Kenya ni taifa ambalo halijawahi kuupata Uhuru wake hata kidogo. Hata Mzee Jaramongi Odinga alipoandika kitabu chake cha "Not yet Uhuru" alimaanisha lakini walimpuuza.
Wakenya ni wakimbizi kwenye taifa Leo, wanazalisha kwa manufaa ya wakoloni. Wakenya ni manamba kwenye nchi za wakoloni na...
Wazungu/ Wakoloni walisema tamaduni zetu niza kishenzi ndio maana
mpaka leo watu wengi hatupendi sana tamaduni zetu za asili mfano
lugha, majina, goma na kadhalika. Unafikiri sababu ni ipi wakoloni kusema
hivyo.?
Nikisoma Historia naona upinzani wa maana waliopata wakoloni walipoingia Tanzania ulitoka kwa maeneo na viongozi hawa,
1. Mtemi Isike & Mirambo-Unyamwezini Tabora
2. Chifu Mkwawa- Wahehe
3. Mangi Meli, Sina& Co-Uchagani, Meru, Arusha
4.Kinjekitile & Co-Wangindo, Wangoni
5.Chifu Machemba-Wayo...
Kumekua na upotoshaji mkubwa sana juu ya viwanda ambavyo vingi vilianza kufa miaka ya 1980's mpaka 2000's mwanzoni vikawa vimekufa vyote
Viwanda vingi sana hapa Tanzania vilijengwa na mkoloni ni vichache sana vilijengwa na nyerere na hata ukija kwenye miundombinu mingi kama reli nyingi...
Master plan ya wakoloni ilitaka mji au jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu.majengo yaliyopo mtaa wa Nkrumah ,viwanda Pugu Road,na uwekezaji mwingine kwa njia hiyo ni ushahidi tosha.
Baada ya Uhuru mji ukaelekea Bagamoyo Road na Morogoro Road.
Kumbuka Pugu Road ina uwezo wa kufika...
Mbona naona kama wakoloni walikuwa wanaleta maendeleo kwa kasi kwenye nchi zetu,
Walikuwa wanajenga reli, shule na vituo vya afya.
Walikuwa wanajenga viwanda muhimu vya uchakataji.
Walikuwa wanafungua ardhi kwa mashamba makubwa ya kilimo cha kisasa.
Walikuwa na mipango miji bora.
Walikuwa...
Kama si Wakoloni, huenda Tanganyika kwa sasa ingekuwa ni nchi ndogo sana au kubwa sana kuliko ilivyo sasa.
Isingelikuwa Wakoloni, huenda Arusha na Kilimanjaro zingekuwa nchi zinazojitegemea!
Isingelikuwa ukoloni, huenda Rwanda na Burundi zingekuwa nchi moja au zingekuwa moja ya mikoa ya...
Jana jioni kabla ya usingizi nilikuwa natafari kwa kujilaumu na kulalama... Nakuona kuwa maisha ni magumu sana, niliumia zaidi kuona watoto na mke wananitegemea, wazazi pia tena zaidi wanaamini kijana wetu msomi... Daaaah!
Nikapiga hesabu muda niliotumia shule... Miaka 7 msingi + miaka 4...
Alinukuliwa mstaafu mmoja akimwambia Mwenyekiti wa kijiji cha pili kuwa maamuzi yanafanywa na mke wake na ikapelekea sitonfahamu kubwa kwa wakati ule, kumbe yule mwamba mtoa hoja alikuwa kashazoea uongozi,ukatili na sifa akajiona kuwa hapati kusikilizwa akaamua kulipuka watu wakamsikia.
Miaka...
Sisi watu tuna akili ndogo.
Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu?
Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika...
KAMA ULIKALILI TU MAANDIKO KAA PEMBENI HAUKUHUSU
Kama mafundisho ya Dini yanatuambia kuwa Mungu ananijua kabla hata sijazaliwa, maana yake anajua kila kitu ninachofanya na hadi nitakacho fanya baadae (kwa future)
(A) Maana yake mimi siwezi kwenda kinyume na anachokijua Mungu, sasa hii kauli ya...
Kwa makini tumsikilize former Singapore PM Lee Kuan Yew akielezea kwa nini wakristo wameshindwa kuwafanya wachina na wahindi kuwa wakristo.
Na kwa nini pia wameshindwa kuifanya Singapore kuwa nchi ya wakristo.
Kufail kwetu waafrika na kuangukia kwenye mikono ya waislam na wakristo sababu...
Juzi kati Mfalme wa Uingereza katua pale Kibera, nchini Kenya. Hatujakaa sawa Rais wa Ujerumani katia nanga hapa Tanzania.
Wote kwanza wakaomba msamaha na radhi juu ya unyama waliotenda Babu zao katika ardhi hizi mbili, kuua na kuwafanya watumwa Majimaji warriors kwa Ujerumani hapa Tanzania na...
Tangu wakoloni waondoke Tanzania na Kenya ni miaka zaidi ya 60 na kwa ujerumani ni miaka zaidi 100 Sasa.
Kwanini Rais wa ujerumani na mfalme Charles warudi Leo kutuomba msahama juu wa Yale mabaya waliyotutendea? kwanini sasaa?
Tusibweteke na msahama huu, bali tuangalie kile ambacho hakikusemwa...
Moja ya fuvu katika maonesho Makumbusho Berlin
Watafiti wa Kijerumani wamefanikiwa kupata kwa uhakika ndugu wa watu ambao mafuvu yao yalichukuliwa na Wakoloni wa Kijerumani kwa ajili ya "utafiti".
Watafiti hao wanasema wameweza kupata ndugu wa watu toka jamii ya Wachagga ambao mabaki ya ndugu...
Msimamo wa Rais Ruto kwa wazungu utamgharimu sana, Anaweza kuunganishwa na Gadafi, Sadam, nk.
Vibaraka wa maslahi ya wakoloni hawa hapa. Ruto should not take it loosely.
Kabla ya mkoloni, kila kitu kilicho juu ya ardhi na chini ya ardhi kilikua kinatumika bila woga wala kificho.
Alipokuja mkoloni akavikataza, kwasababu.: Aliviitaji kwa kazi zake za viwandani huko kwao.
Sababu nyingne ni vitu hivi vilikua vikitumiwa na waafrika katika mambo mengi kama dawa...
Kwa sababu,
Nilijaribu kuuliza wazee ambao enzi za ukoloni walikuwepo na walikuwa na akili, wakasema hawajahi huexperience hayo mateso mliyosoma.
Nikiangalia ushahidi wa akili, wakati tunaelezwa wakoloni walikuwa wakitutesa, hawakutaka waafrika tusome, tuendelee kwa namna yoyote ile.
Najaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.