wakimbizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. YEHODAYA

    Tanzania ijiandae kupokea wakimbizi toka Ulaya na Marekani wanaokimbia CORONA kuja kuishi kwetu kusiko na Corona

    Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema pesa za kuishi wanazo. Na wameona Tanzania ndio mahali salama kwao na familia zao kuliko makwao. Serikali ijipange...
  2. Miss Zomboko

    Ethiopia yawarejesha wakimbizi waliokimbia mapigano ya Tigray

    Maelfu ya wakimbizi waliokimbia kwenye kambi zao katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia, baada ya kambi zao kushambuliwa kwenye mapigano baina ya majeshi ya serikali na waasi wa kundi la TPLF, wameanza kurejeshwa, kwa mujibu wa serikali ya Ethiopia. Taarifa iliyotolewa leo inasema kuwa...
  3. B

    Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

    Upo umuhimu wa wasomi na wataalam wetu kuliangalia hili suala kwa macho mapana na kuishauri serikali. Tusione Canada wanatoa hifadhi kwa Watanzania tukakaa kimya, tujiulize tumefikaje hapa? Ikumbuke kwa mujibu wa sheria za kimataifa ukimbizi ni hadhi unayopata baada ya wataalam kukaa na...
  4. Pascal Mayalla

    The Economist na Mauongo Yao Kuihusu Tanzania: Waidanganya Dunia Tuna Torture Wakimbizi! Wanapata Faida Gani? Kwanini Tunanyamazia Uongo Huu?

    Wanabodi, Kila mara nasisitiza humu, uongo ukisemwa sana, na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, mwishowe uongo huo hugeuka ukweli. Na uongo ambao ni uongo mtupu, ukisemwa kuwa kitu fulani kitatokea, tusipo kanusha uongo huo, halafu hicho kitu kikaja kutokea kweli, then, kufuatia kuanuni...
  5. Kibosho1

    Wameru ni wakimbizi wa Kichaga

    Katika kabila lenye matabaka mengi Tanzania ni la Kichagga. Na lugha zinabadilika kulingana na eneo ndio mana unakuta ukianza Rombo mpaka Siha lafudhi ni tofauti japo tunasikilizana vizuri lakini huwezi kujibu kama ulivyosemeshwa. Katika kutaka kujua historia kidogo kwanini Wameru wanaongea...
  6. MK254

    Hiyo Tanzania ambayo akina Mandela walikuwa wanaikimbilia, leo ndio inazalisha wakimbizi wa kisiasa

    Kuna sehemu nilisoma kwamba Mandela aliwahi kuishi Morogoro kama mkimbizi wa kisiasa akiwakimbia makaburu, alipewa hifadhi na Nyerere. Bado wengi hatuamini taarifa za kwamba Lema ambaye mara moja moja huwa namfuatilia hoja zake zilizosheheni nondo kwenye bunge la Tz, yaani yuko hapa Kenya kama...
  7. Intelligence Justice

    Suala la baadhi ya viongozi wa kisiasa kutafuta hifadhi za ukimbizi ubalozini, mashirika ya wakimbizi ni "Cover Story"

    Wakuu, Limeibuka wimbi la baadhi ya viongozi wa kisiasa kukimbilia kwenye balozi zinazowakilisha nchi zao au mashirika ya ukimbizi kwa madai ya kuteswa (persecution). Kwa tafsiri ya jumla kwa kiingereza inaakisi yafuatayo: "...... is the act of harassing or oppressing a person or a group of...
  8. Miss Zomboko

    WFP: Wakimbizi wengi wa Msumbiji wanakimbilia Tanzania kutikana na mapigano kuongezeka

    Kaskazini mwa Msumbiji, mapigano yanaendelea na kuongezeka hali ambayo imelazimisha maelfu ya watu kutoroka makazi yao. Sasa hivi idadi kubwa ya raia hao wanakimbilia nchi jirani ya Tanzania kulingana na mkurugenzi wa Shirika la Chakula Duniani eneo la Kusini mwa Afrika alipozungumza na BBC...
  9. Sam Gidori

    Ugiriki: Maelfu ya wakimbizi wameachwa bila makazi baada ya moto mkubwa kuunguza mahema

    Maelfu ya wakimbizi wameachwa bila makazi baada ya moto mkubwa kuunguza mahema katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi barani Ulaya ya Moria iliyopo katika kisiwa cha Lesbos nchini Ugiriki, kisiwa chenye uwezo wa kuhifadhi wakimbizi 3,000 lakini chenye idadi ya wakimbizi 13,000. Chanzo cha moto...
Back
Top Bottom