wakristo

  1. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nasikia wakristo wakishika miti ya minazi mnazi unakufa na mkristo akipanda mnazi unakufa

    Wakuu nasikia hivyo wakuu leo nimekaa kijiweni na wazee wa pwani hapa pwani ya pangani wanasema kwasababu mti wa minazi ni twahara kwa maana hiyo ili upande unatakiwa uwe twahara ukiushika huo mti wa mnazi wakuu je ni kweli wakuu?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila wakati ni mpaka Wakristo wafanye jambo ndio Waislamu wanakumbuka dini yao?

    Nimeona thread nyingi za wanazuoni wa Ki-Islamu wiki hii kuliko wakati mwingine mwezi uliopita. Hii inafuatia kupigwa na kujeruhiwa kwa Pd. Kitima ambaye ni Katibu wa TEC. Nimewahi kuona pia siku zilizopita Wakristo wakifanya jambo mathalani TEC kutoa waraka kwa waumini wake ndio rejea za dini...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Waislam wenye asili ya Zanzibar huwaona wakristo makafiri na maadui tofauti na waislam wabara ambao huwaona wakristo ni wenzao

    Niliwahi kuishi upareni nikakuta ndani ya familia kuna wakristo na waislam wanaishi vizuri tu. Nikaenda Zanzibar nikajiita Karim, nikapata wanawake wazuri sana, ila Walipogundua nina jina la kigalatiana walianza kunibagua japo kiuhalisia siendi msikitini wala kanisani Jijini Dar es salaam...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuandika wakristo wakitawala kuna kuwa na uvunjifu wa haki. Naomba nifute kauli Ile.

    Hamjambo wote! Bado ninaendelea kujiuguza lakini naendelea vizuri. Miaka kadhaa iliyopita wakati wa JPM niliwahi kuandika kuwa anapotawala Kiongozi Mkristo nchi inakuwa kwenye Hali ngumu huku nikiwasifia na kuwapa nafasi waislam kama watu wanaojali na kupenda Haki. Nakiri Leo kuwa niliandika...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajua Wakristo na Waislamu Watoto wa Baba Mmoja Ibarahim?Mungu Wao ni Mmoja?na Sheria yao n Moja ya Mussa?Amri Kuu ni Upendo!Uchaguzi Huu Tupendane!

    Wanabodi Leo tena naendelea na zile mada zangu za holistic approach kumtumia Mungu kwenye kufundisha mambo ya uchaguzi wetu wa mwaka huu ili twende kwenye uchaguzi mkuu ambao sio tuu ni uchaguzi huru na wa haki,bali pia uchaguzi wenye upendo,utulivu na amani!。 Mada ya leo ni kufundisha kuhusu...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania 1Timotheo 5:23 Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo.Ni wakati sasa Wakristo tukubaliane kuwa pombe ni halali.

    Iwapo wewe hutumii kitu basi usipande mibarini na kuanza kuhubiri watu kuwa pombe ni dhambi. Kila mtu kashajiwekea mipaka yake wapo wapagani kabisa hawajawahi kuambiwa na kiongozi yeyote wa dini kuwa pombe ni dhambi lakin automatic tu hawanywi hiyo ni mipaka yao wamesha jiwekea wenyewe mfano...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa mambo wakristo wamefanikiwa, ni kuvumiliana na kuficha siri

    Ukiangalia ukristo kwa nje, unaona ni lidude likubwa kabisa ililoshikamana kweli kweli, ila ndani yake ni vipande vingi ambavyo havina mfanano jambo hli waislam limewashinda, Sunni na shia wanazichapa kweli kweli, bakora zinaweza kutembea msikitini watu wakachapana kama hawajuani. wakristo...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenzangu naomba leo tulijadili hili kwani Mimi kama Mkristo siliafiki na sitoliafiki milele japo naona halijadiliwi na wala hatuelimishwi pia

    Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba Mwanamke yoyote akiwa Hedhini pale huwa anatoa Uchafu na anakuwa Mchafu vile vile (hili wala halina Ubishi labda tu uwe Mpumbavu wa kutolielewa) sasa ni kwanini au inakuwaje Wanawake wote wa Kikristo wakiwa Hedhini huenda Ibadani Makanisani tofauti na Wenzetu...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

    Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe. Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa. Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi). Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania wakristo kupigania haki wameanza tangu enzi ya mkoloni mjerumani

    Historia ya taifa letu inatufundisha kuwa mapambano ya kudai haki yamekuwepo tangu enzi za ukoloni. Hasa kipindi cha utawala wa Wajerumani, jamii za Wakristo walionekana kuwa mstari wa mbele katika kupinga dhuluma na ukandamizaji. Wakiwa na misingi ya imani yao, waliamka na kusimama kidete...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakristo kote nchini wametakiwa kutojihusisha na upokeaji wa rushwa kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Wakristo kote nchini wametakiwa kuwa mfano bora wa kuigwa kwa kuendele a kuyaishi matendo mema kama walivyofanya wakati wa kipindi cha mfungo wa Kwaresma kwa kudumiasha upendo na kujaliana na kuombea amani ya nchi katika kipindi hiki ambapo taifa linaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Urais Ubunge...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Utu Uzima Feki: Kukua kwa Umri Lakini Kukwama kwa Nafsi

    Asubuhi hii ya Pasaka, tunapoamka tukisikia mlio wa mataifa ukisherehekea ushindi dhidi ya kifo, tunakumbushwa kuwa Pasaka haimaanishi tu ufufuo wa Yesu, bali pia ni mwaliko wa kufufuka kwetu—kiroho, kiakili, na hata kijamii. Katika mwangaza huu wa asubuhi takatifu, tunapaswa kutafakari: Je...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ijumaa kuu kwa wakristo!! Wahouth nao wameshirikishwa ijumaa kuu na wamarekani

    Jana ilikuwa Ijumaa kuu maelfu ya Wakristo tuliandamana kupitia Dolorosa mjini Jerusalem kukumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu kristo. Tulipita njia ile aliyoipitia wakati ananda kusulubiwa Jana tuliadhimisha siku ambayo Yesu alisulubishwa—matembezi yake ya mwisho kupitia Yerusalemu, akiwa...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wakristo washerehekea Pasaka chini ya kipigo kikali cha mayahudi huko Gaza.70 wafa kote.

    Siku ya Pasaka ni moja ya siku za kuheshimika kwa wakristo kote duniani.Lakini kwa watu wa Gaza wa madhehebu ya kikristo na waislamu imekuwa ni moja ya siku chungu kwao baada ya watu zaidi ya 70 kuuliwa kwa siku moja maeneo mbali mbali ya ukanda huo wa Palestina. Katika siku hiyo ya Pasaka...
  15. mama D

    JamiiForums Tanzania Ijumaa kuu ikiwa kumbukizi ya mateso na kifo cha Kristo hatuli nyama ila vifo vya wapendwa wetu tunakula nyama tena tunaangusha ng'ombe kabisa

    Wakristo wenzangu, haswa wa kanisa mama kanisa Katoliki. Hii imekaaje? Tunajua, tunaamini na tunaiishii imani hii kwamba kula nyama ijumaa kuu siku ambayo Bwana wetu Yesu Kristo Aliteswa na kusulubishwa inachukuliwa kama Kufurahia au kusherekea mateso yake. Vipi kuhusu wale ng'ombe na mbuzi...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Nigeria imeshindwa kuwalinda raia wake Wakristo dhidi ya magaidi wauaji na kwa dunia imepuuza uhalifu huo dhidi ya binadamu?

    Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanapataje huduma za kiroho wakiwa Dubai?

    Ninavyofahamu, Dubai ni jiji la "Kimataifa" lililopo katika nchi ya Kiislamu! Wakristo wanaoishi huko wanapataje huduma za kiroho? Kuna Makanisa? Kama yapo, ni ya madhehebu gani?
  18. Zacht

    JamiiForums Tanzania Kwenye Ufunuo wa Yohana na kauli maarufu: “I am the Alpha and the Omega.” Kuna kitu hakipo sawa wakristo njoeni

    Hivi unajua kwamba Yesu hakuwahi kusema maneno haya hadharani alipokuwa hai? Haya maneno yanapatikana kwenye kitabu cha Ufunuo maono aliyodai kuyaona mtu mmoja aitwaye Yohana, miaka kama 60 baada ya Yesu kuondoka duniani. Na huyu Yohana? Hakujitambulisha wazi. Wasomi wa Biblia wamekuwa...
  19. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania Ati ugali ni chakula wakristo na wali ni chakula cha waislam sio!

    Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka nimegungua hilo. Mchele au wali na ngano huwa vinatumika sana maeneo yenye Waislam wengi. Kwa Afrika, Kaskazini mwa Afrika mchele na Ngano huwa vinaliwa sana eneo hilo. Eneo la Kaskazini lina Waislam wengi. Ukija kusini mwa Equator kuna Wakristo wengi, Eneo...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni dini ya Uhuru na amani, utani na mizaha haina shida, nawashangaa wakristo wanaolalamika alichofanya Mwijaku

    Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku Imeshazoeleka kushoot video za bongo flava makanisani, watu kucheza amapiano na bolingo kwenye gospel, mabinti kuingia...
Back
Top Bottom