wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi SADC imewahi kufanikisha nini kwa watu wake, kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa mtu wa kawaida

    Rais Samia alihudhuria mkutano wa SADC juzi huko Zimbabwe??? Najiuliza, Hivi SADC has it ever accomplished anything material beneficial to its suffering populations? Mwenye kufahamu anipe mifano ya mafanikio ambayo yametokana na kusanyiko hili kwa masikini wa nchi zao. Au ni mkusanyiko wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hivi SADC imewahi kufanikisha nini kwa watu wake, kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa mtu wa kawaida

    Rais Samia alihudhuria mkutano wa SADC juzi huko Zimbabwe??? Najiuliza, Hivi SADC has it ever accomplished anything material beneficial to its suffering populations? Mwenye kufahamu anipe mifano ya mafanikio ambayo yametokana na kusanyiko hili kwa masikini wa nchi zao. Au ni mkusanyiko wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya amkana mshirika wake katika kesi

    Arusha . Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro Lengai o Sabaya amemkana mshirika wake katika kesi hiyo ya unyang'anyi wa matumizi, Sylvester Nyegu, kuwa hakuwa msaidizi wake. Sabaya na wawili wawili, Nyegu ambaye anadaiwa na upande wa mashtaka kuwa msaidizi wake binafsi na...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia atuondolee Waziri Gwajima na Msaidizi wake Dkt. Mollel, wana utoto mwingi na wanatusumbua hivi sasa

    Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile? Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka. Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya...
  5. JamiiForums Tanzania Wape neno dereva na utingo wake

    Hawa jamaa siujui ni ujinga, ujasiri au kutegemea bahati kwa kuweka maisha yao rehani. Wape neno!
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anavyoongea na waumini wake ni kama muhuni wa kijiweni anayepiga stori za kijinga

    Nashangaa sana kuona wale wanaoitwa waumini wa Gwajima wakijiinua inua kutoka vitini huku wanaitika Haleluya pale mchungaji wao bwana Gwajima anapowapigisha stori za kijinga na kuwapotezea muda wao. Gwajima anaongea mambo ya uongo, yasiyo na ushahidi na mbaya zaidi anayapeleka madhabahuni na...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiachana na dunia kulizunguka jua na kujizungusha kwenye muhimili wake nadhani kuna mzunguko mwingine ambao wanasayansi hawajaugundua

    Dar es salaam haijawahi kuwa na majira ya baridi kwa muda mrefu hivi. Biharamulo nimeona clip kuna hadi barafu inadondoka kitu ambacho hakijawahi kushuhudiwa. Ulaya wanateseka na joto. Nadhani haya hayatokei kwa bahati mbaya bali kuna universal system ambayo wanasayansi hawajaigundua kama...
  8. JamiiForums Tanzania Madonna mwenye umri wa miaka 63 akiwa na mpenzi wake mwenye umri wa miaka 27

    Tafuteni pesa, uzee mwisho Chalinze
  9. JamiiForums Tanzania Kamanda mwandamizi wa Boko Haram aitwae Amir Adamu Rugu Rugu ajisalimisha kwa majeshi ya Nigeria akiwa na wake zake watatu na watoto

    Mmoja wa makamanda wa juu kabisa wa kikundi cha ugaidi cha Boko Haram aitwae Amir Adamu Rugu Rugu amejisalimisha siku ya Alhamisi jioni kwa majeshi ya Nigeria. Rugu Rugu alijisalimisha akiwa na wake zake watatu na watoto katika mji wa Gwoza ndani ya jimbo la Bono ambako ndipo vikosi vya jeshi...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha leo: Kipanya anamuuliza msure wake maana ya nchi kuwa fragmented.

  11. JamiiForums Tanzania DC Handeni aonya wanaonyonya maziwa ya wake zao

    Handeni. Wanawake wanaonyonyesha wilayani Handeni mkoani Tanga, wamemuomba Mkuu wa wilaya hiyo, Siriel Mchembe kuwasaidia kupaza sauti na kukemea wanaume wao kuacha tabia ya kuwanyonya maziwa kwasababu wanawafanya watoto wasipate maziwa ya kutosha. Ombi hilo wamelitoa leo Jumanne Agosti 10...
  12. JamiiForums Tanzania Tutaipata Katiba Mpya, kuuzima mjadala wake ni ngumu

    Sasa ni wazi kwamba pamoja na sarakasi zote za kukamata wapinzani wanaoendekeza mijadala juu ya katiba mpya, lengo liko wazi ni kuzima Mjadala ili kuepusha kuiamsha jamii ili isipige kelele juu ya mchakato wake. Sasa ni wazi kua hii siyo CCM tu bado ni mfumo mzima hautaki katiba mpya huenda wana...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kuifahamu Tanzania na watu wake kwa kutembelea mikoani

    Mungu jalia katika kipindi cha uhai wangu nimepanga kutumia fursa ya kutembelea mikoa yote ya nchi ya Tanzania ili kuweza kuifahamu Tanzania vizurizaidi pamoja na watu wake wakazi wa mikoa hiyo. Dhamira yangu ni kwamba kila mwaka wakati wa likizo ya mwaka kazini, basi nitumie siku chache za...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya Mzee Abdulhaman Kinana kwenye hafla ya kumkabidhi ofisi ya Ukatibu Mkuu mrithi wake Dkt Bashiru Ally Kakurwa

    Ilikuwa Juni 20,2018 kwenye hafla iliyoandaliwa na Watunga sheria kumuaga & kumkaribisha ( Abdulhaman Kinana & Dkt Bashiru Ally Kakurwa)
  15. JamiiForums Tanzania Margot Robbie(Harley quinn) nakukubali sana uigizaji wake

    Huyu sister nilimkubali sana alivyoigiza kama Harley Quinn kwenye Birds of prey. Alivaa uhusika (kujitia hamnazo) vilivyo. Juzi kati nimemcheki tena kwenye hiyo role kwenye The Suicide squad, performance ya uhakika. Kwa kweli wenzetu wanajua kusaka talents. Unaionaje kazi ya huyu sister?
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilishasema acheni kuishi na waume wa watu ila hamsikii

    Leo nimeona hii post mahali sasa tuchakachueni kwa undani. Kuna mwanadada ameishi na mume wamtu miaka 10 na wanawatoto wazuri tu wawili ila huyo dada alikuwa anamnyanyasa bi mkubwa na hadi kajengewa nyumba na huyo baba. Ila baada ya miaka kumi na moja huyo baba akaanza kumpiga na kumtafuta...
  17. JamiiForums Tanzania Hatimaye Zitto Kabwe kuvunja ukimya, kuzungumza na Taifa kesho Jumapili

    Kesho Agosti 8, 2021 Kiongozi wa Chama, Ndugu @zittokabwe atazungumza na Taifa kuanzia Saa 5:00—5:30 Asubuhi.
  18. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo, SIMBA iachane na msemo wake "THIS IS SIMBA" ulioasisiwa na Manara

    THIS IS Simba, umekuwa msemo kielelezo cha kuitambulisha club yetu pendwa ya Simba, ambayo ni club ya wenye nchi matajiri akiwemo @mo Dewji, Bujibuji na wengine baadhi tunaojificha kwenye kijicho cha Mo na hisa zake (all in all tunajuana as secret cindicate) Bila kuachana na mbinu, kauli mbiu...
  19. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Usalama vichunguze tuhuma za Uhalifu wa Mo Dewji na Genge lake kudukua mawasiliano ya watu/wafanyakazi wake

    "Mohammed akamuita askari, ambaye sijui ni mlinzi wake Mungu anajua sitaki nimuingize katika mtihani.Akamuambia tuonyeshe Hajji namna gani anahujumu.Yule bwana akatoa simu yake akawa anaonyesha limeandikwa jina langu pale Saa tatu usiku ulisomeka mnara wa posta, saa tano ulisomeka mnara wa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

    Kuna watu wanaishi maisha magumu duniani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…