wakoloni

  1. Erythrocyte

    Kilangi aweza kuwa ndiye AG mbovu kuliko wote waliowahi kuhudumu nchini Tanzania tangu Wakoloni waondoke

    Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG. Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za...
  2. I

    Vijana wa familia maskini tuungane kupambana na hawa wakoloni weusi wa CCM

    Wakuu. Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu napenda kuwakumbusha vijana wa nchi hii, hasa wale wanaotoka familia masikini mijini na vijijini kuwa imewapasa kuelewa kuwa nchi hii inapelekeshwa na hawa wakoloni weusi wa CCM kwa sababu wao wana advantage moja ya kuwa na urahisi wa kuitafuna keki ya...
  3. B

    Kwa Wasomi na Wahenga Afrika: Je, ni kweli mizimu ya kiafrika ni dhaifu na duni mbele ya wazungu? Kwanini mizimu yetu haikututetea walipotutawala?

    Kuna baadhi ya mambo nikiyafikiria nakosa majibu.Kabla ya wakoloni wa kizungu na kiarabu kuja Afrika tulikua na mpaka leo tunayo mizimu yetu. Waafrika tangu wakiwa wadogo walifundishwa kuiheshimu mizimu. Mtu yoyote aliyeenda kinyume na mafundisho hayo aliadhibiwa vikali ikiwa ni pamoja na adhabu...
  4. kavulata

    Afrika inalia kilio cha wakoloni wao kwenye Corona

    CORONA imekuja kudhihirisha namna Africa kwanini hatuendelei hata baada ya miaka 60 ya kupata Uhuru. Africa inatafunwa na magonjwa mengi sana ambayo ilipaswa kuungana kupambana nayo. Adui namba moja wa east, cental, west na south Africa Ni malaria, ikifuatiwa kwa karibu na HIV, TB...
  5. Sky Eclat

    Wakoloni walitutawala kwa kutumia akili zao na nguvu zetu, jambo ambalo limetushinda ni kutumia nguvu na akili zetu

    Wajerumani walianzisha miradi mikubwa mfano mashamba ya mkonge na viwanda vya katani pia ukuleles bandarini kwa kutumia pesa ya serikali. Walianzisha kodi ya kichwa, hivyo kila raia mwenye umri wa miaka 18 -50 ilimpasa kufanya kazi ili alipe kodi. Waliweka bidhaa madukani wakiwa na uhakika wa...
  6. Barbarosa

    Kusema ukweli, wakoloni Tanzania yetu hawakuiibia kitu!

    Si Wajerumani wala Uingereza walioiba chochote hapa kwetu, kwanza hata walipoteza zaidi kuliko walivyowekeza Wajerumani walijenga reli, barabara, mipango miji, geographical survey ya nchi yote, walifanya utafiti wa udongo na kupima matone ya mvua na kuamua wapi palimwe nini, walileta mazao...
  7. Gily Gru

    Athari zilizoletwa na ukoloni juu ya damu, vichwa vya wazee wetu

    ATHARI ZILIZOLETWA NA UKOLONI JUU YA DAMU, VICHWA VYA WAZEE WETU MZUNGU (Mkoloni) ni mtu mbaya sana na utawala wa kitumwa ulikuwa mbaya na kwani familia nyingi zilitengwa na wenzao na kupelekwa wasipokujua. Watoto walitengwa na wazazi wao, mume na mkewe kwa kweli inaonyesha ni uchungu kiasi...
Back
Top Bottom