Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).
Habari naitwa Rashid
kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi.
Namba za Simu 0627225627/ 0745747368
Email...
Habari naitwa Rashid
kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta,
Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi.
Namba za Simu
0627225627/ 0745747368
Email...
Ndugu Mufti Zubeir
Kwa muda mrefu umezungumzia sana suala la amani nchini lakini huwa huzungumzii Haki, Pamoja na ujumbe wako wa amani hata hivyo kutokuzungumzia haki kunaufanya ujumbe wako upwelee.
Dini ya Kiislamu inataka amani lakini inakataza dhulma. Mafundisho ya kiislamu yanasema kuwa...
poleni na majukumu.
nimetafakali nimeona huu mwezi wa nne niuanze kivingine na kitofauti zaidi kuwekeza kwenye kujifunza zaidi .
Ajira hata vibarua kupata imekuwa changamoto cha kwanza uaminifu umekuwa hafifu naimani kwa njia hii nitaiona kesho iliyo njema.
Nifundishe ndugu nipo tayari...
Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
Mimi kwanza sio mtu hata wa hayo mambo. Ila mara ya mwisho nilisahau mkufu wangu kwake na nikamwambia akaniambia ameuhifadhi. Nimerudi nikamuuliza kaniambia hauonekani itakuwa dada wa usafi kautupa. Sasa najiuliza huyo dada wa usafi kwanini anatupa vitu vya watu bila kuuliza jamani.
Kama wewe ni mtoto wa Elon Musk, usisome uzi huu, haukufai!
Kila siku, vijana wengi wanatumia muda mwingi kuandika nyuzi mitandaoni kuhusu mambo yasiyo na faida kwa maisha yao ya baadaye. Kwa mfano mtu anaandika uzi wenye kichwa: “Bibi yako alikuwa na vidole vingapi?” Wengine wanazungumzia...
Taifa stars ana mchezo mgumu dhidi ya Morocco kuelekea kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2026 pale Marekani.
Ni mechi ya ugenini ambayo itapigwa saa 6:30 usiku.
Tabiri utabiri wako tuone nani atakuwa sahihi
LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA
Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791
Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356
Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241
Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
Jana nimekaa zangu home mara akaja binaadam na stori zake za town
Binaadam: unajua money penny, naona wadada wengi wanalalamika kibamia kibamia kwa wanaume zao, ila shida ni moja hawajui kuwapima size ya mwanaume akiwa hajatembea nae
Money penny: upimaji huo ndio ukoje
Binaadam: wanawake wote...
Waziri mkuu wa Lebanon ambaye anaiunga mkono Hizbullah ameonya juu ya kuzuka kwa vita upya baada ya jeshi la Israel kushambulia maeneo kadhaa ya nchi hiyo na kusababisho vifo visivyopungua 7.
Katika tamko jengine tofauti na la waziri mkuu,raisi wa nchi hiyo Joseph Aoun ammbaye ni mkristo...
My apologies kwa matrix people hili sio swali lenu, hili ni swali kwa watu walio self-aware,self-conscious,awake.
( kama wewe hujui tofauti yake nini wala usihofu hiyo ni indication kuwa swali sio lako vinginevyo ungejua).
Twende kwenye swali, wakuu naomba kujua ni vitabu gani ambavyo ni your...
USHAURI WA BURE KWA RAIS NA MAKAMU WA RAIS WA YANGA NA KAMATI YAO YA UTENDAJI NA MSIMAMO WA WAPENZI NA WANACHAMA WA YANGA
Kutokana na ukubwa wa Timu yetu na mtandao mkubwa uliopo miongoni mwa wapenzi na wanachama wa YANGA kuna taarifa zisizo na mashaka ndani yake ya kwamba viongozi wa Yanga...
Wakazi wa Tawi la Mnarani, Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Dimani, Unguja ni kama hawana tawi licha ya kwamba lipo na Wananchi wanalijua.
Nina mzee wangu ambaye yupo hapo analalamika kuwa jengo ambalo wamepanga kodi iliisha tangu Desemba 2024, lakini kinachowasikitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.