wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Wabongo bana! Hivi kwani kutahiri watoto wako lazima uwapeleke kwa Daktari Juma, Kariakoo? Ona kilichomkuta huyu jamaa

    Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya tohara msimamie am tahiri mwanao akasema lazima awapeleke kwa Dokta Juma. Picha Linaanza simu ya...
  2. M

    Hivi inakuaje mama mzazi ni mdogo kuliko mume wa binti yake

    Nimekutana nayo jana hii nilipomsindikiza jamaa kumsalimia mama wa mwanamke aliyezaa naye. Jamaa lina miaka 56 halafu binti aliyemzalisha ana miaka 24 na mama wa binti ana miaka 49, Mtoto wao sasa ana miaka mitatu. Changamoto niliyoikuta ni kwenye salamu, binti hakumpa jamaa shikamoo lakini...
  3. Pascal Mayalla

    Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    Wanabodi Leo ni siku ya Jumapili,najitahidi siku za Jumapili,niwe naleta mada za holistic approach Huu ni uzi wa swali tuu, nimeona jinsi washabiki wa NRNE walivyo chachamaa kwenye mitandao ya kijamii,utadhani wametiwa ndimu!,mtu yoyote ukiposti chochote,wanakuja na NRNE sio tuu za...
  4. Lord Denning

    Sio kwa Ubaya: Ndugu zetu wako nyuma sana kwenye kupambania Ukweli. Ndo mana wameizunguka Israel ila Palestina anapigwa kila siku na wao wapo tu

    Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960. Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na unyonge ila waliweza kusimamia kweli na kuitetea kweli. Waliisimamia Palestina dhidi ya Israel hadi...
  5. Setfree

    Je, unajua kwamba huyo mke/mme uliye naye sasa sio wako?

    Naongea na wewe uliyeachana na mwenzi wako wa kwanza na kuoa au kuolewa tena. Nakujulisha kuwa huyo mke/mume uliye naye sasa sio wako mbele za Mungu — unazini. Katika dunia ya sasa ambapo talaka na ndoa ya pili au ya tatu zinaonekana kama jambo la kawaida, ni muhimu sana kwa watu wanaotamani...
  6. KENZY

    Kama upo kwenye mapenzi na huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, ndugu achana na huyo tapeli!

    Huu wimbo unakamata wazee na vijana!, haujalishi ni mtoto wa alfu mbili ama alfu tatu!. Milindimo yake haichoshi, sauti za waimbaji wake wameitenda ile kazi ya fasihi!. Sasa kama huyo mpenzi wako haujui huu wimbo, we endelea kuishi tu na hilo gaidi litakuchinja sikumoja!...😂
  7. Samson Ernest

    Udhaifu wako hupaswi kuwa kizuizi chako cha kuwa vile unapaswa kuwa

    Mit 30:26 SUV [26] Wibari ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba. Wimbari ni viumbe ambavyo ni wadogo na dhaifu, hali yao haijawazuia kufanya kile kitakuwa usalama kwao, wanajenga makazi yao kwenye miamba. Udhaifu wao hujawazuia kujenga nyumba, nyumba ambayo itakuwa usalama...
  8. Mhafidhina07

    Rais Samia nikukumbushe tu, mtangulizi wako alianza nao vyema kama wewe, ulimponda kwa mabaya yake leo yamekukuta

    Ushauri wangu ni kwamba nchi yetu haina special person(specialized) wengi katika taaluma tofauti mfano Siasa ila ina mashabiki wengi baadhi yao wapenda udaku,mipira na wengine wapenda umbeya wa siasa(hawana taarifa ila ni waropokaji kwa taarifa wanazopatiwa). Ukitaka kutambua hili kuna mtu yupo...
  9. Sakwe

    Mapedeshe waliotamba

    Waliotamba Enzi za JK? Enzi za utawala wa Rais Jakaya Kikwete (2005-2015) zilikuwa zimejaa rangi na mvuto wa kijamii, hasa katika jiji la Dar es Salaam, ambapo wajasiriamali, wafanyabiashara, na watu wa tabaka la juu—waliowajulikana kama "mapedeshee"—waliongoza maisha ya kifahari na kujulikana...
  10. Sakwe

    WAKO WAPI MAPE

    10000
  11. Setfree

    Kama unafanya mambo haya, hata ukifunga na kuomba siku 40, unapoteza muda wako tu, Mungu hawezi kukupa unayotaka

    Watu wengi wanapopatwa na shida, magonjwa na majanga, huamua kufunga na kuomba kwa muda mrefu, wakitarajia kuwa Mungu atawatatulia shida zao. Jambo wasilolijua wengi ni kwamba ili Mungu atupatie haja zetu tunapomuomba, ni lazima tukidhi vigezo na masharti aliyoyaweka. Kama unafanya mambo...
  12. KING MIDAS

    Maandishi ukutani:-Enyi muombolezao, jiandaeni kububujikwa na machozi ya furaha. Haki huinua taifa

    Mungu amesikia kilio chenu enyi muombolezao. Tazama zaja siku SI nyingi mtalia kilio Cha furaha kabla mwaka haujatimiza miezi kumi.
  13. GENTAMYCINE

    Tajiri Mo Dewji yule 'Scout' wako wa Mchongo mpaka sasa ameshakuletea majina ya Wachezaji wangapi wa maana kwa Simba SC yetu ya 2025/2026?

    Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
  14. B

    Boss wako hawezi kufurahia unapomzidi mafanikio

    Leo katika pita pita zangu wakuu nikaenda, kuna boss(HR) mmoja wa Rafiki angu akaniagiza nimletee vifaa vya umeme, Basi katika kuniharakisha Ikabidi niazime gari kwa mwana niwahishe vifaa vile, kufika tu napaki chuma nashangaa, Eti huyo boss wa anasema Yani hujaajiriwa na umeshaanza kuendesha...
  15. kimsboy

    PreGE2025 Rais Samia, hakuna aliyewahi kushindana na Kanisa akashinda!

    Kwa hichi serikali yako inachokifanya cha kupambana na kanisa na watumishi wa Mungu kamwe hutoshinda. Nawaambieni ukweli, hakuna aliyewahi kushindana na kanisa akashinda. Rais Samia hatua uloingia ni mbaya sana hakika huwezi kulishinda kanisa wala kulitikisa Watanzania wenzangu huu ni wakati...
  16. Sifi Leo

    ML. MJEMA omba Mungu dhidi ya Familia Yako na uzao wako Mungu Ameshuka amesema ujiuzulu

    Omba Toba Sali Omba toba mkono wako wa kiume ulitumika kumtia mkeo mimba zote Omba msamaha kwa Ajili yake Tafadhali Bado unapendwa tuliza akili hacha siqeaa baba hata ulisema unitafte unitese haitosaidia fanya nilivyosema
  17. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Kwa zama hizi tulizopo urithi wa mashamba na mifugo umeshapitwa na wakati , kwa sasa mtoto wako kama hajui teknolojia ataendelea kuwa mtumwa .!

    Dunia ya Leo wanaomiliki bidhaa za kiteknolojia ndo wanamiliki ukwasi. MTU Kama mirradayo , diamond n.k Max Melo Ili uwafikie sijui unabidi ufuge mbuzi wa ngapi na ulime heka ngapi Dunia inashuhudia economic transformation kubwa Sana.
  18. E

    Bobi Wine amwambia Museveni “Msamaha wako haujakubaliwa”

    Wakati Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiomba msamaha Waganda kwa makossa yaliyofanywa wakati wa utawala wao wa miaka 40, Rais wa chama cha NUP, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amekataa msamaha huo, akisema bado wananchi wanaendelea kuteseka katika nchi yao. Museveni na mkewe Janeth...
  19. kadiri kasimba

    Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

    Habari za majukumu wakuu? Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae? Je ilikuwaje? Je ulisolve...
  20. Bubu Msemaovyo

    Nyoka wako katika mapenzi

    Kuna dhana nyingi sana kwamba si rahisi kuwakuta paka wakiwa katika mapenzi. Ipo dhana kwamba ukikuta paka wanafanya mapenzi eti hiyo ni nuksi. Kuna kipindi nilikutana na kisa ambacho sijawahi kumsikia mtu akikizungumzia. Kuna siku nilienda shambani sasa katika kichaka nikaona nyoka wawili...
Back
Top Bottom