Kulingana na hali ilivyo huko Uganda kwa sasa ni wazi kuwa yataibuka machafuko ya kutisha Mara baada ya uchaguzi kutokana na namna rais wao wa maisha Museven kuonesha kutokuwa tayari kabisa kuachia madaraka kwa njia za amani.
Sasa swali ni je tumejiandaa kuwapokea mamia kama si maelfu ya waganda watakaoshindwa kuvumilia milio ya siraha nzito za wanajeshi wa Uganda ambao sasa wamethibitishwa kuwa machine za mauaji za Babu kizee Museven.