wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Rais Samia kwa kuwainua kiuchumi wakulima, umeliinua taifa kwa kuwainua wakulima

    Ndugu zangu watanzania, Asilimia kubwa ya watanzania Ni wakulima waliojiajiri katika kilimo, wanao tegemea kilimo kuendesha maisha yao, wanaojenga na kununua sare za shule kwa sababu ya kilimo, wanao fungua miradi kwa sababu ya kilimo, wanao nunua magari kwa sababu ya kilimo, wanaojenga nyumba...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wanufaika na masoko ya nje

    Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kukifanya kilimo kuwa biashara upatikanaji wa masoko ya kuuza mazao nje ya nchi umeongezeka. Mauzo ya mazao ya mchele yameongezeka kutoka Tan 184,521 zenye thamani ya Bilioni 176.4 mwaka 2020 hadi Tan 441,908 hadi tani zenye thamani ya Bilioni 476.8...
  3. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Mama Samia ndio kipindi cha Wakulima wa Mazao ya Nafaka kutoka kimaisha

    Tokea Awamu hii iingie Madarakani naona imeamua kuwachia wakulima hasa wa nafaka wanufaike, kila siku ukienda sokoni bei ya nafaka iko juu, kwani mipaka imefunguliwa na ukichanganya na Athari za mabadiliko ya Tabia ya nchi. Kama Mkulima umeweza kuhifadhi angalau gunia 20 za Mahindi mwezi...
  4. JamiiForums Tanzania Wakulima Mbeya walia uhaba mbolea ya ruzuku

    Wakulima wa Tarafa ya Kiwanja, Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wamelalamikia uhaba wa mbolea na pembejeo za ruzuku. Wakizungumza haya Novemba 28, 2022 wakati wakizungumza na mwandishi wa habari hizi ambapo wamedai kuwa katika maeneo yao mpaka sasa hakuna mawakala wa pembejeo licha...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wakulima waapa kumpigania na kumuunga mkono Rais Samia na CCM

    Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima. Ndio kauli ya pamoja, Ndio msimamo wa wakulima, Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais Samia katika uongozi wake wa kuendesha serikali yake ya CCM, wameapa kumpa ushirikiano wa kutosha...
  6. G

    JamiiForums Tanzania RC Iringa na maandamano ya feki ya wakulima Iringa kumpongeza Rais Samia

    Leo nawaelezakile am.acho. nimekishuhidua na kukwazika nacho leo kwa upuuzi wa ajabu wa huyu mama alichotufanyia leo wakulima wa mkoa wa Iringa. Ni hivi, jana mchana nilipigiwa simu na bwanashamba wa hapa kata moja ya hapa Iringa Manispaa kuwa RC anatuhitaji wakulima 20 toka Manispaa ya Iringa...
  7. JamiiForums Tanzania Wakulima Manyara wamuunga mkono Rais Samia

    Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana. DKT BASHIRU, SONGA MBELE Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku. Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda. Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru ameikumbusha CCM kuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi siyo walanguzi!

    Kauli ya Dr Bashiru na mjadala ulioibuka unatosha kufanya tathmini ya chama. Sisi tukiwa elimu ya msingi tulifundishwa kuwa CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi, je hivi kweli chama chetu hiki kinasimamia hiyo misingi iliyoasisiwa na waasisi wake? Hotuba ya bashiru iliashiria mwana CCM...
  9. JamiiForums Tanzania Warioba: Siyo wakulima pekee wenye matatizo bali hata wafugaji na machinga nalo hilo ni janga!

    Waziri Mkuu Mstaafu mzee Sinde Warioba ameunga mkono hoja ya matatizo ya Wakulima na ameitaka Serikali isikwepe wajibu wake wa kuwatimizia matakwa yao na isipumbazwe na kundi la wapiga masifu ya hovyo. Vilevile mzee Warioba ameitaka Serikali kushughulikia tatizo la Wafugaji na Machinga kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Wakulima ni lazima muwafanye Watawala wawaheshimu, msikubali kuburuzwa na Wanyonyaji wachache

    Najiuliza Huyu Dkt. Bashiru ni mjamaa? Maana wajamaa ndio hupenda kutumia hili Neno Wanyonyaji Wakati wa Nyerere tuliimba "Mabepari walia kukatiwa mirija ya unyonyaji walipotangaziwa Azimio la Arusha" Dkt. Bashiru amesema Wakulima ndio wanawalisha Watawala hivyo ni lazima wawafanye wawaheshimu...
  11. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kuna Mvutano Mkubwa kati ya Wakulima na wafugaji Mkoani Lindi na Tunduru

    Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuwa kuna mvutano mkubwa baina ya wakulima na wafugaji mkoani Lindi na Wilaya ya Tunduru kwa kile alichobainisha kuwa ni kukosekana kwa mipango ya matumizi sahihi ya ardhi kama ilivyokusudiwa. Kupitia chapisho lake aliloweka kwenye...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru Ally, wakulima wamemuelewa Rais Samia acha wamsifie anaupiga mwingi, chuki ya nini?

    DR. BASHIRU ALLY WAKULIMA WAMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ACHA WAMSIFIE ANAUPIGA MWINGI CHUKI YA NINI? DR. BASHIRU ALLY Acha serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN ifanyekazi yake ya kuboresha Mazingira ya Kilimo nchini. Chuki, kinyongo na Uchochezi hauna nafasi acha...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wakulima tumpuuze Dr. Bashiru Ally hana jema kwa Taifa letu

    Hali isiyokuwa ya kawaida tarehe 17 Novemba, 2022 wakati wa mkutano wa wakulima Dr. Bashiru Ally aliongea maneno yenye chuki, kuvunja moyo na yenye uchochezi na kumgombanisha Rais na wakulima ili hali wakulima wanajua mazuri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha muda mfupi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Kigoma kukoje? Wakulima wanakaa foleni wiki nzima kusubiri mbolea ya Ruzuku

    Kigoma wanaishije lakini? Nimeshuhudia kupitia ITV habari Wakulima wanalalamikia mbolea ya Ruzuku wanaifuata mjini na wakifika wanakaa foleni zaidi ya Siku tatu ndio unauziwa Ndio najiuliza Kigoma ni Tanzania kweli?
  15. JamiiForums Tanzania Kutokunywa maziwa kunafanya wakulima kuwa wafupi

    Fuatilia jamii za wakulima na wafugaji. Utaona wakulima ni wafupi sana. Watu warefu kabisa Afrika wote ni wafugaji. Wadinka na wasudan kusini wengine, Wamasai, Watutsi, wahausa n.k, na hata kwa kawaida wabantu si warefu (sababu ya lishe duni), lakini Wukuma na Wakurya ni warefu sababu ya kupiga...
  16. JamiiForums Tanzania Morogoro: Mauaji ya wakulima na wafugaji, IGP Wambura aagiza askari wapishe uchunguzi

    IGP Camillus Wambura ametoa maagizo hayo kutokana na watu wawili kuuawa kwa silaha za moto na wawili kujeruhiwa wakati Polisi wakizuia vurugu Kijiji cha Ikwambi Kata ya Mofu, Wilaya ya Kilombero, Oktoba 23, 2022. IGP Wambura amesema “Nimeunda Tume Huru kuchunguza vurugu zinazotokea, lengo kujua...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe, TADB wanakopesha wakulima gani?

    Habari ndugu wanajamii.Kuna benki inajiita ya kilimo tanzania hawa jamaa sijuhi wanakopesha wakulima wa nchiiii gani??Au ipo kisiasa na kimtego kuadaa wananchii. Ukienda pale watakwambia uende kwenye benki za biashara kwamba wanamakubaliano nao kukopesha wakulima na Wafugaji.Lakini kule benki...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, mbolea ya ruzuku ikichelewa wakulima wa kutotegemea mvua tutapata hasara kubwa

    Ombi kwa mheshimiwa Raisi Mama Samia. Mpango wa mbolea ya ruzuku ni mzuri sana na wenye tija kama utatekelezwa kwa wakati. Serikali yako imesikiliza kilio cha wakulima cha muda mrefu. Hongera sana. Pongezi pia ziwafikie washauri wako na wazira ya kilimo kwa ujumla. Mpango huu umeanza kuwa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia kwa kusimama na wakulima kwa kuwaruhusu kuuza mahali popote palipo na Bei nzuri

    Ndugu zangu Sote tunafahamu kuwa secta ya kilimo katika nchi hii imeajiri na kubeba kundi kubwa Sana la watanzania, Ni secta ambayo ndio pumzi ya familia na Kaya nyingi, Ni secta inayotegemewa na watanzania wengi Kama shughuli kuu ya kiuchumi, Ni kimbilio la wengi, Ni ngazi ya wengi, Ni njia...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta connection ya wakulima wakubwa na wakati wa mazao mbalimbali

    Hello! Natafuta mtu anayefanya au kuniconnect na wakulima wakubwa na wa saizi ya kati sehemu yoyote Tanzania wanaojihusisha na kilimo cha mazao mbalimbali! Ikiwemo Parachichi, Maembe, Pilipili, Kunde, mbaazi, Njegere, Maharage e.t.c Naomba tuwasiliane: 0743 848598
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…