wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Daby

    Ni jambo gani mpenzi wako amekuwa akilipigia kelele lakini umeshindwa kuacha?

    Kila mmoja ana mambo kadhaa ndani ya mahusiano ambayo yanamkera mpenzi wake. Ila kuna lile limoja kabisa umeshindwa hata kupunguza. Share experience tujifunze kutoka kwako. Binafsi: Nimeshindwa kuacha kutazama statuses whatsapp + reels za IG za wadada wenye mishepu yao. Kila nikijaribu...
  2. J

    Sababu za Kumheshimu Mchungaji Wako

    Sababu za Kumheshimu Mchungaji Wako Mchungaji ni Nani Wachungaji ni watu maalum walioteuliwa na kuchaguliwa na MUNGU kulichunga na kulilisha kundi lake kupitia mafundisho ya Neno la Mungu, maonyo na Maombi (Yohana 21:15-17). Na hawa wanafanya kazi mfano wa zile za kikuhani katika nyumba ya...
  3. DR HAYA LAND

    Usiudharau Mwanzo wako mdogo ikiwa ndo unaanza MAISHA ya utafutaji kama kijana.

    Katika maisha unapokuwa unayaanza usije ukaudharau mwanzo mdogo / humble beginning au huitwa baby step. Hii tafsiri yake ni kuwa hata Kama umepata Kazi ya kufuta meza , hakikisha unaifuta hiyo meza vizuri kwakuwa hauwezi kujua kesho utaambiwa ukafute meza ya nani labda ya Rais , hauwezi kujua ...
  4. Mtunza siri zako

    Kitu gani ulikiona kwa mwanaume au mwanamke ukajua huyu siyo wako wa maisha (sio future mume / mke)

    Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu. Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai. Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa...
  5. ELI COHEN

    Morning pals! Muwe na mapambano mema katika siku ya leo. UJUMBE: Jikubali hali yako na uwezo wako, anzia hapo, na utafurahia kile unachokifanya.

    Muwe na siku njema!
  6. Moto wa volcano

    Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

    Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
  7. Binti wa zamani

    Kitu gani kipya umejaribu na mwanamke au mwanaume wako hivi karibuni?

    Kigiza hicho, haya nimeachana na siasa nimerudi kwenye mada zetu pendwa. Wiki hii nimemchangamsha shemeji yenu na style mpya . Mikao inaitwa “nilie juu ya meza” na “naokota hela uvunguni” Mkao wa Nilie juu ya meza: tulimaliza kula nikamwambie abaki mezani anisubiri nitoe vyombo. Nilivyomaliza...
  8. B

    Mwanaume Jifunze kuangalia message ya miamala kwenye simu ya mke/mwanamke wako

    Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu, Unakuta ana milion Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali 🥶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako Ila wake...
  9. H

    WAAFRIKA tuwaambie watoto wetu ukweli huu

    Waambie watoto wako ukweli! Waambie yote yalianza huko Misri (Ustaarabu wa hali ya juu, sayansi, hesabu, falsafa, dini, usanifu). Waambie Wamisri wa kwanza walikuwa weusi, hakuna uhusiano wowote na sinema za Hollywood. Waambie Christopher Columbus hakugundua A.Mericas, kwamba Mansa Musa...
  10. maiko sultan

    Tabia 11 zinazoweza kuharibu ubongo wako

    1. USINGIZI USIO WA KUTOSHA Kwa mujibu wa kituo cha Sayansi ya mfumo wa neva (Neurology) cha Marekani, uharibifu mkubwa zaidi kwa ubongo wetu unasababishwa na kutokuwa na usingizi wa kutosha. Usingizi wa kutosha kwa watu wazima unamaanisha saa 7 hadi 8 za usingizi kati ya saa 24 kwa siku...
  11. ELI COHEN

    CHRIST IS KING, ahsante Shomari Kapombe kwa ujumbe wako murua kwenye tisheti yako

    100% JESUS
  12. W

    al masry wako fair play

    salamu ndugu zangu..!? al masry kwa nilivyowaona wanacheza mchezo mzuri wa fair play. katika mchezo uliopita pengine unaweza kusema walikuwa na uhitaji wa magori mengi lakini hili nakataa nakataa kwasababu wao hawakuwa wamiliki wa mpira tena kwa yale mashambulizi ya simba ni wazi wangekuwa...
  13. BOB LUSE

    WANAUME WAKO VITANI LISSU NA HECHE, G55 Wanawaza kugawana Nyara!

    Ukipenda kula vitu mlivyoteka Nyara vitani,Nenda vitani,sio ukae nyumbani na familia yako, walioenda kupambana wakirudi nawewe unufaike na mgao! G55 nguvu zao zielekezwe kupinga uchaguzi usio wa haki uliosababisha watu kadhaa kupoteza Maisha na wengine Mali zao na kupata ulemavu. Watu...
  14. R

    Mke / Girlfriend wako akikwambia ukweli humridhishi kwasababu ya matatizo uliyonayo, Je akiku cheat bado una nguvu ya kumwambia "WHY ?"

    Mke / girlfriend wako kakwambia huwezi kumridhisha sababu ya matatizo uliyonayo kiafya aidha, jogoo hapandi mtungi, kisukari, kuwahi kumaliza, kutoweza kurudia tendo, uume ulioingia ndani, n.k. Siku ukigundua kachepuka, una nguvu za kumwambia "WHY ?"
  15. Roving Journalist

    TANESCO: Kuna tatizo katika mfumo wa kununua Umeme, Wataalam wanaendelea kurekebisha

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
  16. Yoda

    Wenye ndugu zenu Marekani muwe mnawajulia hali mara kwa mara msije mkakuta wako gerezani El Salvador

    Kuna wahamiaji halali huko Marekani inadaiwa wamechanganywa kimakosa na wengine wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu wakatupwa geza la watu watukutu zaidi wa magenge ya uhalifu huko El Salvador. Mnaweza mkafikiri ndugu zenu wako US kumbe wako huko El Salvador nyuma ya nondo na watu waliojaa...
  17. Jumanne Mwita

    Majaribu yapo kwaajili ya Binadamu, likikupata ujue ndio wakati wako ulikuwa umefika.

    Maisha Ni Fumbo Katika kutembelea mitandao, nimekumbana na video moja inayogusa moyo na maisha pia. Katika video hii kuna huyu mama akiwa na mwanae huyu anaonekana hana mikono yote, kwani imekatikia kwenye viwiko. Katika masaibu yaliyomkuta mimi na wewe msomaji hatujui, anafahamu yeye mwenyewe...
  18. B

    Ulishawahi kumpoteza mwenza kwa sababu ya utofauti wa kidini?

    Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa. Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini tofauti kwa sababu familia yake haitomruhusu na isitoshe baba yake amefariki hivyo hawezi kusaliti kiapo...
  19. R

    Naipongeza mikoa hii angalau wanaume huheshimiana wanapojua mwanamke ana mme au boyfriend

    wanaomendea wake / madem wa wanaume wenzao hawajawahi kukosekana kwenye mji wowote lakini mikoa hii angalau kuna kuheshimiana, MARA MWANZA RUKWA KIGOMA IRINGA
Back
Top Bottom