the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
Mimi sio nabii ila kama Ronaldo hajamsainisha babe mama wake Georgina mkataba wa prenup kulinda assets zake kabla ya kufunga ndoa na mrembo huyo.
Yatamkuta yale ya Birdman kwa mshangazi Toni Braxton au ya mastaa wengine wa kiume.
Birdman alijaa kwenye mfumo. Baada ya kuwa kwenye mahusiano na...
Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu enzi hizo kabla ya kuokoka.
Kama ilo halitoshi, unashangazwa zaidi mtu aliteuliwa na Rais akawa...
Katika dunia ya sasa ambapo teknolojia imeshika hatamu, heshima na unyenyekevu vimebaki kuwa silaha za thamani kubwa kuliko hata mali au umaarufu.
Watu duniani wapo na file lako ukijichanganya kinakuramba mapema sana.
Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa.
Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 .
Kuna karama
Kuna huduma na
Kuna kipawa.
Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza lengo la mtu kuwa duniani.
Lengo la binadamu kuwepo duniani si kula, si kuabudu bali kutimiza wito...
NB: lengo la ujumbe ni kutoa elimu kwa wasomaji sio kutoa tiba kwa muathirika wa dawa za kulevya.
Kwa muathirika wa dawa za kulevya anatakiwa kufika katika hospitali au vituo vya afya vyenye kutoa huduma hiyo.
Drug Abuse ni kutumia dawa za kulevya au kemikali kwa njia isiyo sahihi, mara nyingi...
Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina usawa.
Anonymous
Thread
binafsi
mapato
mishahara
mwaka
serikali
shule
shule binafsi
waajiriwa
wafanyakazi
wake
Sisi madakitari na manesi mnatupa changamoto sana pale mnapowaleta wake zenu kujifungua.
Mara nyingi wajawazito wengi wanakuja na mavuzi mengi sehemu zao za Siri. Unakuta wengine amenyoa lakin ameacha acha mavuzi yaani kakondo ya papuchi.sehemu nyingine kipara na sehemu nyingine inakuwa na...
Salaam Wanajukwaa,
Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya Tanzania 'Wonderkid' Walid/Clement Mzize hasa juu ya Thamani yake ambapo kwa mujibu wa Maelezo ya Klabu yake na mashabiki wa Young African SC ni kuwa Thamani ya Mzize ni zaidi ya US dollar Milioni Moja ($1,000,000).
Hapo hapo kutokana na...
Hii siyo ya kusimuliwa na watu niliona kwa macho yangu.
Katika mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'hwale kata ya kafita na kijiji cha Lushimba.
Msanii wa nyimbo za Asili Bhudagala alikuwa akitoa show katika kijiji hicho.
Basi wingu zito lilitanda likiashiria mvua kubwa sana itashuka muda sio...
Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini .
Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia...
Hamjambo!
Leo sifa Kemkem zimemiminika kwa Hayati Jon Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge letu. Moja ya sifa alizopewa ni uzalendo uliotukuka. Nakumbuka kauli yake ya Taifa kupigwa mnada kutokana na kile alichokiita mikopo Holela inayokopwa na serikali ya Mama. kauli ambayo ilibadilisha kila kitu...
Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali —dada yangu jitunze, jali afya ya chombo chako, miiko ya wanaume imekuwa legelege kwa sababu ya masufuria yenu kuwa na ukoko wa shombo
1petr 2.3
Wanaume muishi na wake zenu kwa akili na muwapeeee heshima
Ukisoma utaonaa kinachowapa heshima wanawake n akiliiii
kama utapata mwanamke asie na akili ndugu umeumiaaa
jamboo muhimu unapoelekea kwenye ndoawambiee MUNGU AKUPE Mwsnamke MWENYE AKILI
WANAUME MWANAMKE AJAWAHI KUISHI...
Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
Nimeona wananchi wengi wakishangilia kifo Cha Ayubu (Job) Kama njia ya kumkera na kumuudhi Belshaza (Mtawala).
Niwakumbushe kuwa hata huyo Ayubu alijiuzuru kwenye nafasi yake baada ya kukosana na Belshaza. Kwahiyo tangu hapo Ayubu na Belshaza hawakupikika chungu kimoja.
Kwahiyo kushangilia...
Huyu mmakonde alisema tarehe 8 mwezi huu anaachia album kama kawaida yake huwa anaachia usiku wa kuamkia ijumaa Sasa mpaka Sasa hivi yupo kimya hata majina ya nyimbo hajapost je amewafanya mashabiki wake ni wajinga?
Nitarudi nasikia uganda mke wake kamgonga na gari nitakuja asubuhi kuleta taarifa kamli kutoka uganda nasikia anaweza katwa miguu mke wake ni mrwanda
Haya 15:08 nimerudi tena kumalizia ufyete kutoka uganda
Basi bwana, vyanzo vya kuaminika vya mitaa ya kampala vimepiga kelele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.