Nyakati hizi, karibu kila mahali duniani, Shetani anaushambulia Ukristo kwa njia mbalimbali. Anatumia mapepo, watu na mitazamo ya kijamii ili kuupiga vita ujumbe wa Yesu Kristo. Yanayoendelea kule Nigeria ni mfano tosha. Mashambulizi haya ni vita vya kiroho vyenye lengo la kuwakatisha tamaa na...
Hichi kitendo cha kuwa anaya ponda baadhi ya makanisa wazi wazi akiwa kwenye hayo matamasha yake ina maana gani wakuu!?
Kwamba yeye ndio anajua kanisa lipi la kweli na lipi la uongo mpaka ayaponde wazi wazi vile!?
Wakuu
Duniani kuna zaidi ya dini 4000, kila moja ikiwa na waumini wanaoamini kuwa njia yao ni sahihi.
Hata hivyo, Wakristo na Waislamu — wakiwa dini mbili kubwa zaidi — mara nyingi hujionyesha kana kwamba wao tu ndio walio kwenye ukweli wa kipekee. Je, huu ni ushahidi wa ufunuo wa kweli...
Nimekuwa nikifuatilia na kusoma comments nyingi humu. Nimegundua kama kuna chuki au sijui ushindani au ujinga baina ya waislamu na wakristo.
Rejea matusi kama makobazi na wagalatia. Je tunaanza kuchukianana kugawanyika kwa dini bila kujua na kujijua? Je, kama taifa, hii inaonyesha nini?
Ajabu...
Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha?
Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri...
Wa Afrika mmerogwa na nani? Mmeshindwa kubaini wasio julikana wanaowateka na kuwaangamiza ndugu zenu mnakaa kusimuliana hekaya ambazo hata haziwahusu.
Kama haitoshi miaka nenda rudi ndugu zenu wa Congo wanaishi kama digidigi lakini hakuna anayejali. Natamani kuwaita kenge weusi nyie sema JF...
Katika kueleza makundi haya mawili ya waamini wa imani ijulikanayo kama Wakristo (maana yake wafuasi wa Yesu) kumekua bado na mzozo mkubwa hadi leo hii kuhusu mambo Muhimu sana kuhusu imani au dini hii.
1. Sheria (Torati)
2. Neema (Kuokolewa kwa imani)
Binafsi nimefatilia sheria sana sheria...
Surat Yunus (10:94)
"Basi ikiwa uko katika shaka juu ya yale tuliyokuteremshia, waulize wale wanaosoma Kitabu kabla yako..."
(Qur’an 10:94)
Allah anasema kwa Mtume Muhammad, ikiwa unayo shaka juu ya yale yaliyoteremshwa kwako, basi waulize wale waliokuwa wakisoma vitabu vya kabla yako (yaani...
Swali langu ni hilo kwenu nyinyi mnaoshangilia na kuruka ruka mnaposikia Israeli imewapa vipondo majirani zake. Naomba mnipe majibu yenye msingi wa Maandiko.
Mimi Biblia yangu inanikataza kufurahia vita na mauaji na badala yake inanihimiza kuombea amani na kuwa mpatanishi.
"Heri wapatanishi...
Habari wajameni,
Nimekuwa nikijiuliza swali hili wala sipati jibu : kwa kawaida anapotokea shekhe katoa msimamo wake binafsi katika maswala ya kijamii bila hata ya kunukuu kwenye vitabu vya dini basi watatukanwa waislamu Dunia nzima ..Mbona maaskofu wanatamka ujinga kama Mwamposa ,kuna Hananja...
GT
Heko na shukrani nyingi ziwafilie hawa viongozi wa Kikristo kukemea mauaji bila kuchoka. Wameokoa roho za watu wengi sana hasa kipindi hiki cha uchaguzi.
Bila makelele yao naamini hali ingekuwa mbaya sana kwa wanasiasa/wanaharakati mauaji yangekuwa mengi zaidi.
Sijajua wenzetu waislamu...
Naona mpambano unako elekea huu na vile kuna wajinga wapo huko juu na wana upofu wa maono tutatengeneza taifa la marais wa kidini maana kila upande naona unalia na shida zake.
Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu.
Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba.
Kwa hiyo napendekeza badala ya kuwaita Baba Mchungaji, au Baba askofu au Baba mtakatifu au Baba mtumishi litumike NENO Kaka...
Hivi karibuni kumekuwa na matukio yanayolenga kusababisha kufungiwa makanisa na viongozi wa Kikristo kupigwa kama yule Askofu aliyepigwa na wasiojulikana (Kwa sababu hawakutambulika), vile kina Askofu Gwajima na wenzake ambao watajaribu kuongea chochote kuhusu siasa wamekuwa wakivamiwa Moja kwa...
Mnafanya mambo ya upumbavu. Kwa damu ya Yesu × 500, kwa jina la Yesu x 400, toka toka toka x600. Kwa damu ya mwana kondoo x500 ....n.k.
Huo ni upumbavu na hao wanaojazana humu nao ....... Yesu wala mitume hawakufanya ujuha huo. Ninyi ni wanamazingaombwe tu. BIBLIA ILISHAWEKA WAZI NINYI...
Ndugu zangu
Ni muda mzuri wa viongozi wa dini zote kuwa Magwajima, wasambaze kirusi kwa waumini wote kwa kuwaambia ukweli kuhusu Dhuluma za CCM
Tukifanya hivi kwa mwezi mmoja tu, tunaindoa CCM katika uso wa Tanzania
Jumapili njema
Wakuu nasikia hivyo wakuu leo nimekaa kijiweni na wazee wa pwani hapa pwani ya pangani wanasema kwasababu mti wa minazi ni twahara kwa maana hiyo ili upande unatakiwa uwe twahara ukiushika huo mti wa mnazi wakuu je ni kweli wakuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.