wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Feitoto? Kuihujumu Yanga wakati huu ni kumhujumu Rais Samia

    Hii ni kwa wajuvi wa mambo na trend readers and observers. Jana tunaona trend ya shutuma na majibu ya shutuma dhidi ya Rais Mwinyi wa Zanzibar, tunatulia. Leo asubuhi tunaona trend ya shutuma dhidi ya Rais wa Yanga kutoka kwa mzanzibari feitoto ikiwa ni tuhuma nyingine masaa machache dhidi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana

    Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana ili kukwepa makosa ya kisheria. Ila je kilichoongelewa kina ukweli au la. Je feitoto alidanganya. Haya yanaweza thibitishwa kisheria ili tujue ukweli. 1. Fedha ya usajili m 100 Kupewa kwa mafungu. Account yake itasema. 2. Sms za...
  3. JamiiForums Tanzania Chama tawala kinaagiza wakati CHADEMA Mbowe anasema anachukua kero na atampelekea SAMIA

    Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA wanasema wanachukua kero ili wazipeleke kwa rais wakati Katibu mkuu wa wa CCM anaagiza na...
  4. JamiiForums Tanzania Ester Bulaya: Mkandarasi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere anataka kushtaki alipwe nyongeza wakati mradi haujakamilika

    Mbunge Ester Bulaya amesema “Mkataba wa ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaeleza mkandarasi akichelewa kukamilisha mradi anatakiwa kutozwa tozo, mradi ulitakiw akukamilika 2022 na taarifa zilizopi hautakamilika mwaka huu. Amesema hayo Bungeni na kuhoji kwanini TANESCO hawajamtoza...
  5. JamiiForums Tanzania Bwawa la Kidunda Kuleta Ahueni Wakati wa Kiangazi Kwa Wakazi wa Dar na Pwani

    SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi Bwawa la Kidunda litakalojengwa mkoani Morogoro na kugharimu sh bilioni 335. Bwawa hilo litakua na uwezo wa kuhifadhi maji kwa miaka mitatu mfululizo. Akiwasilisha taarifa...
  6. JamiiForums Tanzania Leta ushuhuda wako wa watoto walioonekana wa maana kwa wazazi wako kuliko wewe wakati huo, lakini sasa...

    Kusema ukweli iko hivi kwenye familia yetu tuko watoto 27 ukitoa walio tangulia, wakati niko mdogo baba yangu alinipenda sana ila cha ajabu ni mm pekee nilikuwa naongoza kwa kupigwa hata kwa makosa yasio stahili kupigwa. Kuanzia chekechea mpaka la darasa la 3 nilikuwa nashika nafasi ya 2 mpaka...
  7. JamiiForums Tanzania India wagida bwawa lote kupata simu iliyotumbukia wakati wa Selfie

    Kiswahili sanifu kugida ni kuruhusu maji kutoka ndani ya chombo kidogo kidogo. Hivyo ndivyo ilivyotokea huko India baada ya bwawa moja kukaushwa ili kuipata simu iliyotumbukia humo wakati wa kupiga selfie. Simu hiyo ilikuwa ni ya aina ya Samsung yenye thamani ya dola 1200 mali ya bwana Rajesh...
  8. JamiiForums Tanzania Kuendelea kuimba na kusifu maridhiano wakati viti maalumu waliojiweka wakiendelea kuwa bungeni. Anayewaelewa CHADEMA aje apa afafanue

    Binafsi sielewi kwanini CHADEMA wanaamini katika haya maridhiano wakati swala dogo kabisa Kama la viti maalumu wanadai kuwafukuza wakiwa bungeni. Kesi mahakamani haiishi na wanaendelea kuwa huru na kuaminiana na CCM. Binafsi siiamini viongozi hawana uelewa Mpana. Kuna Jambo nyuma sisi...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya, Ruto anashutumu Wakala wa Kodi kwa ufisadi wakati uchumi ukisuasua

    Rais wa Kenya, William Ruto amedai Watumishi wanaotumika kama Wakala wa Ukusanyaji Kodi kuwa wanajihusisha na rushwa na kushirikiana na wakwepa kodi hali inayochangia uchumi wa taifa hilo kuyumba. Amesema "Ulaghai, kuchukua hongo na ufisadi wa jumla unaendelea kutawala shughuli za KRA (Mamlaka...
  10. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wakati umefika tuwe na somo au mada kuhusu mitandao ya kijamii kuanzia shule za msingi mpaka sekondali juu ya uwajibikaji katika mitandao hii

    Kuwa wawajibikaji katika mitandao ya kijamii kunahusisha kuchukua hatua za kuwajibika na kuheshimu wengine wakati tunatumia jukwaa hilo. Hapa kuna miongozo ya jumla ambayo inaweza kusaidia kuwa na uwajibikaji katika mitandao ya kijamii: Kuwa na ufahamu: Jifunze na elewa sheria na sera za...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yatakiwa kukamilisha Ujenzi wa Miradi kwa Wakati

    SERIKALI YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA MIRADI KWA WAKATI Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Jackline Msongozi ameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa barabara kwa wakati bila kusubiri misimu kwa kujenga vipande nusu nusu. Ameyasema hayo wakati akichangia hotuba ya wizara ya ujenzi na uchukuzi...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Alikiba unakera sana wakati mwingine!

    Umetoa bonge la wimbo, 'Mahaba'. Ni booonge la wimbo, HAKUNA UBISHI. Views zinapanda tu bila kushuka mwezi wa tatu huu sasa. Ingawa shooting si bora (kwa mtazamo wangu lakini watu wameipenda hivyo hivyo). Badala ya kutulia kidogo kwa muda ili utuletee kitu zaidi ya kile au ikishindikana basi...
  13. JamiiForums Tanzania Unaweza kujisajili kufanya mtihani wa kidato cha sita huku unatafuta credit moja ya O-level?

    Wadau naomba kuuliza. Unaweza kujisajili PC ya five na six kwa mwaka mmoja na wakati huo huo umejisajili kutafuta credit ya physics? Olevel?
  14. JamiiForums Tanzania Simkubali kabisa Magufuli, lakini apewe heshima yake wakati maono yake yakitekelezwa

    Kwanza kabisa napenda kuweka kumbukumbu sawa, mimi ni miongoni mwa member wa JF ambaye sikuwahi kumkubali Magufuli na mara zote (mpaka sasa hivi) nimepingana na siasa chafu na siasa za kikatili zilizokuwa zikifanywa na Magufuli na utawala wake, yaani mimi ni against Magufuli. Kwangu mimi rais...
  15. JamiiForums Tanzania Wakati Mbowe anazunguka kusifia alivyolainishiwa maisha, Lissu anaongelea ugumu wa Maisha wa Masikini

    Ni wazi Mbowe ameishiwa na hana cha kuongea. Anazungumzia sana jinsi ambavyo asubuhi alikuwa mfungwa jioni akawa ana kula kuku Ikulu. Na anashukuru sana. Yaani amesahau hata ni nani alimkamata na nani alimwachilia. Akiwa anaongea unamwona tu kila dakika analamba asali anakuja tena kuongea...
  16. JamiiForums Tanzania Nyonga ya Mama kukosa uwiano na kichwa cha mtoto wakati wa kujifungua

    Kutokuwa na uwiano wa kichwa cha mtoto na nyonga ya mama wakati wa kujifungua ''Cephalopelvic disproportion (CPD)'' hutokea wakati kuna kutolingana kati ya ukubwa wa kichwa cha mtoto na saizi ya nyonga ya mama kupitia njia ya uzazi kutokana na fupanyonga iliyobana au yenye umbo lisilo la...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini kumchampia mtu inaenda na kuvimba sana na tantalila za shobo nyingi sana?

    Hello, niende kwenye mada, why michepuko ama wezi wa penzi wana vimba sana wakati mwenye mume au mke, au mwenye mpenzi ashagusa sana shoo na toka kitambo. Sasa unakuta sisi na wao visokolojo tunavimba sana na tantalila nyingi sana kwenda kwa wenyewe, hivi hapo uvimbaji unajengwa na kipi cha...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Wasabato msiwe kama Wayahudi wanaomsubiri Kristo wakati alishakuja miaka zaidi ya 2000 iliyopita!

    Tunaishi kipindi baada ya unabii. Mambo yaliyotabiriwa kumhusu Yesu Kristo yalishatokea. Msione Kitabu cha Ufunuo kimewekwa cha mwisho katika mpangilio wa vitabu vya Biblia mnafikiri hayo ni mambo ya baadaye. Ni kama unabii wa Isaya au manabii wengine ulishatokea. Maono ya Yohana juu ya dunia...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni sababu gani ya Kisayansi hufanya maua ya alizeti kugeukia mashariki wakati wa kuchanua?

    Nimekuwa safarini tangu mwezi March katika mikoa mbalimbali, nilichokiona humo njiani ni alizeti kuchanua ziki face upande wa mashariki, nimeiona hii Singida, Dodoma, Iringa, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro. NB: Naomba michango yenye kuelimisha tafadhali.
  20. JamiiForums Tanzania Njia ya uzazi kutokufunguka wakati wa kujifungua

    Kufitika au kupungua kwa mlango wa uzazi (Cervical effacement) huwenda sambamba na kupanuka au kufunguka kwa njia ya uzazi (Cervical dilation): Kupanuka kwa mlango wa uzazi ni wakati njia inapofunguka inapimwa kwa sentimita. Ikiwa njia imefunguka kabisa kikamilifu inatakiwa kupanuka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…