wakristo

  1. Optimists

    JamiiForums Tanzania Wakristo kuoa ni gharama sana, pamoja na kukomoana kwenye mahari.

    Nimejichanga nina milion 3 kwenye saving yangu, nilikua na malengo ya kuongeza million 2 nyingine niiwekeze sehemu, harakati fulani, hapa na pale pressure kutoka kwa wazazi juu ya kuoa, kila siku simu zinapigwa kuniulizia naoa lini, kitu ambacho sioni kwamba ni kibaya,.. Sasa kuna binti ambaye...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanaoilaani na kuishambulia Israeli taifa teule wamepotoka?

    Ni sahihi kwa Mkristo kuipinga, kuibagaza, kuilaani na kushambulia taifa teule la Israel wakati Biblia imejaa maandiko tele yanayoonyesha Israel ni taifa teule ambalo ukilibariki na wewe utabarikiwa ? Mkristo kuilaani Israel sio kwenda kinyume na maandiko yanayomuongoza pamoja na viongozi wake...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wakristo kimbieni upumbavu wa kuombewa

    Mkristo wa kweli au unayejiita umeokoka unaenda kutafuta huduma za maombezi. Eti umemwamini Mungu lakini mahitaji yako ni mpaka tena mtu mwingine akayapeleke kwa Mungu baba yako! Una akili timamu kweli wewe? Tuache upumbavu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya Bashar Assad

    Mzuka wanajamvi! Picha ya Familia ya dikteta aliyepinduliwa na waasi nchini Syria Bashar Al Assad ambaye anaanza maisha mapya Moscow akiwa na utajiri wa dollars za kimarekani 2 billion. Kushoto kwenda kulia ni binti yake wa kipekee Zein, Yeye, mke wake Asma, na vijana wake Karim na Hafez...
  5. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia ya kiarabu na wakristo wameniambia niache kutembea na mtoto wao eti kisa nimi ni muislamu nikiendelea watanifunga jela

    Aisee hizi familia za kishua bwana sijui wanajikuta nani sijui wanajikuta nani aisee hii familia Wana hela kweli kweli na familia ya kiarabu na familia ya kikristo hawa sijui waarabu gani hawa ambao ni dini ya kikristo wameniambia niache kutembea na binti yao eti kisa mie ni muislamu na sina...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Naupenda uislam tatizo wakijaa kunaanza matukio ya kushambulia wakristo, kulazimisha sheria za kiislam, kuweka vizuizi vya makanisa, n.k.

    Uislam ukiwa na watu wachache kwenye nchi au sehem yenye mamlaka ni dini nzuri lakini tatizo ni pale wanapokuwa wengi balaa ndipo huanza. Kunazuka mashambulizi dhidi ya wakristo kwa kuonekana ni maadui wa uislam (wao huita makafiri) - Basi hapa huzuka matukio ya wakristo kupigwa, kubomolewa...
  7. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
  8. sanalii

    JamiiForums Tanzania Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

    Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam. Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani. Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Amechaguliwa na Mungu': Wakristo wanaomwona Trump kama mwokozi wao

    Amechaguliwa na Mungu': Wakristo wanaomwona Trump kama mwokozi wao Akiwa amesimama kwenye jukwaa katika kituo cha mikutano cha Florida usiku wa uchaguzi, safu ya bendera za Marekani nyuma yake na umati wa watu wenye furaha wakitazama, Donald Trump alisema: "Watu wengi wameniambia kwamba Mungu...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo na Waislamu wa zamani walichukulia utumwa kama jambo la kawaida ni sio uovu?

    Wakristo na Waislamu waliomiliki watumwa kabla biashara ya utumwa haijakomeshwa walikuwa watu wema wa dini zao au waovu watakaochomwa moto? Kwa nini inaonekana watu wa hizi dini kubwa mbili walikuwa wanachukulia utumwa kama jambo la kawaida tu hapo zamani? Hawakuwa na utashi(conscience)??
  11. Chizi Maarifer

    JamiiForums Tanzania Wakristo na wale watalaam wa biblia, wanatheologia tunaomba ufafanuzi kwenye agano la kale

    Haya.
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate. Hii ni mada ya swali jee wajua kuwa kwenye usafi binafsi wa mwili, kuna uwezekano Waislamu ni wasafi...
  13. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Madhumuni ya Jumuiya na Seli za Wakristo ni yapi?

    Naomba kusainiwa ndugu zangu hivi hizi jumuiya na seli za wakristo lengo lake hasa ni nini? Mbona sioni cha ziada, zaidi ya michango na kufokewa? Hizi jumuiya na seli zimekuwa kama vile mtego kwa wakristo wote, ooh haionekani seli/jumuiya anyimwe huduma. Yeyote mwenye kujua dhima na faida za...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Israeli ni Wakristo waliozaliwa mara ya pili, sio wale jamaa pale Middle East

    Wagalatia 3:28 ,29 Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu. Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi. Ni hayo tu. Mfano mimi sio mmatumbi kimsingi ni...
  15. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kiongozi wa Kiroho Kuwa na Muda na Wakristo ili Kuwaimarisha

    Katika utumishi wa Mungu, mahubiri pekee hayawezi kuwatosheleza waumini kupata uimarishaji wa kiroho. Ingawa mahubiri ni muhimu, watu wanahitaji zaidi ya neno linalotolewa madhabahuni. Wanahitaji muda wa kibinafsi na viongozi wao wa kiroho ili kupata msaada wa kiroho na kiushauri, kuelewa...
  16. Wambandwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Uturuki inaituhumu Israel kwa genocide kwa Wapalestina. Je, wao wamesahau walichowafanyia Wakristo wa Armenia?

    Mamlaka ya uturuki iliwaua Waarmenia kati ya 600,000 hadi 1,500,000. Mnamo tarehe 24 Aprili 1915, mamlaka ya Ottoman ilikamata na kufukuza mamia ya wasomi na viongozi wa Armenia kutoka Constantinople. Kwa amri ya Talaat Pasha, wastani wa Waarmenia 800,000 hadi milioni 1.2 walipelekwa kinguvu...
  18. Kijana mtafutaji

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislamu wengi wanaonekana mafukara kuliko Wakristo?

    binafsi nimefanya tafiti katika makanisa na misikiti, haswa katika utoaji sadaka unakuta ukienda makanisani wakati wa sadaka,wanakuwa na bonge la kapu hilo kapu hela zitakozajaa mule haujahesabu unasema pale si chini ya milion 1, njoo huku kwa waislamu unakuta sheikh anachangisha sadaka kwenye...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha uhuru wa kiimani ni namna dini yenye waumini wengi inavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti, ni neema tumezaliwa nchi iliyojaa wakristo

    Kipimo cha ubora wa dini ni namna unavyoweza kuishi na wanaoamini dini tofauti na yako. Kama jirani yako anaabudu ng'ombe na hakubagui wala kukunyanyasa wewe unayemuabudu Jehova au Allah hakika huyo ni jirani mwema na bora zaidi ya wale wanaohubiri amani na upendo huku wanalazimisha sheria za...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Wajue Wayahudi wa Haredi: wanatemea mate Wakristo, wanapinga uwepo wa taifa la Israel, hujitenga na wayahudi wengine, hutegemea misaada kujikimu

    Wengi wetu sio wageni kuziona video za wakristo wanatemewa mate wakienda Israel, Ni matukio yanayotokea mara chache lakini kwa jinisi yanavyotrend yanajenga picha kwamba ni matukio ya kila siku na wayahudi wote wapo hivyo, LA HASHA !! Ni jamii ya wayahudi wa Heredi, Kwa idadi yao kuna myahudi wa...
Back
Top Bottom