wakristo

  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wajue watu hawa wenye IQ kubwa walioamua kuwa Wakristo

    Katika ulimwengu wa leo, kuna watu wanaofikiri kwamba wanaomwamini Yesu Kristo na kuwa walokole ni “watu wenye ufahamu mdogo” au "wenye changamoto ya afya ya akili." Lakini historia na ukweli wa sasa unashuhudia vinginevyo. Kuna watu wanaotambulika kuwa wana kiwango cha juu cha akili (high IQ)...
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo wanaposali hawageukii au kuelekea Yerusalemu (Qibla) kama Mfalme Sulemani alivyofanya?

    Kitabu cha 1 Wafalme 8:29-30 kinatuambia kwamba Mfalme Sulemani aliomba huku akilielekea hekalu lililokuwa Yerusalemu. Sasa swali ni hili: kwa nini Wakristo hawafanyi sala kama Sulemani? Mbona hawana mwelekeo maalum wanaposali? Usiumize kichwa kutafuta majibu. Majibu haya hapa: Kwanza ni muhimu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wakristo huacha kuombewa na wachungaji na kwenda kwa kuombewa dua kwa Mashehe na wanafanikiwa kuondoa shida zao?

    Ni utafiti usiopingika sababu ni nini hasa? Uhaba kiimani au matokeo ya haraka?
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Sijaona Wakristo 'wanaotia udhu' kabla ya kusali. Kwanini? Mbona Yesu aliwatawadha miguu wanafunzi wake?

    Kwanini Wakristo hawajitakasi kwa maji, yaani kuosha viungo vya mwili (uso, kichwa, mikono na miguu) kabla ya kusali au kufanya ibada? Mbona katika kitabu cha Yohana 13 imeandikwa kwamba Yesu alipokuwa pamoja na wanafunzi wake, alijifunga taulo kiunoni, akamimina maji katika chombo, akaanza...
  6. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Gwajima limefungwa; Je wakristo hawana umoja kama Yesu alivyowaagiza?

    Mughonile! kanisani leo tumesoma Yohana 17:22-23, ambapo Yesu anaomba kwa Baba: "Nimewapa utukufu ambao Umewapa mimi, ili wawe wamoja kama sisi tulivyokuwa wamoja mimi na Wewe, Mimi ndani yao na Wewe ndani yangu, ili wawe wamoja kabisa, na dunia ije kuamini kwamba Umewatuma." Nauliza, je...
  7. Setfree

    JamiiForums Tanzania Aliyetunga sheria/adhabu ya kuwanyonga Wakristo, ana IQ ndogo?

    Ni ajabu hadi leo kuna nchi duniani ambazo bado zinatoa adhabu ya kumnyonga mtu aliyeamua kuacha dini yake ya mwanzo na kuwa Mkristo. Aliyebuni sheria/adhabu hiyo aliona kwamba hiyo ndiyo njia ya kuwakomesha wafuasi wa Kristo. Najiuliza: aliyetunga sheria/adhabu hiyo alishindwaje kuelewa Andiko...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wasabato wanawake wakristo wengi wanavaa "Nusu uchi" wameacha kuiga mfano wa mavazi ya Bikira Maria

    Hapo zamani ukienda kwenye makanisa wakristo walivaa kwa kujistili sana, Sketi ndefu, magauni, vilemba, nywele natural, n.k. Sikuhizi imekuwa kawaida kuvaa NUSU UCHI kuanzia Suruali, Taiti, Kimini, vigauni vinavyochoresha, Pedo, Kitop, n.k. wakijitetea mavazi hayana shida kinahoangaliwa ni...
  9. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Wakristo, waislamu, na wapenda HAKI wote kesho tuungane na Wakatoliki katika SALA NZITO ya kuombea taifa

    Tumsifu Yesu Kristu ...kama ambavyo Mwashamu Baba Askofu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, alitoa tangazo hili lilionea duniani kote kwa Wakatoliki wote na watanzania wote Duniani kote kwamba kutakua na Sala maalum kuombea taifa hili HAKI na AMANI kwa siku tisa mfululizo, Mungu ashuke naona...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wanachofanya mayahudi kwa waislamu wa Gaza ndicho walichofanya wakristo kule Bosnia na kwengineko

    Utandawazi kwa muda mrefu umekuwa dhidi ya maslahi ya Waislamu, kiasi kwamba kuna dhana iliyoenea mijini na mitaani na kwa wanachama wengi wa JF kwamba Uislamu ni shida duniani, na kwamba hii ni dini ya kuripua na kuua watu. Ukweli wa matukio yanayoendelea sasa duniani na yale ya kihistoria ni...
  11. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya?

    Kwanini Wakristo hawavai kanzu nyeupe saa ya kusali kama Yesu alivyofanya? Yesu aliishi katika jamii ya Wayahudi iliyokuwa na mila na desturi za mavazi. Katika mazingira hayo, kuvaa mavazi meupe ya aina ya kanzu ilionekana kuwa ni ishara ya usafi, utakatifu, heshima na ibada. Hata hivyo...
  12. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

    Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo? Sababu ya Musa kuambiwa avue viatu...
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini China na Urusi hazina uhuru mkubwa wa kuabudu?

    China na Urusi ni nchi zenye sheria kali za kudhibiti dini zote: 1. China Nchini China, kuna aina mbili za Makanisa ya Kikristo: (a)Makanisa yaliyosajiliwa rasmi na serikali: Haya yanasimamiwa na taasisi maalum za serikali: TSPM kwa makanisa ya Kipentekoste na Kiprotestanti na CPCA kwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Marais wa kiislamu wanapenda kuacha mizizi ya vizazi vyao kwenye madaraka, wakristo wamelala sana au ni hekima ?

    Tukiangalia mwelekeo wa uongozi Tanzania, kuna hali inayoashiria kuwa baadhi ya familia za viongozi wa Kiislamu zimejenga mizizi ya kisiasa kizazi kwa kizazi. Swali ni je, hili ni suala la kulala kwa Wakristo kisiasa, au ni busara ya kuchagua kutohusisha familia na siasa? Angalia mfano wa...
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania DRC: Wakristu zaidi ya 40 wauawa na ADF

    persecution of Christians is real … Zaidi ya watu 40 wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi tanzu la Dola la Kiislamu (Islamic State) kaskazini-mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa na jeshi la nchi hiyo. Wengi wa waliouawa walikuwa waumini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni nyakati za mwisho. Manabii wa uongo wanahubiri kuwa ikiwezekana Wakristo wasilimu ili mradi wapate mahala pa kusali.

    Waislamu huwaita Wakristo makafiri na kuwa Mungu wao sio wa ukweli hii ni kwa mujibu wa imani yao. Wakristo nao kwa mujibu wa imani yao wanaamini kuwa kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Yakobo. Sasa ina kuwaje manabii hawa kushauri watu kwenda kusali misikitini kisa tu wapate mahala pa...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati utafika Wakristo wafia dini wataitelekeza Israeli

    Waisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu. Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wahubiri wakristo mnaolitaja jina la Yesu bure redioni acheni mara moja!

    Huu ni upumbavu na kudhalilisha jina la Yesu. Yesu ni mmoja na jina lake likitajwa mara MOJA linatosha. Upuuzi huu mnaoufanya redioni ni kumdhalilisha Yesu. Kwa jina la Yesu....bla bla bla ×100, kwa damu ya Yesu..... blah blah blah x70, kwa damu ya mwanakondoo.... blah blah blah x 50. Acheni...
  19. Setfree

    JamiiForums Tanzania Watu wote duniani wangekuwa hivi, dunia ingekuwa na amani na furaha kuu

    Watu wote duniani wangekuwa wanaishi maisha haya wanayoishi Wakristo wa kweli, dunia ingekuwa na amani na furaha kuu. Wakristo wa kweli: Hawalipi kisasi – badala yake huacha Mungu mwenyewe alipe (Warumi 12:19). Hawaibi – wanaishi kwa uaminifu na kuridhika na walicho nacho (Waefeso 4:28)...
  20. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Historia na sababu za Israeli kulinda wakristo na Wadruze wa Israel

    Historia Fupi ya Wakristo na Druze wa Israeli Israeli ina makundi tofauti ya kidini ikiwemo Wakristo na Druze ambao ni wachache ukilinganisha na Wayahudi na Waislamu. Wakristo: Wakristo wa Israeli ni takribani 2% ya idadi ya watu, wengi wakiwa Waarabu wa Galilaya, Nazareth na maeneo mengine ya...
Back
Top Bottom