolewa na watumishi wa Umma, Wahitimu wa Vyuo, Wakulima na wafanyabiashara

    Watumishi wa umma hawajapata nyongeza ya mishahara kwa miaka mitano, kupanda madaraja na vyeo ni ndoto, uhamisho wa kubadilishana ni hadithi Wahitimu wengi sana wa vyuo hawana ajira tangu 2015 mpaka sasa, ajira ya moja kwa moja ilikoma Mei 01, 2015 enzi za Jakaya. Wakulima wanadhulumiwa mazao...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa siku 14 kwa Bodi ya Nafaka kukamilisha malipo ya Wakulima wa Korosho

    Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ametoa siku 14 kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao mchanganyiko Dkt Anslem Moshi kukamilisha malipo ya wakulima wote waliouza korosho msimu wa mwaka 2018/2019. Waziri Hasunga ametoa agizo hilo wakati alipotembelea na kukagua shughuli za utendaji kazi...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yafaulu kuuza maparachichi kwa mataifa 42, mwendo wa mbele kwa mbele, wakulima wetu hoyee

    Hii nchi tunapambana sio mchezo, shukrani za dhati ziwafikie wanaotafuta haya masoko maana hali inazidi kunoga kwa wakulima wetu. Kenyan avocado exports hit a record high in the first half of 2020 with more than 58,400 tonnes sold to 42 countries, thanks to the Covid-19 pandemic. Data from the...
  6. JamiiForums Tanzania Wakulima tumieni pikipiki kulimia shambani. Sio lazima uwe trekta pikipiki inatosha

    Pikipiki ni bei rahisi kuliko trekta na inaweza tumika kulimia
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dodoma Stendi kama Ulaya vs Nairobi Soko la Wakulima

    Leo nimesoma Dodoma imekuwa kama ulaya kwa mujibu wa stendi mpya. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shukrani nikaskia zinapewa JPM. Kwani rais ndiye kufanya kazi yote Tanzania? Nayo hii soko kubwa mpya Nairobi vipi? Mbona kila project ndogo ya Tanzania lazima itangazwe hapa kwa section ya Kenya? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Haya oneni pia...
  8. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud amechukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

    Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho. Said aliyechukua fomu katika ofisi za chama hicho zilizoko Mwera, amesema iwapo atapata ridhaa hiyo atazingatia suala la amani na utulivu sambamba...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka alama 'Jembe na Nyundo' hadi kuwa alama ya 'Jiwe'"

    Habani wana JF Toka enzi za TANu kabla na baada Uhuru wa Tanganyika hadi kuzaliwa kwa CCM, chama hiki kimekuwa kikijinasibu kuwa ni chama cha kutetea maslahi ya Wakulima na Wafanyakazi wa nchi hii! Tangu Serikali ya awamu ya Rais Magufuli maarufu a.k.a Jiwe iingie madarakani Wakulima Tanzania...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wakulima waliopo Mwasonga-Kigamboni nahitaji kujifunza zaidi

    Habarini wa JamiiForums na wakulima kwa ujumla, Ningependa kufahamiana na wakulima wenzangu waliopo Mwasonga-Kigamboni ili kuweza kutembeleana kujifunza zaidi.
  11. JamiiForums Tanzania Wakulima Wilaya ya Ikungi wampongeza Rais Magufuli kwa mfumo wa stakabadhi ghalani

    Wakulima Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, wamempongeza Rais Dkt. John Magufuli kwa kuelekeza ununuzi wa mazao yao kwa mfumo wa stakabadhi ghalani. Pongezi hizo walizitoa mwishoni mwa wiki wakati wa ulipwaji wa fedha zao baada ya kuuza choroko kwa njia ya stakabadhi ghalani katika Kata ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ukiwa bepari "uchwara" kifikra usijiunge na Chadema maana utalizwa kama mtoto, nenda chama cha Wakulima na Wafanyakazi CCM

    Nakupa tu angalizo kama wewe ni mgeni siasa. Ukiyasoma vizuri malengo ya Chadema na katiba yake huwezi kumkosoa Mbowe maana havunji taratibu yoyote ndani ya chama. Tatizo vijana wengi huvamia siasa za vyama bila kujua malengo ya chama husika. Kwa mfano CCM iliasisiwa ili kuwatumikia Wakulima...
  13. JamiiForums Tanzania Je, wakulima wamejipanga vipi kunufaika na kilimo cha umwagiliaji baada ya bwawa la Nyerere kukamilika?

    Katika siku za usoni, chakula kitakuja kuwa ndio nyenzo muhimu ya nguvu la taifa husika, taifa lenye chakula cha kutosha na cha uhakika ndilo litakuwa na sauti nguvu ya maamuzi. Kwamba atakaeleta ubishi basi ananyimwa chakula, na hapo hapo anarudi kwenye mstari. Sasa basi, kwakuwa changamoto...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Serikali okoa wakulima wa papai

    Hapo nyuma nilileta uzi wangu wa kuhusu kushuka kwa soko la papai lakini mods wakaunganisha na uzi mwingine,mimi kilio changu ni kile kile kama mkulima wa zao hili la papai,kumekua na changamoto kwenye mauzo baada ya mh.rais kutangaza kua vipimo vilibaini kwamba papai lina corona.Baada ya hapo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Sasa migogoro ya wakulima na wafugaji imekomeshwa

    Hivi ni kweli kwamba migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji sasa imeisha,au labda vyombo vya habari vinaogopa kureport kwakua rais alisha piga mkwala kwamba vina uhuru "but not to that extent". Kama bado ipo na vyombo vya habari vinaogopa kureport nini hatima yake na kama kweli...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa mapapai na mafenesi poleni Sana. Kitumbua kimemwagiwa Mchanga!

    Katika hotuba ya Mhe. Rais leo anasema watu wake walipenyeza sampuli za mapapai na mafenesi katika maabara ya Vipimo vya COVID-19. Ikagundulika vina Corona. Hali hii inaweza kuleta athari mbaya kwenye soko la mazao haya! Nawasilisha!
  17. H

    JamiiForums Tanzania Hasara ya COVID-19 kwa wakulima wa mazao ya bustani

    Habari wanajamvi, Je, kwa hali inayoendelea mnahisi kwa wakulima wa ndani ambao wanalima mazao ya bustani wameathirika au wanaathirika vipi kwa kipindi hiki na je, ikitokea lockdown itaathiri vipi mazao yao kwa kuzingatia mambo yafuatayo: 1. Elimu ya matunzo ya mazao shamba bado dogo na bado...
  18. JamiiForums Tanzania Chama cha Wakulima na Wafanyakazi

    CCM ni chama ambacho kimejitanabaisha kuwa ni chama cha wakulima na wafanya kazi hata nembo yake ni jembe na nyundo. Mimi nachelea kuwaongezea kuwa ni chama cha wafanyabiashara pia. Swali langu ni, je kwa miaka minne iliyopita ni kada ipi imefaidi zaidi na ccm kati ya Wakulima, Wafanyakazi na...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali mkoani Lindi imekiri kudaiwa TZS Billioni 6.9 za wakulima wa korosho ambao hawajalipwa 2018/2019

    Serikali mkoani Lindi imekiri kua inadaiwa na wakulima wa korosho kiasi cha Bilioni 6.9 za wakulima wa korosho kwa msimu wa 2018/2019. Wakulima hao ni wale serikali ilichukua korosho zao na kuahidi kuwalipa ila hadi sasa hawajalipwa. Serikali inadai sababu kubwa ya kuchelewa kuwipa ni kutokana...
  20. JamiiForums Tanzania Mh, Waziri Mkuu: Vyama Vikuu vya Ushirika vya SHIRECU na NCU vilitia umasikini wakulima wa Kanda ya Ziwa kwa wizi; kama wahusika wapo, wakamatwe.

    Awali ya yote, niipongeze TAKUKURU kwa namna wanavyoshughulikia wezi wa fedha na mali za vyama vya ushirika. Nimeona kule Kusini hasa zao la Korosho, wezi wakiamriwa kurejesha mamilioni ya fedha, Tabora nako nimeona. Kwa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza, kuna Vyama viwili vya SHIRECU (Shinyanga) na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…