wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Baby dady Drama: Ni ngumu sana kushindana na baba wa mtoto ukianzisha mahusiano na single maza, ngumu sana!

    Unaweza ukajipa moyo kwamba waliachana kwa ugomvi na pengine baba wa mtoto hakutoa chochote tangu asikie mwanamke kapata mimba, waweza kudhani jamaa ndio basi tena kahsribu hawezi kuwa tatizo. Kiufupi ni ngumu sana mwanamke kumuacha kirahisi mwanaume aliemtunga mimba hasa ya kwanza ile...
  2. Kuna vyombo vinazeeka na utamu wake jamani

  3. Kinana: Rais wa Tanzania aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake

    Baada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka. Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi Kwa sababu Rais Samia ameapa kulinda na kuhifadhi Katiba ya Nchi hivyo hawezi kuwauza Kwa kufanya...
  4. Hongera Rais Samia, matendo huongea kwa sauti kuliko maneno

    Hakika inabidi tukupe hongera kubwa sana mama Samia, umetufundisha Watanzania kuwa "matendo huongea kwa sauti kuliko maneno" (actions speaks louder than words). Tukitazama mitandaoni na jinsi mambo yanavyodhaniwa na wapenda maneno kuwa ndiyo yalivyo, inabidi nikupe heko na hongera nyingi sana...
  5. Sehemu ya uzazi ya mwanamke kwa asili ya uumbaji wake kimuundo ni ngumu mwanamke kufika kileleni. Wanaume tusilaumiwe wanawake watuongoze wao.

    Wasalaam JF, Ni dhahiri mwanaume anapata sana kero za mwanamke kutofika kileleni, kwenye hili wanawake walaumiwe wenyewe, hisia zako hamu zako kiungo chako ukitaka raha na utamu mwanamke amuongoze mwanaume. Vinginevyo namna K ilivyo kwa ndani pale utamu hasa kile kinyama hakiko katika mfumo wa...
  6. Nilivyojikuta kwenye penzi la mwanamke mwenye mshikaji wake bila kujua

    Hellow wanajf muwazima, Kwanza samahani sina uandishi mzuri ila twende kazi tutaelewana. Kabla sijakutana na huyu mwanamke nilikuwa na mpenzi wangu tuliekuwa tuna mahusiano ya kama miezi mitano so tunapendana tu pasi na shida. Changamoto. Ilianzia pale nilipohama kituo cha kazi nakuahamia...
  7. Nchi yangu Tanzania na wasomi wake wapi tunatamani kufika?

    Mungu ibariki nchi hii na watu wake, Mungu mbariki mmiliki wa mtandao huu na timu nzima ya kazi inayofanywa hapa ili sisi tupate sehemu ya kutolea dukuduku zetu. Ndugu zangu Kwa heshima na taadhima nipo mbele yenu nami kule kero yangu hapa kwa viongozi na wataalamu wetu tuliowapa nafasi...
  8. Askofu Mwamalanga: Tunalijua genge na kiongozi wake linalompangia Rais nini cha kufanya

    Friends and Enemies, Hali inazidi kuwa mbaya, katika mkutano wa CHADEMA na maaskofu katika suala lao la kulumbana na serikali juu ya masuala ya bandari maaskofu wamezidi kutema kauli zao ambazo ni tatanishi. Amesikika kwa uwazi kabisa Askofu Mwamalanga akisema kwamba wao kama maaskofu...
  9. SoC03 Uharibifu wa Taifa huanzia nyumbani kwa Watu wake

    Uharibifu Wa Taifa Huanzia Nyumbani Kwa Watu Wake Mwandishi: MwlRCT UTANGULIZI Je, unajua jinsi msemo wa wahenga “uharibifu wa taifa huanzia nyumbani kwa watu wake” unavyoakisi hali ya sasa ya nchi yetu? Msemo huu ni usemi wenye kufupisha ujumbe au hekima fulani. Ina maana kwamba matatizo ya...
  10. Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

    Aisee Mambo yanayoendelea Dodoma after marathon ni balaa. Ni kama watu wenye ndoa wametoka kifungoni they want to experience everything. Watu wenye Pete ndio wanaongoza kuingia double kwenye rooms za hoteli. Magari parking yanatingishika balaaa hahaha. Ni balaaa.
  11. R

    Mwabukusi: Mkataba haufai hata kuwa 'toilet paper'

    Mwabukusi amesema huu mkataba haukuwa wa ghalfa, walikuwa nao wameuficha, na walivyoupeleka bungeni waliulizwa dharura imetoka wapi wakati wamekaa nao kwa miezi tisa na kusema kwamba yeye alitumia dakika tano tu kuutazama mkataba huo na kusema haufai hata kuwa toilet paper. Akisema kuwa haamini...
  12. K

    Naulizia ubora wa printers epson 3010 na 3050 kwenye matumizi ya wino na uimara wake pamoja na bei

    ubora wa printer Epson 3010 na 3050 kwenye matumizi ya wino uimara na being IPI ni nzuri zaidi
  13. Karibu kinaumana huku. Jirani kamdanganya mke wake kuwa anafanya kazi TPA kumbe jamaa hana kazi

    Nyie kuna watu waongo aisee. Binti mrembo kajua kaolewa na mwasibu wa TPA kumbe jamaa ni day worker tu huko TPA. Ni kuli ambaye zikipatikana kazi makuli wenzake wanamshitua. Kuna wakati kazi za ukuli zikichanganya jamaa home haonekani kabisa. Sasa hivi zimekata. Binti mjamzito pesa imekwisha...
  14. M

    Anaomba ushauri: Akubali kuwa mke wa pili au asubiri atapata mume wake?

    Nina rafiki yangu kwasasa ametimiza miaka 25 lakini wadogo zake wameolewa ambao ni watoto wa mjomba ake sasa yeye kwa sasa anafanya kazi hizi za kujitolea katika shirika X kwahiyo kuna muda anakua anatamani kuwa na mume au mchumba ambaye ana nia ya kumuoa sasa the bad thing ni kwamba hana...
  15. Botswana: Luteni wa Jeshi aua Mkewe na Mchepuko wake

    Umoufia Kwenu wana JF, Ofisa wa jeshi Mogomo Sepopa(35) kutoka Botswana ameua mkewe Bogolo Sepopa Jaone(34) na mchepuko wake Same Moapare kwa pamoja na kisha kuwashikilia mateka watu wawili. Mtuhumiwa alijisalimisha mwenyewe polisi na jana amesomewa mashtaka mawili ya mauaji yanayomkabili. He...
  16. Mzungu akikupa cha bure kwa mkono wa kulia piga jicho mkono wake wa kushoto

    Tukumbushane kila siku mara kwa mara 24/7 kuwa wazungu hawana kitu chochote cha bure kwetu hata kimoja, kama ukiona wanakupa cha bure jiulize tena na tena na tena swali la kwanini wamenipa, kwanini sisi, wanataka nini kwako, wanataka nini kwetu kwaajili gani. Kama ukiona deal lao ni zuri sana...
  17. R

    Pamoja na NAPE kukiri kuwa Lissu ni mjomba wake; hakuwahi kulaani mjomba kupigwa risasi (tukumbuke mjomba ni mama)

    Wanasiasa wa Tanzania wana roho ngumu sana. Wapo tayari kulinda madaraka lakini siyo kulinda ndugu zao. Mimi sikujua kama Nape ni mjomba wa Tundu Lisu; kama Nape na Lisu ni ndugu basi siasa imefika pabaya. Kwamba mjomba wako anapigwa risasi unashangilia? Kwamba Mama Samia aliweza kuwa na utu...
  18. Yanga yamtambulisha winga wake wa kushoto Skudu kutoka Marumo Gallants

    Hatimaye Club ya Yanga imefanikisha kunasa saini ya mchezaji kinda kutoka Afrika Kusini anayeitwa Mahlatsi Makudubela (33) almaarufu kama Skudu. Mchezaji huyo kinda (33) alikuwa anakipiga kwenye timu ya Marumo Gallants ya Afrika kusini iliyofika nusu fainali kombe la shirikisho Africa. Kwa...
  19. R

    Kama Kesi ya MADELEKA itaanza upya; mtuhumiwa wa pili ambaye ni mke wake kubaki na hadhi ya kukiri kosa haitapelekea MADELEKA kupatikana na hatia?

    Hukumu ya Mahakama iliyotolewa dhidi ya MADELEKA imemwacha pembeni mke wa mtuhumiwa ambaye walituhumiwa kutenda makosa wakiwa pamoja; kwa tafsiri nyingine ni kwamba mke amebaki kukubali plea bargaining lakini mme amekataa utaratibu wa plea bargaining; Kwa kuwa mke hadi sasa kwa hukumu au...
  20. R

    Maridhiano ya serikali na CHADEMA mustakabali wake ukoje kwa hali ya sasa ya utendaji wa polisi?

    Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli. Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…