wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mke wako ana bosi wake?

    Kwahiyo boss wake akimpa maelekezo au akitaka asafiri mume inabidi atulie tu.
  2. D

    JamiiForums Tanzania M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania CPA Habibu Suluo LATRA Mkoa wa Arusha wako juu yako? Daladala za Kikatiti na King'ori zinageuzia Maji ya Chai

    Mkurugenzi mkuu wa LATRA unataka tutumie lugha ipi ili uelewe kuwa abiria tunaosafiri kutoka Arusha mjini kwenda Kikatiti ja King'ori tunashushwa Maji ya Chai wakati magari yana vibao vimeandikwa Kikatiti na mengine King'ori. Mnasubiri mpaka wananchi wajichukulie sheria mkononi? Tumechoka na huu...
  4. JamiiForums Tanzania SSP. Selestino Sylvester: Kupekuwa simu ya Mwenza wako ni kosa la jinai

    Upo msemo unaosema kuwa ili ndoa iweze kudumu kwa muda mrefu, mke usishike simu ya mme wako, na Mme usishike simu ya Mke wako. Lakini kwa watu wengine Mke au Mme hushika na kuperuzi simu za wenza wao. Mkuu wa Polisi Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu SSP. Selestino Sylvester kwa wenza, amefafanua...
  5. JamiiForums Tanzania Unaweza kukunja nguo za ndani za mpenzi wako na kujionesha mtandaoni kama Harmonize alivyofanya?

    Msanii Harmonize amepost video inayomuonyesha akifanya jambo ambalo sio la kawaida kwa walio wengi. ANGALIA VIDEO HAPA Je, wewe unaweza kukunja nguo za mpenzi wako na kuzipost mtandaoni? Written by Mjanja M1 ✍️
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hata wanawake wanapenda mabosi wa kiume, weka hapa mkasa wako wa boss wa kike

    Maboss wa kiume hujitahidi sana kuwa katikati / neutral na hata ishu za chuki / upendeleo huwa wanaweza kula na kipofu wengine iwe ngumu kujua kinachoendelea, Ubaya wa maboss wa kike ni kwamba wengi huwa hawana uvugu vugu, ni aidha wawe malaika ama wakaksi, sasa umkuta mkaksi maji unayaita...
  7. JamiiForums Tanzania Ukigundua shemeji yako (mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na rafiki yako wa kike utafanyaje?

    Umegundua shemeji yako(mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na bestfriend wako wa kike😳😳😳 na hawajui kwamba wewe unajua. Unafanyaje? Una mconfront bestie yako au shem? Au unaenda kumuambia dada yako?😫😫😫 Nisaidie wana JF🤐
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwaka ukiwa wako hata ukipanda mkaa unaota

    Mwaka ukiwa wako hata ukipanda mkaa unaota Utashangaa kila kitu kinaenda tu!!
  9. JamiiForums Tanzania Kuweni makini, Global Financial Crisis (Mtikisiko wa uchumi) is coming and real

    Kuna mitikisiko midogo midogo ya uchumi huwa inatokea na inadumu kwa muda mfupi lakini kuna ile mikubwa kama Great Depression, hii mikubwa yote huwa inatanguliwa na vita pamoja na utra super overspending kuanzia level ya watu binafsi, familia, makampuni hadi nchi kwa ujumla. Nikisema ultra...
  10. JamiiForums Tanzania Huna Wajibu wa kumtunza au kumhudumia Mzazi wako akiwa chini ya miaka 60 kama haumwi

    HUNA WAJIBU WA KUMTUNZA AU KUMHUDUMIA MZAZI WAKO AKIWA CHINI YA MIAKA 60 KAMA HAUMWI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Mada hii inaweza kuwa ngumu kwa baadhi ya Watu. Lakini nitakachojadili hapa ni Haki, kweli, akili na upendo kama ilivyo kwa Watibeli wote. Kama ilivyo kwa mzazi hana wajibu...
  11. JamiiForums Tanzania Dereva wa serikali usithubutu kumpa gari boss wako aendeshe

    Kuna ile inatokea dereva kazoeana na Afisa kama unavojua siku hizi wafanyakazi ni vijana unakuta dereva na boss wote ni washikaji wanakunywa pamoja sasa inatokea dereva labda kachoka au kalewa au kampa demu lift anaamua kumuachia boss aendeshe ili yeye Akakae nyuma adozi aisee ile ni hatari...
  12. JamiiForums Tanzania Usimsifie mtoto wako wa kiume kuwa ni handsome boy akasikia, utamharibu

    USIMSIFIE MTOTO WAKO WAKIUME KUWA NI HANDSOME BOY AKASIKIA, UTAMHARIBU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wazazi wengi hasa kina mama wameharibu watoto wao wa kiume kwa kuwasifia sifa hii kuwa vijana wao ni Handsome boys, Yaani wavulana wazuri wa maumbile na wenye mvuto wa kimapenzi. Huenda ni...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kiongozi wako wa Mtaa alikuahidi nini? Je, ametimiza?

    Salam ndugu zangu, Mwaka mwingine wa uchaguzi wa Serikali za Mtaa umefika. Ni wazi kwamba viongozi wetu tulionao walitoa ahadi mbalimbali Uchaguzi uliopita tukawaamini na kuwapa nafasi. Vipi kiongozi wa Mtaa wako ametimiza ahadi au ndiyo atakuja kuomba nafasi nyingine? Kwa upande wangu...
  14. JamiiForums Tanzania Mtu gani maarufu ni Crush wako?

    Ni mtu gani maarufu alikuvutia zaidi na ukatamani angekuwa Mpenzi wako? Mimi ni huyu Binti wa Kifilipino Kristine Hermosa. Mtaje Crush wako nawewe..!
  15. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako akiwa na hasira unamtulizaje?

    Habari zenu, Eti endapo Mpenzi wako ana hasira huwa unafanya kitu gani kumtuliza hasira zake? FUNGUKA!
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Unayajua majukumu ya Viongozi wako wa Mtaa? Je, wanayatimiza?

    Salaam Wakuu, Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Watu wengi tunauchukulia poa Uchaguzi wa hivi kwa kutokuelewa hasa umuhimu na majukumu ya Serikali za Mitaa. Kabla ya kufika Uchaguzi Je unayajua majukumu ya viongozi wako wa Mtaa kama Wenyeviti, Madiwani na Watendaji? Je...
  17. JamiiForums Tanzania Siasa ni kama biashara, ukishajenga ngome ya Wateja wako kudondoka ni kazi ngumu sana

    SIASA NI KAMA BIASHARA UKISHAJENGA NGOME YA WATEJA WAKO KUDONDOKA NI KAZI NGUMU SANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Kila kitu kinahitaji misingi na mizizi ili kiweze kudumu kwa muda mrefu. Katika Sanaa kuna Fans Base. Msanii anapoanza safari yake ya muziki lazima ahakikishe anatoa kazi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hili CHADEMA na Mbowe wako upande wa wananchi

    Habari zenu wana JF. Husikeni na mada tajwa hapo juu. Kwa kweli haihitajiki kutumia nguvu kubwa sana kujua kwamba CHADEMA na Mbowe wamekuwa sauti ya Watanzania kulingana na hali ilivyo. Kuanzia miswada batili yenye Lengo la kuwanufaisha viongozi walioko madarakani pamoja na watoto wao hadi...
  19. JamiiForums Tanzania Kiongozi wako wa dini hatakiwi kuunganisha ukaribu wako na MUNGU, hilo ni jukumu lako

    Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini. Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana. Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika...
  20. JamiiForums Tanzania Baadhi ya maumbile madogo ni wanaume ndio huyasababisha, kama upo makundi haya dawa ipo lakini uvumilivu wako ndio tiba.

    Kuna wale wanaume ambao wana maumbile madogo na kuhisi ndivyo walivyo lakini kiuhalisia hawakuumbwa hivyo. 1. Walioanza kupiga punyeto kabla au balehe inapoanza - kundi hili waliingilia process za uume kupata size kamili kipindi cha balehe. 2. Waliovaa chupi zilizokuwa zinabana - nao hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…