Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
Kuna namna afya ya akili imekuwa corrupted.
Na ukiona afya akili imekuwa corrupted kwa mkupuo mara nyinngi ni kutokana na quality mbovu ya maisha na matarajio yasio na tija.
Vijana wamechoka kula ugali mkubwa na samaki wa picha.
Kama uongo kuna mtu ataandika tu comment ya matusi out of...
Report ya uchunguzi ya NTV Kenya ya Machi 2026, “Devolved Feast,” imeibua mjadala mkali baada ya kufichua matumizi ya kifahari katika baadhi ya serikali za kaunti.
Uchunguzi unaonyesha mabilioni yanatumika kwa vitu kama “pencils na papers” lakini kwa uhalisia hizi ni inflated office expenses na...
Switzerland sustainability goals in usage of Rail transport more than road transport
Switzerland has adopted an ambitious long-term climate strategy to achieve net-zero greenhouse gas emissions by 2050, with a core focus on shifting traffic from road to rail, particularly for freight and...
Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga!
Samia yupo na tume ya mchongo!. Jana Daongote alikuwa anaongelea uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga Tanzania mwenzetu Mama yuko busy kujarabu kuficha mauaji na kutafuta kiki za machawa. Hii inaonyesha Mama...
Ndugu wana JF,
Kuna jambo linazidi kuwa kero kwa wasafiri wengi wa mabasi ya mikoani. Ni hii tabia ya makampuni ya bus kusimamisha safari kwenye vituo maalum vya chakula ambavyo bei zake ziko juu kupita kiasi. Abiria tunashushwa hapo kana kwamba hatuna chaguo lingine, wakati ukweli ni kwamba...
Anonymous (c258)
Thread
abiria
bei
chakula
kero
kubwa
kulazimishwa
kushuka
safari
vituo
wakati
Kila asubuhi kabla ya jua kuchomoza, Herry Msese huwa anaendesha daladala yake na kupita mitaa yenye shughuli nyingi ya Dar es Salaam, Tanzania, akiwasafirisha abiria wengi katika barabara yenye msongamano mkubwa.
Hata hivyo, katika wiki za hivi karibuni, mafuta yamekuwa yakimtia wasiwasi...
Mji mkuu wa Sudan, Khartoum, unakabiliwa na mgogoro mkubwa wa mafuta. Mamia ya magari yamepanga foleni katika vituo vichache vya mafuta vinavyofanya kazi, huku madereva wakisubiri chini ya jua kali, na wakati mwingine wakisubiri kutwa nzima kununua dizeli au petrol.
Ridhwan Ahmed Al-Nayer...
Serikali imewataka wamiliki wote wa ardhi nchini wakiwemo watu binafsi na taasisi zinazomiliki ardhi kuhakikisha zinalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati, ili kuepusha usumbufu utakaotokana na hatua zitakazochukuliwa kwa wale watakaoshindwa kutekeleza wajibu huo.
Akizungumza jijini Dodoma...
Wanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Miaka 15-17 walikuwa 15.
Miaka 7-10 walikuwa 4.
Chini ya miaka 5 walikuwa 2.
Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.
Wengi...
Hii ni ajabu. Kenya wametoa wapi nyambizi?
Kama wana Nyambizi, basi Tanzania tujitafakari.. Samia acha kupamba na CHADEMA. kama una uwezo ondoa njaa Nchini Tanzania
wa Kata ya Milola, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Aloyce Andrew, kwa kushirikiana na wananchi wa kata hiyo, wamefanikiwa kumuua nyoka aliyekuwa akifugwa ambaye alisababisha taharuki kwa wakazi wa eneo la Mavimba, njia panda ya mnadani na wananchi wengine...
Salaam jamiiforum.
Ni April 19 leo mwaka 2026,
Siku zinakimbia, yaani bado siku kadhaa tu iadhimishwe siku ya wafanyakazi,bado wiki chache kufikisha nusu mwaka.
Ama kweli siku hazigandi.
Cha ajabu maisha ni kama yamesimama ,mishe hazisogei,mipango haitimii, anyway kila kitu kina wakati wake...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameweka bayana dhamira ya Serikali ya kuhakikisha miradi ya barabara inayohudumia Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 inakamilika kwa wakati, akisisitiza kuwa maandalizi ya miundombinu ni kipaumbele cha juu katika kuhakikisha Tanzania inakuwa...
My Take
SSH ndio ataandika historia ya kukuza Uchumi kutoka Dola Bilioni 70 na Kufikia Dola Bilioni 💯 Kwa mara ya kwanza katika Historia ya Tanzania.
https://www.threads.com/@africaviewfacts/post/DXPPfhxkaJ2?xmt=AQF0bBngHHIzlkgokmYGVVuwVBsecSwiOLLHMz28k-srvW3l8fXay2lmKA6cb0Hq9vuKSnY&slof=1
Nina wasiwasi na baadhi ya maneno uliyoandika mtandaoni kuhusu kauli ya Lissu baada ya wewe kutoka mahabusu. Msimamo wa Mkti Lissu mara zote kuhusu uhuru wake umekuwa wazi, kwamba kesi inayomkabili ni ya uongo na anapaswa kuachiwa huru bila masharti yoyote.
Hajawahi, wakati wowote, kuweka...
🚗⚡ KWANINI ABIRIA WAKO WAKOSE CHARGE?
Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima!
Jipatie Car Fast Charger inayoweza kucharge hadi simu 6 kwa wakati mmoja 🔥
🔌 Type-C + USB (Fast Charging)
📏 Cable ndefu – inafika hadi siti za nyuma
💡 LED ya kisasa inayovutia
👨👩👧👦 Inafaa kwa dereva...
Je, umewahi kusikia kuhusu kijana aliyekuwa na ndoto ya kutawala dunia na akaifanya iwe kweli
Hii si hadithi ya kubuni, bali ni historia halisi ya Alexander the Great, mfalme kijana aliyetikisa dunia yote kabla hata hajafikisha miaka 33. Kutoka Macedonia hadi Egypt hadi India, alishinda vita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.