wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Arusha: Aliyemng'oa jino na kumjeruhi mke wake akamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Arusha Mei 27, 2023 limefanikiwa kumtamata mtuhumiwa aitwaye Isack Robertson (45) mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi mke wake aitwaye Jackline Mkonyi (38) mkazi wa Sombetini jijini humo. Akitoa taarifa hiyo leo Mei 28, 2023 Kamanda wa...
  2. JamiiForums Tanzania Watibeli Hatupigagi Wake Zetu, na Binti zetu hawapigwi

    WATIBELI HATUPIGI WAKE ZETU, na BINTI ZETU HAWAPIGWAJI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sisi Watibeli bhana ukiishi na Sisi unaweza fikiri hatuna hasira. Yaani mambo yetu tunayasuluhisha simple simple tuu. Yaani mpaka ugombane na Taikon basi ujue umemchokoa Sana, tena Sana. Hii ni Kwa sababu...
  3. JamiiForums Tanzania Amkamata mkewe akichepuka, aponyokwa. Mtoto asiye wake afariki

    Guten Abend. Leo nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kushikiliwa kwa kijana mmoja niliyekuwa naye kwenye project moja ya afya nchini. Alikuwa 'Index Tester'. Kijana mmoja ambaye hakika aliipenda kazi na kuifanya kwa bidii. Zaidi, alikuwa mnyenyekevu mwenye misimamo thabiti. Naam...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Miongoni mwa Nchi Chache Duniani Zenye Amani na Wananchi wake Wanaishi kwa Raha

    TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI CHACHE DUNIANI ZENYE AMANI NA WANANCHI WAKE WANAISHI KWA RAHA “Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Afrika na duniani ambazo mpaka sasa hivi Ina amani na tunaishi kwa raha, iwe ni wafanyabiashara, wafanyakazi na Watanzania ambapo Moja ya sababu kubwa ni uwepo wa...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bilionea wa Ubelgiji atuma bilioni 1 kwa mpenzi wake, Mahakama yataifisha

    Mahakama kuu Nchini Kenya imeiruhusu Serikali ya Nchi hiyo kutaifisha zawadi ya pesa za Kenya milioni 102 milioni (TSH. Bilioni 1.74) iliyotumwa kutoka Ubelgiji na Bilionea aitwae Marc De Mesel kwenda Kenya kwa Mpenzi wake ambaye ni Felista Nyamathira Njoroge (23) baada ya kubainika kuwa huenda...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Nimemkumbuka Anko Mrisho Ngassa katika ubora wake

    Ghafla nimemkumbuka Anko Mrisho Ngassa katika ubora wake. maisha yanayoyoma kwa kasi. Kwa sasa yupo mitandaoni akiposti video zake na kuelezea kila anachokifanya katika maisha. Huku katika soka amebakia kuwa shabiki tu. Baada ya Edibily Jonas Lunyamila kutamba sana katika soka kwa miaka mingi...
  7. JamiiForums Tanzania KOREA ya Kaskazini kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika

    KOREA Kaskazini imesema siku ya ya Alhamisi kuwa inakusudia kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika na kuapa kupanua uhusiano huo wa "urafiki na ushirikiano." "Tumejitolea kuziunga mkono kikamilifu nchi za Afrika katika juhudi zao za kufikia amani, utulivu na uadilifu wa kisiasa...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa ya kigeni ambayo muda wake umeishapita kimatumizi, naweza ipeleka mahali gani niweze itumia katika kurefund thamani yake!

    Habari wapambanaji, Mie nipo na fedha za kigeni ila nadhani muda wake ktk currently utilise kwema market umeisha, nauliza kuna uwezekano wa kuziexchange hizo fedha ktk pesa ya ndani tafadhali.
  9. JamiiForums Tanzania Jela miaka 150 kwa kubaka watoto wake watano(5)

    Mkazi wa Ndaleta wilaya ya Kiteto mkoa wa Manyara Jackson Ole Naiko (57) amehukumiwa kifungo cha miaka 150 na faini ya Milioni Tano (5,000,000/=) kwa kosa la kuwabaka watoto wake wa kuwazaa. Hakimu wa kesi hiyo Mosi Sassy amesema mahakama imezingatia ushahidi wa pande zote mbili na kila kesi...
  10. JamiiForums Tanzania Anatumia Mabilioni Kurudisha Nyuma Umri Wake

    Mjasiriamali wa teknolojia Bryan Johnson anatumia mamilioni ya dola kwa mwaka kujaribu kurejesha nyuma umri wake halisi wa kibiolojia wa miaka 45. Byan hufanyiwa vipimo vya mara kwa mara na matibabu na kundi la wataalamu linaojumuisha madaktari 30 na wanasayansi, BBC inaripoti. Muonekano wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa tu: Hivi mwanaume ( baba wa familia hula chakula cha siku anachokipenda yeye mwenyewe au anacho/ atakacho kitaka mke wake?

    Bila shaka title inajieleza, Najua wanaume wengi ni watafutaji, mara nyingi warudipo nyumbani hukuta chakula tayari kimekwisha kuandaliwa na msimamizi mkuu ni mama ( mke). Swali, je, nikweli huwa mwanaume unakula chakula unachokitamani kwa siku hiyo? Mara nyingi akina mama hata Kama...
  12. JamiiForums Tanzania Chakula kilikuwa kizuri lakini mazingira ya wale watoto wake sikuyapenda

    Twende kazi Maisha ya ubachelor ni kazi Sana nakumbuka since way back kabla sijaoa..Kuna sehemu nilikuwa napata msosi mchana Mara chache nikiwa Niko free. Yule dada aliokuwa anamiliki mgawaha alikuwa mpishi mzuri Sana in short alikuwa anatengeneza msosi mtamu, kwa sisi wapenda kula alitukamata...
  13. JamiiForums Tanzania Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

    Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti. Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja. Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asusiwa na wafuasi wake huko kigoma. Jionee mwenyewe

    Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake. Jionee mwenyewe
  15. JamiiForums Tanzania Yule Beki wa Marumo Gallants Tshepo Gumede wa Marumo Gallants alikimbizwa na Yanga Fiston Mayele Akubali Mziki Wake, Afananisha na Ronaldo

    Tshepo Gumede beki wa Marumo Gallants ambaye Mayele alimfanyia ukatili mkubwa akimuwekea mpira mbele kisha kuanza kumkimbiza na akampita na kuwahi mpira licha ya beki huyo kuwa mbele yake kabla ya kuanza mbio hizo. Haikuwa kukimbiza pekee Mayele akaenda kutoa pasi ya maana akimlipa Kennedy...
  16. JamiiForums Tanzania Vijana acheni kulalamika pale mdogo anapoadhibiwa na mkubwa wake kisayansi. Hii ndio siasa na mkumbuke kuwa sikio huwa halizidi kichwa.

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza kabla ya yote napenda kutumia nafasi hii kuiombea nchi yangu amani, upendo, mshikamano, ushirikiano, maendeleo ya watu na vitu. Ndugu yetu mh Lisu baada ya kuishi ulaya miaka miwili mitatu, na kupata watu wawili watatu wa kumlipia kodi ya nyumba na hela ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe: Kiongozi Mwenye Furaha na Upendo kwa Watu Wake

    Mwenyekiti wa CHADEMA, moyo wa ukarimu, Mtu wa watu, anayesimama kidete kila wakati. Freeman Mbowe, kiongozi hodari, Anapenda na kujali kila mmoja wetu kwa dhati. Anapowatembelea watu, furaha huonekana machoni, Salamu za upendo zinatoka moyoni mwake kwa utulivu. Katika harakati zake, anapigania...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Jakaya Kikwete aongelea Ikulu mpya, aisifu kwa uzuri wake

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema imekamilikia vizuri na inapendeza. Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na...
  19. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa takribani laki 5 na Binti wa duka langu jipya ndani ya miezi miwili. Nichukue uamuzi gani?

    Ni duka langu jipya nililofungua mwezi wa tatu, kwakuwa mimi ni muajiriwa niliona nitafute binti awe anakaa hapo, mimi tunawasiaana nae ila napitiaga baadhi za siku jioni na weekend. Binti ana miaka 23, mama yangu mdogo ndie alienisaidia kumpata maana ni majirani, ni binti ambae sikudhania...
  20. JamiiForums Tanzania Kilichobaki sasa kila mtu apambane aidha yeye au watoto wake wakaajiriwe TRA.

    Hi! Kama umri unatosha unaweza ukajipanga issue za kupata elimu (makaratasi) ya kukuwezesha kuajiriwa TRA au ofisi zingine nyeti nyeti ndani ya serikali tukufu ya JMT ill ukajenge nchi. Ukishindwa wewe basi weka juhudi kwa watoto wako wakajenge nchi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…