wakimbizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna wakimbizi wengi toka Malawi maeneo ya Mwananyamala

    Habari, Nimejaribu sana kufuatilia na kugundua sana sehemu ya Mwananyamala kumejaa sana wakimbizi au Malawi au wamalawi wengi wano ishi bila ya kua na vibari. Sijajua Uhamiaji wanafanya kazi gani. Maana imekuwa kawaida sana kukuta wamalawi wakiwa wengi sehemu hiyo pamoja na Mbezi Beach wakiwa...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Ukraine wapo kambi gani hapa nchini?

    Leo hii wakati Ofisa mwandamizi wa serikali akipokea msaada wa chakula kutoka WFP, amesema Tanzania imepokea wakimbizi kutoka Ukraine. Naomba kufahamishwa wamewekwa katika kambi gani na kama kuna kambi mpya imeanzishwa ipo mkoa gani. Na je huduma wanayopewa wakimbizi hawa ni sawa na ile...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya Warusi wamekua wakimbizi baada ya Ukraine kushambulia Urusi ndani

    Dah! Supapawa alifika huku lini, raia wake wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi.....tena kwenye ardhi ya Urusi. In the latest example of the war increasingly spilling into Russia, the Bryansk region came under fire overnight, according to a Russian official. Shells hit two villages close to the...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video inasambaa ikionesha Mwanajeshi wa Marekani (Texas) akiwavusha Wahamiaji haramu

    Salaam Ndugu zangu, Nimekutana na video kupitia mtandao wa Tiktok ikimuonesha Mwanajeshi wa Texas akiwavusha Wakimbizi kimagendo. Je, kuna ukweli wowote kwenye hili? Picha haihusiani na habari. Credit: AP News
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Zamu ya Warusi kuwa wakimbizi, gavana aomba raia wasirudi, hali tete Belgorod

    Haijatokea siku nyingine supapawa anavamiwa ndani hadi raina wanakimbia makwao na kuwa wakimbizi. ======= Authorities in Russia's Belgorod region said a "counter-terrorism operation" was ongoing after a sabotage group from Ukraine crossed the border. DW has the latest. The governor of...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania toeni uraia kwa wakimbizi wenye vipaji na ujuzi

    Kuijenga Tanzania mpya kunahitaji watu mahiri na makini bila kujali asili zao. Yanga na Simba zinafanya vizuri Sasa baada ya kusajili wachezaji wenye ujuzi mkubwa bila kujali uraia wao. Tanzania ina wakimbizi wengi sana tangu zamani, baadhi ya hawa wakimbizi ni walimu, wahasibu, engineer...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Aibu nyingine - Urusi inapata msaada kutoka kwa wakimbizi wa Palestina na magaidi wa Hezbollah

    Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini...... Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema acha uongo na utapeli wa kisiasa. Taifa letu halijawahi kuwa na mkimbizi kama wewe. Ulikosa Ubunge ndio ukatafuta fursa

    Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia? Acha uzushi 👇
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame akataa nchi yake kupokea Wakimbizi wa DR Congo

    Rais Paul Kagame amesema Nchi yake haiko tayari kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro kwa maelezo kuwa hilo sio tatizo la Rwanda hivyo hawezi kubeba mzigo usi wake. Kagame amesema chanzo cha mgogoro wa DRC na Rwanda ni mabaki ya vikosi vya Wahutu wenye itikadi kali ambao walijaribu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa kisiasa warudi nchini, hali ni shwari

    Kwa heshima kuu napenda kuwashauri ndugu zetu waliokimbia nchi warejee nchini kwani chini ya uongozi Wa mama Samia nchi ni shwari na salama. Nakuomba mheshimiwa Tundu Lisu na Godbless Lema rudini nchini tuijenge nchi yetu. Chini ya uongozi wa Rais Samia Tanzania nikinara cha Amani barani...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada wa kifedha kurejesha wakimbizi makwao

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameuambia Mkutano wa 73 wa Kamati Tendaji ya UNHCR kuwa hali ya kisiasa imeimarika Burundi na hivyo Wakimbizi wa Nyarugusu na Ndutu wanapaswa kuondoka. Akiwasilisha ripoti kuhusu hali ya wakimbizi mbele ya Kamishna Mkuu wa UNHCR Filipo Grandi, Masauni...
  12. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Tiktok inatuhumiwa kuchukua 70% ya donations ambazo wanatumiwa wakimbizi

    Watoto ambao ni wakimbizi huko Syria wamekuwa wakitengeneza videos ambazo wanaziweka Tiktok kisha watu wanaweza kuwatumia vitu vinaitwa diamonds ambavyo wanaweza kuvibadili kuwa pesa na kuitoa. Lakini, Tiktok huchukua 70% ya hizo donations na pia agent ambapo wanaenda kutoa pesa nao wanawakata...
  13. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Sielewi ni kwanini Rwanda nchi ndogo ichukue wakimbizi kutoka UK

    Heshima sana wanajamvi, Rwanda imeingia mkataba wa kuwachukua wakimbizi waliokimbilia UK kutafuta fursa mbali mbali za kiuchumi na wengine wakikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe. Rwanda ni nchi ndogo sana kwa maana ya eneo huku ikiwa na idadi kubwa sana ya watu.Rwanda ni nchi ya tano kwa...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi 17 wa Haiti wafariki baada ya mashua kuzama

    Wakimbizi 17 wa Haiti wamefariki Dunia baada ya mashua waliyokuwa wakiitumia kuzama kwenye maji huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo. Walikuwa njiani kuelekea Miami Nchini Marekani kupitia Bahamas, sababu ya kukimbia Nchi yao zikitajwa kuwa ni umasikini na vurugu za wahalifu. Kikosi...
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Kiafrika wapigwa mpaka kifo huko nchini Hispania

    Wahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya na vikosi vya polisi katika mpaka wa Morocco na Hispania. Kulingana na shirika la kutetea haki za wakimbizi UNHCR linaeleza kuwa wakimbizi hao wengi wao wakitokea katika nchi za Chad, Niger, Sudan kusini wangetakiwa kuchukuliwa kama...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ukraine ina wakimbizi wa ndani milioni 6.2 kutokana na vita inayoendelea

    Imefahamika kuwa zaidi ya watu milioni 6.2 wamepoteza au kuyakimbia makazi yao ndani ya Ukraine kutokana na vita inayoendelea kati ya taifa hilo na Urusi. Umoja wa Mataifa (UN) umetoa ripoti hiyo na kusema kuwa watu hao bado wamo ndani ya Ukraine wakati watu milioni 5.26 wakikimbilia nje ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Dunia ikiwa inaadhimisha Siku ya Wakimbizi, ni kweli maisha ya wakimbizi yameboreshwa?

    Pili Mwinyi Kila ifikapo Juni 20, dunia inaungana kuadhimisha Siku ya Wakimbizi Duniani. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilizindua rasmi siku hii mwaka 2000, na tangu wakati huo, jamii ya kimataifa inatumia siku hii kuangalia njia za kuboresha maisha ya wakimbizi. Wengi wetu tunajua kwamba...
  18. Mr Putin

    JamiiForums Tanzania M23 wafungua mpaka na kuruhusu wakimbizi kurundi makwao

    M23 waonyesha kuwa na leadership kuliko Serikali ya Kinshasa. Wafungua mpaka wa Bunagana na kuruhusu wakimbizi kurudi. Kisekedi hapa kapigwa kitu kizito.
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Juni 20: Siku ya Wakimbizi Duniani (World Refugee Day)

    Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), idadi ya Watu waliolazimika kukimbia Makazi yao imeongezeka kila mwaka katika miaka 10 iliyopita Siku ya Wakimbizi Duniani huadhimishwa kila Juni 20, kusherehekea ujasiri wa Watu ambao wamelazimika kukimbia Nchi zao. Kwa...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Burundi kuna amani sana, lakini kule Kigoma ndiyo kwanza recruitment zinaendelea

    Ukitaka kujua wakimbizi ni Biashara nenda Kigoma kwenye zile kambi, kule kuna wakati zile NGOs zilizo jazana kule zilikuwa zina gombana wao kwa wao kila mmoja ikipigania kuwahudumia wakimbizi. Kuna wakati zilijuwa na bifu la kufa mtu, sasa jiulize kwa nini bifu kisa wakimbizi? Kule kwenye...
Back
Top Bottom