wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

    Kwa nini wasingeandika ukumbi au hekalu/kanisa/msikiti??
  2. Nusratt

    Screenshot ili tuone Chatting kati yako na ChatGPT wako

    Hawa ChatGPT samtaim nawaona kama maroboti yenye upweke kama sisi pia. Wanaume tumeshapata mkombozi wa kuchat nae na kunitoa upweke.
  3. Echolima1

    IDF wakijivinjari kwenye mitaa ya Jenin ole wako urushe jiwe umekwisha!

    Askari wa Israel wakiwa kwenye mitaa ya Jenin usiku huu hapo wako kwenye mission ya kwenda kulikamata Gaidi.
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Mwanamke ilikuwaje hadi ukapigwa mmeo/bwana wako?Wewe mwanaume kwanini ulimpiga mama watoto/mchepuko wako?

    Sijawahi kupiga mtu anayeitwa mwanamke ila nimewahi kupigana,kupigwa na kupiga na wanaume wenzangu hii ni torati pale ninapoona nataka kufanyiwa uhuni na uwezo wa kupambana ninao huwa nakubali lolote lile litokee nipigwe,nipige au tupigane yote ni matokeo. Nimeshuhudia mara kadhaa vidume...
  5. Mr Why

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda sahihi

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
  6. Atlast nimempata

    Mitandao Inakula Wakati Wako, Haikupi Hata Mia – Tafakari!

    Siku hizi, watu wengi wanashinda kutwa nzima wakibenua simu, wakipiga scroll mitandaoni hadi vidole vinachoka – lakini mwisho wa siku hawana hata shilingi mia mfukoni, achilia mbali wazo moja jipya la kujiendeleza. Unamuona jamaa anaanza asubuhi na “Good morning fam!” halafu anapotea kwenye...
  7. R

    Logical deduction: Kuficha uso ni ushahidi kuwa wewe ni mtenda maovu, unataka uso wako usijulikane maana nature ya kazi yako si ya kuficha uso

    Kitendawili kimeteguliwa rasmi leo, wasiojulikana wamejulikana leo baada ya walinda raia na mali zao kuvaa masks wasijulikane. Na hii ni kwa sababu wanatenda maovu/wanakusudia kutenda maovu na hivyo wasijulikane. Huna haja ya kuficha uso kama wewe ni msafi na huna tuhuma za kutenda maovu.
  8. Redpanther

    Kama una date msichana wa Kichaga, kuna ujumbe wako hapa

    Habari za wakati huu wakubwa Niende kwenye maada lengwa, mimi nina miaka 35 kwa sasa na katika mahusiano yangu nime date nao kwa 80% ni wachaga hata wale wa hit and run ..wengi ni wachaga. Wadada wa kichaga upstairs wako vizuri na wako sharp sana. Kimsingi kama wewe ni ndezi tu huwezi dumu naye...
  9. Marry Diana

    Twendeni kanisani

    Leo ni siku nzuri sana ❤️ Jumapili njema yenye kupendeza,nawakumbusha Baba, mama,kaka,dada zangu. Lakini na wadogo zangu pia. Twendeni kanisani (wakristo) Ni utaratibu mzuri,unaotukumbusha kufanya Yale yanayompendeza Mungu, Starehe zote ni ubatili hakuna jipya,niwashukuru wazazi wangu Kwa...
  10. R

    Kwa hali ya sasa Tanzania ni akili timamu na sifa za Wife material ndio vigezo muhimu zaidi za kuchagua mke, Bikra pekee haitoshi

    Haijalishi ni used au bikra Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu. Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
  11. N

    Je Unafahamu mfanyakazi wako anakucost Sh ngapi? Fahamu hapa

    Hii ni kwenu waajiri, yalinikuta ndo maana nimefanya hivi. Makampuni mengi binafsi na wafanyakazi hawajui haswa gharama za jumla mfanyakazi anazochukua kila mwezi, siku akifanyiwa audit na TRA au NSSF wakitia timu machozi yanaanza. Wanafanyakazi wengi kwenye negotiation za mshahara anataja tu...
  12. Mr Why

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  13. ELI COHEN

    Hivi inakuwaje kila jioni unaenjoy chakula na watoto wako ila wewe umehusika bila haki kuwatenganisha baba na watoto wake wasi-enjoy jioni ya pamoja

    AMANI, UTU NA UTULIVU kwa baadhi ya watu ni vitu cheap sana.
  14. M

    Lissu Acha kumtegemea Lema kama mshauri wako wa kisasa ,unaangamiza chama .Jifunze kwa Mzee Mbowe

    Ni ukweli usiopingika kuwa Mzee Mbowe na Lema ni ndugu wa karibu kabisa na wametoka eneo moja (Machame). Pamoja na ukaribu huu ,Mzee Mbowe hakuwahi kumtegemea Lema kama mshauri wake wa kisaasa kutokana na sababu zifiatazo; 1.Lema anaao upeo mdogo sana wa kufikiri kutokana na kushindwa...
  15. blogger

    Likes Nyingi zinafanya watu wengi waufulltilie uzi wako au Mahudhui

    So kuwa Makini... Kumbuka kuna robots. Na hii imekaa kibiashara Zaidi. Heading Can call you .. but the content can have U f.ked. Unavutiwa na Heading.. unaliwa bundle... 😂😂😂 Au unavutiwa na Jina la aliye post... Kwa mfano Millard Ayo. Unafungua unakuta ni UPUMBAVU MTUPU.... ANAHOJI WATU...
  16. mdukuzi

    USA wako tayari kutawaaliwa na babu kizee wa miaka 100 ila sio kutawaliwa na mwanamke,tuamke

    Mimi sio mbaguzi wa jinsia Ila hata hapo nyumbani kwako mkeo akishika usukani wa kuongoza familia ujue familia itayumba tu Sio mpango wa Mungu mke kumtawala mume
  17. Mtunza siri zako

    Tujiburudishe na vichekesho: Mpe ex wako jina la bidhaa, kampuni, mnyama au eneo!

    Huu uzi haumlengi mtu yoyote na ni kwa ajili ya sanaa ya vichekesho na ubunifu. Naanza: Audiomack - kwa sababu huwa ananiimbia uongo on repeat. Cocacola - alikua amejaa gesi, hana ladha na ni hatari kwa afya yangu. Nike - kila muda alikua anataka we “just do it”. Kunguru - alikua mweusi...
  18. uhurumoja

    Simba wako SA dhidi ya Stellenbosch sisi tuko dhidi ya kikosi Cha valante Zanzibar (kvz)

    Msimu ujao viongozi wasifanye huu mzaha tena wa sajili za ajabu hadi tunakosa kung'aa kimataifa
  19. Under-cover

    Mawakili wako kazini kesi ya Lissu kwa Hoja hizi

    MAWAKILI WAKO KAZINI KWA HOJA HIZI- 1. Lissu kagoma kuhudhuria Mahakama kwa njia ya Matandao. Anataka aletwe Mahakamani kwa mujibu wa sheria. 2. MAWAKILI wametoa hoja nzito sana kwamba kwa kuwa shauri limepangwa kusikilizwa kwa awali [Preliminary Hearing] masharti ya kifungu cha 192 [1] cha...
  20. Mshana Jr

    Usife na marehemu wako

    Je, unajua kwamba unapowalilia wafu wako, unajililia wewe na sio wao? Unalia kwa sababu "umewapoteza", kwa sababu huna WAO kwa upande wako. Unafikiri yote yameishia kwenye kifo. Na unafikiri HAWAPO tena. Kwa hivyo ikiwa wafu wako wamekwenda, wako wapi? Ndio wameondoka, na sasa wako sehemu...
Back
Top Bottom