Kwanza naomba uongoziu wa jamii forums usijaribu kufuta nyuzi hii kwani nategemea ushauri ambao utakao nifikisha sehemu salama katika maisha yangu,kwani napitia kwenye wakati mgumu wa kudharaulika licha ya kujipa moyo ni kipindi cha mpito.
Mimi ni kijana niliezaliwa miaka ya 90's,nimesoma...