Wakenya Maandamano yanawasaidia?

Wakenya Maandamano yanawasaidia?

murthehelp

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
192
Reaction score
160
Mbona nchi yenu iko vizuri, na kilichopelekea kukengeuka ni nini? Haya maandamano naona kama hayana maana yoyote kwa sababu sioni mahala mnapo gombania.

Mmeweka mambo jumla jumla hamtaki kutafuta mchawi wenu mmekaa mnapiga makelele tu.

Endeleeni, msimu wa mvua unaenda kuisha hakuana chakula cha bule. Utakuala ulipoacha matumizi.
 
gru-despicable-me-3-2017 (3).jpg
 
Back
Top Bottom