Waafrika hao ndivyo walivyoelewa na siyo kwamba wao ndiyo wako sahihi kwa walivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA kwani wanaishi kwa hofu ya moto kwa mambo ya kuhadithiwa na watu waliowatawala na wasiyokuwa na utu
Wadau hamjamboni nyote?
Tafadhali toa ushahidi kwa kile unachochangia vinginevyo ukae kimya
Dini halisi zinakataa katukatu kuwa Kristo aliteswa na kufufuka, nyie mmetoa wapi habari hizo?
Tafakuri ya Kimaandiko
Jioni njema
Kila mwaka huwa tunashudia mamia ya watoto wanaoshindana kwa kuhifadhi kitabu kitakatifu cha Quran.Hufanyika ngazi ya misikiti mpaka kimataifa kwenye viwanja vikubwa vya kitaifa,
Wako kama mimi wanaoweza kukariri juzuu moja yenye sura 36 fupi fupi.Wako juzuu 2,,3..4 mpaka 30.Tena ukariri huo...
Katika historia yote ya falsafa, dini, na tafakari za kiroho, dhana ya uhusiano kati ya mwanadamu na Mungu imekuwa ikiibua maswali magumu. Mwanadamu anahisi hitaji la maana, mwelekeo, na mwongozo wa kimungu katika maisha yake.
Hili ndilo linalomfanya atafute dini, mifumo ya kiimani, na hata...
Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima.
Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi???
Nipo kariakooo pale...
The lord be with you
Hii thread special kwa wakristo tu kama muislamu sapoti lengo la mada makasiriko peleka jukwaa la siasa
Kuna maandiko ya bible ukisimamia wakati umekata tamaa mambo yana jibu sana na kukupa faraja
Zaburi 20 yotee
Zaburi 51 nasomaga yote kuna mda mpaka masisimuka kwa...
Wakristo kufuturisha waislamu badala ya wakristo wenzao mwezi huu wa kwaresma inafikirisha sana.
Mfano mama Janeth Magufuli aliandaa futari maalum kwa waislamu wanaoishi chato hali ya kuwa yeye ni mkristo na wakristo wenzake nao wapo kwenye mfungo kama waislamu.
Sasa je hii ni ishara tosha...
Nimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe.
Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana?
Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao...
Binafsi nimeguswa na funga ya wakristo wa madhehebu yote yanayofunga kipindi hiki Cha kwaresma,Funga yenu haina kelele Wala majisifu.
Sijasikia mkristo yeyote akijisifu utakatifu Kwa kufunga kwake.
Sijaona wakristo wakizuia wengine kula hadharani Wala kuonesha kuchukizwa na Hilo
Sijaona...
Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha yakiendelea huko Syria ulimwengu umeshikwa na kigugumizi na hatimaye kupotosha waziwazi Kuhusu mauaji...
Nimewahi kuwa muumini wa dini fulani kubwa ulimwenguni. Nilisoma kidogo basic ya dini ile.
Ile dini lengo lao ni moja tu, nalo ni kupata pepo ya Mwenyezi Mungu. Baadaye nikapata Neema ya kuwa Mkristo.
Ukristo yaani kuwa mfuasi wa Yesu ni jambo kubwa, la neema isiyo na kifani.
Ila nasikitika...
Kama kuna jambo ambalo wakristo wengi wanadanganywa na kuibiwa basi ni kwenye kitu kinaitwa Sadaka.
Kila ujanja ujanja wa viongozi wa kikristo kutaka kuwatapeli waumini pesa na mali zao basi sadaka ndio kichaka cha kwanza na haraka sana kinatumika. Na jambo hili lipo kwenye madhehebu yote ya...
Najiuliza swali kubwa sana kwa aina ya baadhi ya waumini wa pande zote mbili wanavyochuliana kimoyo moyo na kuchekeana kinafiki mdomoni je ni sahihi kwa Kiongozi wa nchi kuchangisha Pesa ya Makafiri ikajenge msikiti ?
https://youtu.be/dgtbhL0K8gA?si=qEayIB2FhFQcMpjs
Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu.
Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao zimeharibika. Wewe pepo, wewe jini, achia ,achia, kwa jina la Yesu!
Hao Wayahudi ambao wakristo...
Enzi za Musa na manabii wengine na hata wafalme walikuwa wakikosea Mungu anawaadhibu palepale na kisha Nabii anaambiw na Mungu kuwa watu hawa wamefanya machukizo kadhaa wa kadhaa.
Bali na yote walikuwa wanatoa sadaka na dhabihu za kuteketezwa. Na hapo Mungu aliwajibu kuwa dhambi zao...
Wengi wa hawa si wahubiri wa neno la Mungu wa kweli. Wataingiza tu maneno kama Yesu Kristo, Mungu Baba, Roho Mtakatifu, Biblia n.k kuwapumbaza watu ila uhalisia ni motivational speakers wanaotumia kichaka cha dini kutumia hamasa zao na kuchukua pesa za watu kwa jina la sadaka, matoleo,fungu...
Utafiti wa Kisayansi Wathibitisha: Wakristo ni Watu Wenye Furaha Zaidi
Utafiti wa kisayansi unaoendelea unathibitisha kuwa Wakristo mara kwa mara huripoti viwango vya juu vya furaha na kuridhika na maisha ikilinganishwa na wasioamini. Tafiti kutoka Pew Research na Gallup zinaonyesha kuwa...
Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi.
Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.