wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Strong and Fearless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ukiona picha za Instagram za girlfriend/boyfriend wako akioa au kuolewa—utafanyaje?

    Tuseme upo kwenye Instagram zako unascroll tu kawaida, halafu ghafla unakutana na picha za pre-wedding au harusi ya mtu ambaye bado ni girlfriend/boyfriend wako—yaani hamkuachana rasmi, hamkujua mmemalizana vipi, lakini yeye anaendelea na maisha kama vile haukuwepo. Na picha zimepostiwa saa...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ishara gani ukiziona kwa mwenza wako unajua leo napewa tunda au sipewi?

    Habari wadau wa JF? Niende moja kwa moja kwenye mada. Maisha ya mahusiano yamejaa visa na burudani za vya kufurahisha na kustaajabisha. Kuna wakati wapendanao hufurahiana sana ila kuna nyakati za kuumizana na kukasirikiana. Mambo haya kwa namna moja ama nyingine huathiri maisha ya kingono...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

    Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau? Hilo la kwanza. La pili : Soko nimepata nasikia Kibaha kwa wachina ukipeleka ni fasta tu na malipo ni...
  4. Daby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jambo gani mpenzi wako amekuwa akilipigia kelele lakini umeshindwa kuacha?

    Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza. Share experience tujifunze kutoka kwako. Binafsi: Nimeshindwa kuacha kutazama statuses whatsapp + reels za IG za wadada wenye mishepu yao. Kila nikijaribu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sababu za Kumheshimu Mchungaji Wako

    Sababu za Kumheshimu Mchungaji Wako Mchungaji ni Nani Wachungaji ni watu maalum walioteuliwa na kuchaguliwa na MUNGU kulichunga na kulilisha kundi lake kupitia mafundisho ya Neno la Mungu, maonyo na Maombi (Yohana 21:15-17). Na hawa wanafanya kazi mfano wa zile za kikuhani katika nyumba ya...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Usiudharau Mwanzo wako mdogo ikiwa ndo unaanza MAISHA ya utafutaji kama kijana.

    Katika maisha unapokuwa unayaanza usije ukaudharau mwanzo mdogo / humble beginning au huitwa baby step. Hii tafsiri yake ni kuwa hata Kama umepata Kazi ya kufuta meza , hakikisha unaifuta hiyo meza vizuri kwakuwa hauwezi kujua kesho utaambiwa ukafute meza ya nani labda ya Rais , hauwezi kujua ...
  7. Mtunza siri zako

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikiona kwa mwanaume au mwanamke ukajua huyu siyo wako wa maisha (sio future mume / mke)

    Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu. Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai. Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa...
  8. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Morning pals! Muwe na mapambano mema katika siku ya leo. UJUMBE: Jikubali hali yako na uwezo wako, anzia hapo, na utafurahia kile unachokifanya.

    Muwe na siku njema!
  9. Moto wa volcano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

    Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
  10. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani kipya umejaribu na mwanamke au mwanaume wako hivi karibuni?

    Kigiza hicho, haya nimeachana na siasa nimerudi kwenye mada zetu pendwa. Wiki hii nimemchangamsha shemeji yenu na style mpya . Mikao inaitwa “nilie juu ya meza” na “naokota hela uvunguni” Mkao wa Nilie juu ya meza: tulimaliza kula nikamwambie abaki mezani anisubiri nitoe vyombo. Nilivyomaliza...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Jifunze kuangalia message ya miamala kwenye simu ya mke/mwanamke wako

    Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu, Unakuta ana milion Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali 🥶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako Ila wake...
  12. H

    JamiiForums Tanzania WAAFRIKA tuwaambie watoto wetu ukweli huu

    Waambie watoto wako ukweli! Waambie yote yalianza huko Misri (Ustaarabu wa hali ya juu, sayansi, hesabu, falsafa, dini, usanifu). Waambie Wamisri wa kwanza walikuwa weusi, hakuna uhusiano wowote na sinema za Hollywood. Waambie Christopher Columbus hakugundua A.Mericas, kwamba Mansa Musa...
  13. maiko sultan

    JamiiForums Tanzania Tabia 11 zinazoweza kuharibu ubongo wako

    1. USINGIZI USIO WA KUTOSHA Kwa mujibu wa kituo cha Sayansi ya mfumo wa neva (Neurology) cha Marekani, uharibifu mkubwa zaidi kwa ubongo wetu unasababishwa na kutokuwa na usingizi wa kutosha. Usingizi wa kutosha kwa watu wazima unamaanisha saa 7 hadi 8 za usingizi kati ya saa 24 kwa siku...
  14. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania CHRIST IS KING, ahsante Shomari Kapombe kwa ujumbe wako murua kwenye tisheti yako

    100% JESUS
  15. W

    JamiiForums Tanzania al masry wako fair play

    salamu ndugu zangu..!? al masry kwa nilivyowaona wanacheza mchezo mzuri wa fair play. katika mchezo uliopita pengine unaweza kusema walikuwa na uhitaji wa magori mengi lakini hili nakataa nakataa kwasababu wao hawakuwa wamiliki wa mpira tena kwa yale mashambulizi ya simba ni wazi wangekuwa...
  16. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania WANAUME WAKO VITANI LISSU NA HECHE, G55 Wanawaza kugawana Nyara!

    Ukipenda kula vitu mlivyoteka Nyara vitani,Nenda vitani,sio ukae nyumbani na familia yako, walioenda kupambana wakirudi nawewe unufaike na mgao! G55 nguvu zao zielekezwe kupinga uchaguzi usio wa haki uliosababisha watu kadhaa kupoteza Maisha na wengine Mali zao na kupata ulemavu. Watu...
  17. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke / Girlfriend wako akikwambia ukweli humridhishi kwasababu ya matatizo uliyonayo, Je akiku cheat bado una nguvu ya kumwambia "WHY ?"

    Mke / girlfriend wako kakwambia huwezi kumridhisha sababu ya matatizo uliyonayo kiafya aidha, jogoo hapandi mtungi, kisukari, kuwahi kumaliza, kutoweza kurudia tendo, uume ulioingia ndani, n.k. Siku ukigundua kachepuka, una nguvu za kumwambia "WHY ?"
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Kuna tatizo katika mfumo wa kununua Umeme, Wataalam wanaendelea kurekebisha

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wenye ndugu zenu Marekani muwe mnawajulia hali mara kwa mara msije mkakuta wako gerezani El Salvador

    Kuna wahamiaji halali huko Marekani inadaiwa wamechanganywa kimakosa na wengine wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu wakatupwa geza la watu watukutu zaidi wa magenge ya uhalifu huko El Salvador. Mnaweza mkafikiri ndugu zenu wako US kumbe wako huko El Salvador nyuma ya nondo na watu waliojaa...
Back
Top Bottom