wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa wapenda ubunifu: Nitajie combination ya malighafi nikuletee ubunifu wake

    Mfano Mwanzi na makombe ya baharini Katani na chupa Mawe na miti Vifuniko na waya nknk
  2. Iran: Haina nia ya kujadili mpango wake wa nyuklia

    Iran imekanusha kurejea kwenye meza ya mazungumzo na Marekani kuhusu mpango wake wa nyuklia, baada ya kumalizika vita vya siku 12 kati yake na Israel na kuishutumu Marekani kuchochoea vita hivyo kwa kuishambulia. Mzozo ulioibuka kati ya Israel na Iran, ulivuruga ratiba ya mazungumzo hayo kati ya...
  3. Trump kuipa Iran dola bilioni 30 iachane na mpango wake wa nyuklia

    🚨 BREAKING NEWS 🚨 Rais wa Marekani, Donald Trump, anadaiwa kufikiria kutoa Dola Bilioni $30 (shilingi trilioni 78 za Tanzania) kwa Iran ili iachane na mpango wake wa nyuklia. Je, kiasi hiki cha pesa kinaweza kuifanya Iran kusalimu amri au ni mbinu nyingine ya kisiasa ya Trump kutafuta...
  4. W

    Mama yake na dada zake wanashirikiana amwache mke wake hadi kwenda kwa waganga kumroga, Hivi wanawake wapo timamu kweli ?

    Kuna mdau ni rafiki wa muda mrefu tangu tukiwa shule ya msingi. elimu ipo, roho safi na kwa bahati nzuri alipata connection kuajiriwa moja ya shirika kubwa, so yupo vizuri financially. Sasa tangu aoe hali imekuwa tete, nasema ni tete kwasababu sio kawaida mwanaume mwenzako kuja kukuomba...
  5. M

    FAFLU AMEIFANYA SIMBA ICHEZE OVYO SANA KWA MFUMO WAKE, PIRA BIRIANI HAKUNA TENA.

    Mimi nikiwa shabiki wa simba kikweli siridhiki na mbinu za FADLU, SIMBA imekuwa timu ambayo haichezi kama timu ambayo tumeizoea na tunafurahia mpira. Watu wanampa sana sifa huyu kocha lakini uwezo wake umeishia hapa hawezi tena kuibadili timu hii naomba atafutwe kocha mwenye uwezo wa mbinu...
  6. Vodacom kumwaga mabilion kwa wateja wake

    Kampuni ya simu ya mawasiliano ya Vodacom imetangaza kugawa bilion 28 kwa wateja wake nchini. Fedha hizo zitaenda moja kwa moja kwa wateja watumiaji wa mpesa na na huduma nyingine za vodacom. Fedha yako utafanyia nini mdau utakapopokea Gawio
  7. M

    UKILAZIMISHA AKUCHAGUE ANAWEZA FANYA HIVYO ILA BAADAYE ATAKUGEUZA MTUMWA WAKE

    Umewahi kulazimisha kupendwa? Matokeo yake yalikuwaje? Yawezekana ulilazimisha na kweli utafanikiwa akakubali kuwa na wewe ila ndani ya huyo mtu kuna mtu mwingine anaishi na sio wewe. Kuna uwezekano akakufanya mtumwa kwa sababu anajua huna kiasi kwake hivyo anatumia udhaifu huo kukuendesha ...
  8. Ni katika maeneo gani watanzania tuna deni na Mama - Miradi aliyoacha mtangulizi wake imeendelea vizuri!

    Salaam team! Nimezunguka sehemu kubwa ya nchi yetu baada ya kifo cha hayati John Pombe Joseph Magufuli. Kwa ujumla nimekuta, nimeona Miradi mingi imetekelezwa, au inaendelea kutekelezwa. Mitano mingine inamfaa.
  9. Muhamad alioa mke wa aliyekuwa mtoto wake baada ya kuwafarakanisha na mumewe

    Zayd bin Harithah ni nani? Alikuwa mtumwa aliyepewa Mtume Muhammad, ambaye alikombolewa na kupendwa kama mwana. Mtume Muhammad alimchukua kama mwana wa kufikia (adopted son) na watu walimuita "Zayd bin Muhammad" kwa muda. Lakini baadaye Mtume alikataza kuita watoto wa kufikia kwa majina ya...
  10. Je, Kikwete alikuwa dikteta? Kwanini umafia wake unafichwa?

    Kifo Cha Chacha wangwe Kifo Cha utata Cha Amina chifupa Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank! Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari. Kupigwa Kofi kwa Jaji...
  11. Ijuwe B52 Stratoftress: historia na Uwezo wake

    B-52 Stratofortress ni ndege kubwa za kijeshi za Marekani, zilizotengenezwa na kampuni ya Boeing. Hizi ndege zenye nguvu zina historia ndefu na zinajulikana kwa uwezo wao wa kubeba silaha kubwa na nzito. Historia yake: Ilianza kutengezwa mwaka 1952, na kuanza kutumia rasmi mwaka wa 1955...
  12. Huenda katibu mkuu wa TEC asirejee tena kwenye wadhifa wake

    Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza. Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana...
  13. Alichokifanya US Jana imeonyesha Israel ni Taifa Dhaifu na halina uwezo wa kuulinda uwepo wake

    Mwanzoni nilidhani ni uongo, nimeshangaa kumbe kweli Israel ilikuwa haina uwezo wa kulipa mitambo ya Nyuklia Fordow. Licha ya kumiliki Bunker Boosters lakini vyote vinauwezo wa kukwangua tu maandaki. Hili tukio maana yake ni nini? Israel haina uwezo wa kujilinda na hailindwi na Mungu bali US...
  14. Mwisho wake ni hatari Sana

    Habari wana JF. Kumekuwa na Threads nyingi Sana zinazo husu masuala ya vita Kama Ukraine na Russia, Gaza na Israel n.k. hivi Sasa Kuna vita vinaendelea kati ya Israel na Iran nitaelezea kidogo nini naona katika vita hii. Kwanza kabisa naomba nielezee jambo moja ili iwe rahisi kunielewa ninapo...
  15. L

    Hamad Masauni atakuwa Rais wa Zanzibar baada ya Dkt Husseni Mwinyi kumaliza muda wake 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeota Na kuonyeshwa Ndotoni ya Kuwa Mheshimiwa Hamad Masauni ndiye atakaye Pokea Kijiti cha Urais Kutoka kwa Mheshimiwa Dkt Husseni Mwinyi atakapokuwa anamaliza muda wake Mwaka 2030. Ambapo nililetewa kikaratasi na kufunguliwa kisha kuonekana Jina la Hamad Masauni...
  16. O

    Ay aliimba yule anampenda jinsi alivyo simple lakini akasema anaweza asimpate kwa umasikini wake

    Ni NYIMBO ya muda mrefu sana nafikiri wakati huo watoto wa 2000 WALIKUWA bado hawaja vunja ungo, so alikuwa anaongelea watu wa miaka ya 90's na 80's. Kumbe bhana UMASIKINI ni Moja ya factor ambayo inaweza kukufanya usipate mke au mpenzi. Hivyo basi huu wimbo inaniambia kwamba endeleeni kutafuta...
  17. Wakati wa Ujenzi wake lilipewa jina lake, Leo Uzinduzi wake lisipopewa jina lake ujue ni hatua zakumdogosha

    Leo tarehe 19/6/2025 inafanyika uzinduzi mkubwa Wa Kihistoria,Hapo awali ilionekana kama jambo haliwezekani lakini kwa juhudi zake lilianza na hatimae leo linazinduliwa, wakati wa mchakato wa ujenzi wake lilijulikana kwa jina lake, lakini Wiki chache kabla ya uzinduzi wake Tumesikia halitajwi...
  18. B

    Baadhi ya wanawake wa maofisini ni mtihani

    Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja. Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping...
  19. RITA Tower Linapendezesha Jiji, lakini wapangaji wake ni kajambanani tu

    Moja ya majengo mazuri na marefu yanayopendezesha jiji la Dar es Salaam. Lilikamilika mwishoni mwa awamu ya JK. Nilipita mara mbili kwenye ofisi moja nilisikitika kuona jumba hilo la gharama lisivyokuwa na hadhi. Wamejaa wapangazi wa kupimiwa viofisi vidogo vidogo vya Clearing & Forwarding...
  20. Tusijifanye hatujui kuwa hata Tanzania sasa imejumuishwa katika nchi zaidi ya 30 ambazo Wananchi wake hawatakiwi kwenda Marekani

    Nendeni huko katika Mtandao wa TOUR AND TRAVEL WORLD mkajisomee wenyewe. Halafu inasemekana kutokana na yanayoendelea baina aliyeko ndani na mshika mpini ni kwamba Rais Trump anaweza kumzuia hata mshika mpini nae asisafiri kwenda Marekani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…