wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukiwa kiongozi makini hapa Afrika ukasimamia haki na maslahi mapana ya taifa lako uhai wako unakuwa hatarini

    Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao. Wote wawili waliuawa bila hata huruma. Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la Kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa. Adui wa kwanza huwa...
  2. JamiiForums Tanzania Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

    Kama mimi naanza hivi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA wako baridi wako moto?

    Habari wanajanvi, Mimi ufanya shughuli zangu za umechinga japo ni msomi mwenye shahada ya ualimu. Shughuli yangu unifanya kuzunguka huku na kule nikitafuta riziki ni zaidi ya miaka mitatu sasa sijawahi kuona mamlaka ya maji Mwanza wakipeleka maji maeneo mapya ambapo wananchi wamejega kwa wingi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ikikupendeza tunaomba uwateue hawa wapinzani katika Serikali yako

    Mh Rais, ningependa kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salamu, Mh Rais ikikupendeza tunaomba umteue Mbowe kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, huku Zitto Kabwe ukimpa mkoa wa Kigoma. Najua rais hapangiwi ila huu ni ushauri wangu tu kwako mama yetu, kwa lengo la...
  5. JamiiForums Tanzania Jipatie Secret Army Sword kwa ULINZI wako

    Hii silaha hakuna mtu ataigundua kirahisi mpaka utakapoichomoa mwenyewe kutoka kwenye Podo yake. ni rahisi kutumia. rahisi kutoa kwenye pocket. rhisi kubeba. Ipo Jijini Mwanza. Hio ndefu inauzwa 85,000 Fupi hio inauzwa 60,000
  6. JamiiForums Tanzania Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia...
  7. JamiiForums Tanzania Ipi ni zawadi nzuri ya kumpatia mpendwa wako hasa wa kike?

    JF Mahusiano👋 Nipo hapa kuuliza swali dogo tu. Ipi ni zawadi nzuri ambayo unaweza mpatia mpenzi wako akafurahi Mainly Mwanamke hasa katika siku zao Maalumu kama Birthday? Nina Jambo langu hapa😂😂 NOTE:Toa ushauri pasipo kuangalia swala la uchumi let's assume wote tuna kitu.
  8. JamiiForums Tanzania Kukupa laki moja ndio umuite mume wako mwanaume suruali?

    Igwee! Ni pisi Kali sikatai. Mtoto mweupe pee! Mtoto kanyooka vibaya mno. Kiuno Dondora. Yakamshinda nikatema sumu ya king cobra, mtoto chaliii miguu juu macho rebwerebwe. Tukapanga siku yakukutana ili nimnyandue, siku ikafikia. Toto likasema halina nauli, nikamuagizia Bolt, mtoto akaletwa...
  9. JamiiForums Tanzania Huu ndio uzi wangu bora kwa muda wote, na wewe tupia wako

    Huu ni uzi ambao nimekuwa nikiusoma nakuurudia tena na tena, usiku na mchana bila kuchola tangu uliporushwa rasmi. Uzi huu unenifundisha umuhimu wa kufanya maamuzi magumu ili mradi tu kulinda maslahi yangu mapana mimi na familia yangu kama vile Urusi afanyavyo kule Ukraine. Hapa Kerubi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuna mteule wako anapiga simu kuzuia habari ya wananchi Kigamboni isisambae, kuna kitu hapo si bure

    Wadau nina jambo hapa tuweke siasa kando tujadili maendeleo Baada ya huu uzi hapa chini kutolewa Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao Inaelezwa kuwa kuna kigogo mmoja pande za kule kwenye kuvuka maji kule, Kigamboni anahaha kupiga simu...
  11. JamiiForums Tanzania Utajisikiaje zawadi aliyokupa mpenzi wako inafanana na ya mchepuko wake?

    Pale mpenzi wako anakuletea zawadi iwe ya gari, nyumba, saa, boxer, mkoba, au kitenge n.k Ghafla ukashona kitenge kile tena akakudizainia mshono kuwa ndo anoupenda jumapili moja mkatoka out nae wakati mpo matembezi kuna shost anamjua mchepko wa mpenzi wako na aliwahi kumwona kapost pc whatsapp...
  12. JamiiForums Tanzania Nuclear attack: "PRE-RU-SHE-A" mbinu ya kijeshi inayoweza kuokoa uhai wako wakati wa shambulizi la Nyukilia

    Moja Kati ya silaha inayotisha kwa sasa duniani ni nyukilia. Endapo utakutwa na shambulizi la nyukilia ni vyema ukatumia mbinu ya "PRE-RU-SHE-A' ili kupona shambulizi hilo. Wakati wa vita endapo BOMU la nyukilia litapigwa wanajeshi na raia ushauriwa kutumia mbinu hii ya "PRE-RU-SHE-A" ikiwa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Je, wewe ni mwanamke unayetaka kuolewa ila haufanikiwi? Ijue saikolojia iliyojificha kwa wanaume wanaotaka kuoa

    Kinacho changia wanawake wengi kuwa katika mahusiano bila ndoa ni tofauti iliyopo katika fikra ya mwanaume na mwanamke wanapo ingia katika mahusiano. Mfano mwanamke aingiapo katika mahusiano na mwanaume,mwanamke hufikiri kuwa hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea ndoa,kitu ambacho kwa mwanaume...
  14. JamiiForums Tanzania Moja Kati ya faida Bora kabisa utakazo zipata baada ya kuachana na mpenzi wako

    Uta stop Ku pretend kumpenda / kumkubali / kumtolerate ndugu kimeo wa ex wako ambae katika hali ya kawaida usingeweza kuwa na ukaribu nae ila ulizamika kuwa Na ukaribu nae Kwa Sababu ya kuwa katika mahusiano Na ex wako.. Kwa mfano binafsi niliwahi kutoka Na dada mmoja yupo vizuri sana ila ana...
  15. JamiiForums Tanzania Mswaki wako hutumika kwa muda gani mpaka ununue mpya ?

    Kuwa muwazi, mara ya mwisho kubaili mswaki ilikuwa lini, ilikuwa ni muda gani umepita kabla ya kununua mswaki mwengine. Binafsi mimi kama mimi kwa asili yangu nilikuwa natumia mswaki hata miezi minne ama mitano, kwa sasa nasaidiwa na mke wangu anabadilisha kila mwezi, bila hivyo ningeendelea...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanaume akikataa mimba au kukutelekezea mtoto, usitumie majina yake Kwa mtoto wako

    Kwema Wakuu! Lazima tutende haki, lazima tuseme ukweli. Wanawake wanamakosa Yao Kama tulivyo Sisi wanaume tunamakosa yetu. Na mwenye makosa lazima aadhibiwe, na akiomba Msamaha sharti asamehewa lakini adhabu inaweza kubaki palepale. Taikon huwaga ni mtu wa kuongea mambo magumu yasiyo rahisi...
  17. JamiiForums Tanzania IGP Sirro, angalia Polisi wako wa Arusha Wanavyo lazimisha Rushwa kwa Kushirikiana na Mgambo

    TUKIO LA WAANDISHI WA HABARI KUKAMATWA NA KUPEWA KESI YA MCHONGO ARUSHA. Waandishi wa Habari wawili wa vyombo vya Habari tofauti mmoja Korumba Victor Moshi na Wa Global Tv na Alphonce Kusaga Wa Tripal A Redio wote wa Mkaoni Arusha walikamatwa na jeshi la polisi mkoani Arusha wakiwa wanafatilia...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Makonda na Ndugai wako chimbo gani?

    Viongozi waandamizi hawa katika Mihimili ya Utendaji na Bunge id est Makonda na Ndugai wako Oldonyo gani kusikoweza kufika mkono wa serikali? Tundu alikwepa Mahakama hadi Wakili akajiondoa na hadi Mahakama ikafuta shauri je, Makonda naye anaweza kufanikiwa kukwepa Mahakama kwa njia hiyo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wacheza kareti wengi Bongo wako rafu, wanavuta bhangi, hawana maisha, ni vijana ambao wapo wapo tu?

    Nimecheza michezo ya martial arts shorinji karate kuanzia nipo High school Kibaha sec. Hapa nilikuwa nakutana na vijana wengi walio hatua mbalimbali umahili wa michezo ya karate ila wengi wao ni jobless na wanavuta sana bhangi. Nikiwa likizo nyumbani bado nilitembelea dojo mbali mbali na...
  20. JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu 'Sampling Design' nzuri kwa utafiti wako

    Kwa sasa Tume ya Vuo Vikuu Tanzania(TCU) imeweka vigezo kwa wanafunzi wa Maters kuwa na Publication katika reputable journal, hasa kwa wanaofanya by thesis na PhD students. Kuwa na publication ni jambo muhimu sana kwa ulimwengu wa watafiti as it shows vitu umeviandika na kuvidadisi kwa undani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…