wakubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi wauza nafaka wote hapa Dar ni kweli wote huagiza nafaka mikoani au wengi wao hununua tu kwa wauzaji wakubwa wa jumla?

    Habari wana jf natumai wote mko poa Hii habari inanishangaza kila kila ninapoenda kununa labda mchele au maharage kila mfanyabiashar nikimuuliza hizi unachukulia wapi huwa wananiambia wanachukulia mikoani afu ukute ana gunia tano tu au kumi Nimezunguka maduka mengi ila wengi wao wananiambia tu...
  2. Misafara mirefu ya wakubwa siyo rahisi kuiepuka serikalini na kanisani

  3. Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia, Ukraine, Israel, US na Ulaya wanaweza kukaa kikao sehemu mafichoni huku wanatrigger mambo duniani na media...
  4. Wanaume mlio oa na mlio na watoto wa kike wakubwa ( mabinti vigori/li) Hivi jina " Dullah" liliwakosea nini mbona mnali demonize hivyo?

    Kosa jamaa aambiwe " Kaka mkeo alikuwa anaongea na Dullah" yani jamaa hata kama hamfahamu huyo Dullah basi atawaza tu kwamba huyo Dullah anatembea na mkewe. Atagombana na mkewe na atakuwekea jealousy wewe Dullah. Unashangaa tu unakutana na mtu barabarani ana kuangalia kwa chuki unabaki...
  5. Viongozi wakubwa duniani wajitokeza kulaani shambulio la Israel dhidi ya watu wa msaada

    Moja kwa Moja.. Baada ya Jeshi la Israel kufanya Sbambulizi la anga katika mwa Gaza na kukenga gari la shirika la msaada la chakula na kuuwa wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa ndani wakiweno raia watatu wa Uingereza , raia wa Poland , Australia na Palestina viongozi mbalimbali wamejitokeza...
  6. Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

    Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM. ==== Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
  7. Tafuta Pesa Uamkiwe na wakubwa zako

  8. Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

    TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU. Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita. Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume. Akiwa njiani aliitwa na watu...
  9. Faida ya Sayansi kwa wafanya biashara wakubwa duniani

    Habari za Saahizi Wana Jf Kunavitu Duniani ni Enderevu Kwa wafanyabiashara Wakubwa DUNIANI , Hadi Wanakufa Ni Bilinear . 🖐️Watanyabiashara wa Dawa za meno wengi maisha yao yote wataendelea kupiga Pesa TU, 🖐️Wafanyabiashara wa Dawa za Malaria pia Hawa wataendelea kupiga Pesa maisha Yao yote...
  10. U

    Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Kichwa cha habari chajieleza!Mwenye kuujua Ninaomba anijuze ni ugonjwa gani na unatibiwaje? Nimeshatumia dawa nyingi zote nikishauriwa na "wataalamu"!! Nina imani JF ni baba wa wataalamu! Karibuni mnishauri! Nimeambatanisha na picha.
  11. Ubinadamu unapo ingia kwenye maslahi ya wakubwa, na kupelekea tafrani

    85 Years Ago to date, Sunday, 10 October 1938 Soviet Union, Moscow Siku hii anazaliwa mtoto mwenye akili nyingi sana Jijini Moscow Urusi, Hawa ndio wale watoto ambao huzaliwa mara moja Baada ya miongo kadhaa. Kwa kuwa alikuwa ni mtoto mwenye akili nyingi, alifanikiwa kusoma kwenye shuke za...
  12. Kwanini duniani, Afrika na Tanzania kwenye list ya matajiri wakubwa wanawake hawamo?

    Leo nilikuwa napitia mtandao wa matajiri na taarifa za mabilionea mbalimbali Duniani, kwenye mabara, na hasa Africa na nchini Tanzania. Nimeshangaa kuona wanawake kwenye haya mambo hawapo kabisa, wakati utafiti jamii usio wa kitaalam imegundulika mwanamke ndio kiumbe anayependa Pesa na mali...
  13. H

    Habari naomba ushauri au mwongozo kuhusu biashara ya Raba za mitumba za wakubwa na watoto bei ya Balo na wapi pakuzipata.

    Habari naomba ushauri au mwongozo jujutsu biashara ya Raba za mitumba za wakubwa na watoto bei ya Balo na wapi pakuzipata.
  14. Movie ya The Beekeeper ni dongo kwa viongozi wakubwa ambao utumia wanao au watu kujitafutia pesa haramu kwa ajili madaraka yao

    movie ambayo inamuonesha jason mzee wa ngumi za kutosha ambaye ni mtandao wa siri wasio julikana ndani ya serikali nyingi duniani. tuje kwenye mada: kiufupi ukiangalia hii movie iliyotoka 2024 unaoneshwa makampuni ambayo yapo nyuma ya vigogo kama za mikopo umiza,utapeli kwenye mitandao na n.k...
  15. Mashambulizi ya Iran huko Iraq yamuua mmoja kati ya matajiri wakubwa wa Iraq

    BREAKING; Islamic regime ya Iran usiku wa kuamkia leo ilimuua mmoja wa watu tajiri zaidi wa Iraq, Peshraw Dizayee, kwa kurusha makombora 2 ya ballistic from Iran hadi nyumbani kwake huko Erbil, Iraq. Mkewe na jamaa wengine 2 pia waliuawa. Alilengwa kwa sababu ya kuwezesha biashara na Israel...
  16. Kisa cha Marafiki Wawili, Madikteta Wakubwa wa Afrika

    Tarehe 8 Januari 1989 serikali ya Uganda ilitoa wito kwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo kumpeleka Idd Amin nchini Uganda ili kujibu mashtaka yanayomkabili ikiwemo uvunjifu wa haki za binadamu. Lakini serikali ya nchi ya DRC wakati ule ikiitwa Zaire ilikataa kutii wito huo. Pichani anaonekana...
  17. Yaani serious kabisa Watanzania hamumjui anayewakamata na kuwateka Wafanyabishara wakubwa wa Singida?

    Na nyie Wafanyabishara wa Singida kwanini hata kama mnataka Kugombea Ubunge ( wa Jimbo Moja ) msiwe Wasiri ( Wakimya ) na badala yake Mnapayuka hadi mnayemtishia Ubunge wake anajua na anaanza nae Kuwakomoeni Kimafia kama hivi? Hata Mimi GENTAMYCINE nataka Kugombea Urais wa Tanzania lakini...
  18. Matajiri wakubwa wa Marekani kutembelea Israel kuonyesha wanafungamana na Israel kwa vyovyote

    Na hiki nimekisema mara nyingi, mataifa makubwa makubwa huko ngazi za juu zimeshikiliwa na Wayahudi, sasa unakuta mtu anayeshindia ubwabwa pale Buza anakuambia dini imesema Wayahudi watamalizwa wote hivyo amekaa anasubiri kiama cha kuwamaliza Wayahudi, anasahau kila anachokitumia kimetokana na...
  19. B

    Nahitaji Kuku wa kienyeji pure wakubwa

    Habari nina tafuta kuku wa kienyeji pure kwa ajli ya kufuga wale mbegu kubwa. Nipo Dar es salaam kwa alyenao tuwasiliane.
  20. S

    Tazama jinsi wakubwa wanavyolindana kwenye suala la ufisadi

    Jichanganye ewe kijana uibe kuku.....utafungwa miaka 20. Jichanganye ewe askari polisi, hakimu, daktari na nesi, ule rushwa ya laki moja tu. Utafutwa kazi na kifungo cha miaka 20. Jichanganye ewe mwalimu ucheze muziki wa Zuchu tu. Utafutwa cheo na kama huna cheo utafutwa kazi. N.B: Kama bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…