wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Form 4 mwenye ndoto za kusomea IT usipoteze mda wako kwenda form 6, nimekupa ramani nzima hapa

    𝙁𝙊𝙍𝙈 4 𝙈𝙒𝙀𝙉𝙔𝙀 𝙉𝘿𝙊𝙏𝙊 𝙕𝘼 𝙆𝙐𝙎𝙊𝙈𝙀𝘼 𝙄𝙏 𝙐𝙎𝙄𝙋𝙊𝙏𝙀𝙕𝙀 𝙈𝘿𝘼 𝙒𝘼𝙆𝙊 𝙆𝙒𝙀𝙉𝘿𝘼 𝙁𝙊𝙍𝙈 6, 𝙉𝙄𝙈𝙀𝙆𝙐𝘾𝙃𝙊𝙍𝙀𝘼 𝙍𝘼𝙈𝘼𝙉𝙄 𝙉𝙕𝙄𝙈𝘼 𝙃𝘼𝙋𝘼 Muhimu; Kama una changamoto za kiuchumi ni vyema ukasome form 6 kwenye shule ya serikali uliyochaguliwa ili umalize form 6 na ujaribu bahati yako kuomba mkopo wa serikali ili usome chuo, Post hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Magori utulize wenge lako, kama mnamtafuta mchawi anza na bosi wako kisha wewe mwenyewe maana ndiyo mshauri wake

    Nimeona bwana Crescentius Magori ametweet kwamba wamesalitiwa kwenye mechi ya leo na inaonekana kuna baadhi ya wachezaji wataangushiwa jumba bovu muda si mrefu kuwa wameisaliti timu. Kitu ambacho bwana Magori na viongozi wenzake awataki kukubali ukweli kwamba timu waliyonayo kwa sasa ni tofauti...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nasikitishwa na mateso anayopitia Mbowe katika utawala wako

    Binafsi mimi ni kijana mdogo sana. Naomba nisema Mh. Rais Samia shikamoo. Mh. Rais nasikitishwa na mateso anayopitia mzee Mbowe kwa baraka za utawala wako, sikudhani wewe ungekuja kuongeza mikanganyiko ya kisiasa nchini. Naomba ujiulize maswali yafuatayo kisha ufanye yakupendezayo mama angu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wenzangu tunakwama wapi? Yaani unacheza upatu na mchepuko wako halafu unataka akupe hela kamili/yote

    Daah! Hii dunia ngumu sana ukiifikiria sana unaweza kulia kila siku. Maana kuna mambo mengine yanachekesha. Hivi mtu yuko serious kabisa anacheza upatu na mchepuko halafu anapanga malengo na bajeti kabisa akipokea mchezo afanye jambo fulani. Huku kuna jirani yetu kashapigwa za uso, mchezo wako...
  5. JamiiForums Tanzania Unawezaje kumfanya mpenzi wako awe na Exposure?

    Wasalaam JF, Kuna binti nimetokea kuwa naye kwenye uhusiano miaka miwili sasa. Nampenda jinsi alivyotulia mpole , mstaarabu ,mcha Mungu na asivyo na tamaa hana makuu. Tatizo Academic exposure yake ipo chini sana , sizungumzii ile exposure ya Kidimbwi na Juliana. Kifupi huyu binti amesoma na...
  6. JamiiForums Tanzania Ni Funzo Gani Kubwa Ulijifunza / Unajifunza Kutoka Kwa Wazazi wako

    Habari Wana JamiiForums! Poleni na harakati za utafutaji wa riziki, hongereni pia. MUNGU awajalie katika utafutaji wenu. Hili ni jukwaa la elimu, kama mada inavyojieleza, naomba tupate elimu kidogo kupitia wazazi wetu. Karibuni
  7. JamiiForums Tanzania Baby hakuna cha kututenganisha, Mimi ni wako, trust me

    BABY HAKUNA CHA KUTUTENGANISHA, MIMI NI WAKO, TRUST ME. Niliyavaa mapenzi nikiwa sekondari, sikuwa hodari wa kutongoza mabinti, nililelewa na kukulia kwenye familia iliyojitoa wakfu kumtumikia Mungu huku maisha yangu yote ya uvulana nikiyatumia kushuhudia habari za wokovu, kuhubiri neno la...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bora uuze mayai au uuze utu wako kwa waajiri?

    Vijana mnalochaguo moja tu Tanzania. Aidha, ujiajiri ubaki kusimamia unachoamini kwa utashi wako Ni sahihi au uajiriwe uelekzwe nini uamini na kutenda. Awali tumejionea vijana wasio na miradi yakueleweka walivyonyanyaswa. Na kundi hili kwa kuona aibu kila likisikia njaa likiwa upande mmoja...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hatakiwi. Ushauri wako tafadhali

    Baba yangu hamtaki mke wangu naomba pita hapa unipe ushauri.Ilikua ni mwaka wa 2020 ndo Kwanza natimiza umri wa miaka 21 wakati huo nikiwa Geita nikipambana na maisha, nilipokea simu kutoka Kwa dada yangu naemfuata kuwa amenitaftia mchumba. Basi na Mimi sikuwa na hiana nikapata mawasiliano nae...
  10. JamiiForums Tanzania Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

    Wale vijana kwenye ile idara kwanza ni wapole na sio wazungumzaji Sana Ila vikao vyote top vya DC au DED wanakuwepo. Na huwa hawaongei Sana ni wakimya Ila wenye nguvu za kimamlaka hatari. Kama mke ni pis Kali wakimtaka watamla tuuuu huwezi bisha. Kwanza wanafahamika kwa uwazi kutokana na...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

    Nianzie kwangu. Kwa kweli hadi leo sijaweza kuikariri kisawasawa saa inayosoma kwa masaa 24. Yaani bado inanisumbua kila uchao.
  12. JamiiForums Tanzania Je, kujaladia madaftari lilikuwa jambo muhimu kiasi gani enzi za uanafunzi wako?

    Kuna jambo nimelikumbuka wakati nafanya mazungumzo na wafanyakazi wenzangu leo. Tulikuwa tukijikumbusha visanga na mambo mbalimbali ya miaka ya nyuma wakati tukisoma. Ni kuhusu kujaladia madaftari. Hii kwa walimu wengi ilikuwa ni sharti muhimu; yaani akiingia darasani anaweza kuamua tu kukagua...
  13. JamiiForums Tanzania Mashirika Mengi ya ndege Afrika yanapata hasara - ushauri wako ni upi?

    Binafsi najua kwamba kuna chnagamoto ya Korona ila hata kabla ya hapo bado changamoto zilikuwepo. Tuyashauri mashirika ya ndege likiwemo la kwetu hapa nyumbani Ushauri wangu; 1. Natamani mashirika ya ndege kwanza yajenge imani Nyumbani. Namaanishe Yafanye kazi kwenye route zenye uhakika na...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma ya hii Timu ya DTB ya Championship hizi Pesa anazoweka huko siyo kwamba huwa anakuibia?

    Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu...
  15. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na mzigo wako unapofika Stendi ya Magufuli, unaweza kujikuta unaozea Segerea

    Habari wadau..! Hii imewakuta watu ninao wafahamu. Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini ukoo wako ni masikini?

    Unmaskini unarithishwa? Unaweza kukomaa bila mafanikio kumbe kuna madesa ya jadi uliyoaminishwa kimyakimya (subliminally) yanakuvuta shati. Mfano, moja ya ukoo nilioufuatilia 1: Ukiwa tajiri utalogwa hadi uwe kama wenzako 2: Waliofanikiwa kidogo wanastrago kuhakikisha kila mwana ukoo...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Nipo hoi kitandani, msaada tafadhali

    1. Najisikia maumivu kwenye rectum, hasa ikiwa nabanwa na haja kubwa. 2. Maumivu husambaa mpaka kwenye misuli ya uume iloelekea sehem ya haja kubwa. 3. Maumivu huelekea pia mpaka kwenye paja. 4. Na hatimaye uume hupata itching kwenye urethra. Nini hii jamani? Nina maumivu ya korodani hasa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro: Kama una mtoto wako au mume wako mharifu tuletee polisi tukusaidie

    #Manyara "......unamtoto wako mhalifu au mume wako mhalifu tuletee Polisi tukusaidie" IGP Sirro #UmojaWetuNdioNguvuYetu https://t.co/thNHUw97bH
  19. JamiiForums Tanzania Je, wajua kumsikiliza mtoto wako ni silaha muhimu ya kumkinga dhidi ya ukatili na udhalilishaji?

    Kumsikiliza mtoto kunaaminika kuwa ndio ngao muhimu zaidi ya kumlinda mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto anayesikilizwa huwa jasiri na muwazi kwa mzazi au mlezi kwa yote anayoyapitia yawe mema au mabaya kwani wanaamini kuwa watachukua hatua kwa ajili yao. Mara nyingi mtoto...
  20. JamiiForums Tanzania January Makamba, umejaribiwa mapema sana na watendaji wako, kukatikakatika kwa umeme kutakuondolea kuaminika, enzi zenu za majenerator zaja

    Wana Jf Kukatika hovyo kwa umeme ni iShara mbaya sana kwa Wazir J.Makamba, huenda wafanyakazi wanamjaribu au aliowaingiza hawana uweledi wa viongozi, jana watu walishindwa kununua umeme, vijana mnaosema wajiajiri wamekosa pesa. Siku mzima hawakufanya kazi, leo mkoa wa kagera na sehemu fulani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…