Uzuri wa kiazi kitamu kidogo hauhitaji kukikatakata wakati wa kupika kwahiyo hakisumbui na wala hakiumizi kooni
Changamoto ya kiazi kikubwa lazima ukikatekate jambo ambalo linapoteza muda na mara nyingi vinashambuliwa na wadudu na kuoza ukilinganisha na viazi vidogo ..
Faida yake tu ni kwamba...
Basi bhana Mimi ndo mweka alamu lakini na snooze sana, mpaka maana ya alamu inapotea 😁😁😁
Mwendo wa kusnooze hii weekend ni 🔥🔥, Mvua, baridi Kali alamu inasumbua, saa 11 kamili naenda wapi sasa alamu bhana.
😁😁
Katika mijadala mingi kuhusu biashara ya mafuta duniani, mara nyingi watu huamini kuwa mafuta huuzwa kwa kutumia barrel (pipa) kama kipimo kikuu. Ingawa kipimo hicho hutumika kama benchmark ya bei, ukweli wa kitaalamu na kibiashara ni kwamba:
Katika bulk procurement na mikataba mikubwa ya...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa serikali ilipandisha bei ya mafuta ikiwa imetoka kutuambia kuwa kuna mafuta ya kutosha kwa miezi mitatu.
Hiyo ni taarifa ya Muda huuIran’s foreign ministry says the US operation to rescue a downed airman may have been a cover to “steal enriched uranium” from the country.
.
Iran’s foreign ministry spokesman Esmaeil Baqaei said there were “many questions and uncertainties” about the operation.
Wakuu,
Kuna makala nimeisoma leo kwenye gazeti la The New York Times (NYT) imenifanya nitafakari sana kuhusu hatima ya nchi yetu na uwezo wa viongozi wetu kuona mbali (vision). Makala inahusu mtikisiko mkubwa wa mafuta unaoendelea kuikumba China na dunia kwa ujumla kufuatia kushtadi kwa vita...
Ndio mtindo ambao wameuànzisha. Anampima mtu anampa na dawa wakati hana kibali cha kutibu ie ku prescribe dawa.
Ni hatari kwa maisha ya watu?
Upuuzi huu unashika kasi Tanga!
Unaponunua umeme unakatwa Kodi ya Ongezeko la Thamani ambayo ni Asilimia 18 ya pesa uliyotoa, kisha TANESCO wanakukata 1% wanasema ni hela ya EWURA, baada ya hapo . TENA unakatwa 3% eti pesa ya REA.
Je, kwa nini mlaji anaigharimikia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na...
Hii imekua kama utamuduni au ishara ya mtu kuonekana anaishi vizuri lakini ni ndivyo sivyo.
Matajiri wengi na wenye kipato ambacho si Cha magumashi hutumia hela zao kwa vyakula visivyo na faida kwao na kuona vyakula hivi vya asili vimepitwa na wakati
Hii ni Siri lakini ndo ukweli
Nilipata stori ya mjeda anasema hamna kitu Cha hazuni Kwa wanajeshi kama kukuta JINA lako halijapangwa kwenda vitani wakati wa vita.
Sasa hii furaha zaidi Kwa majeshi yenye uwezo kama Marekani mjeda anatamani hata kutoa chochote apangwe vitani.
Sio madili ya...
Waati Serikali ya Tanzania ikitaja vita vinavyoendelea kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran kuwa ndiyo chanzo cha ongezeko la bei za mafuta kuanzia Aprili 1, 2026, utata umegubika suala hilo kutokana na kauli za viongozi wa Serikali waliowahakikishia Watanzania kuwa kuna mafuta ya kutosha...
Kama nchi ilikua na akiba ya kutosha ya mafuta inakua vip bei inapandishwa ghafla ina maana stock iliyokuepo imeisha ? au wameamua kupandisha bei ya mafuta kwa kutazama soko la Dunia wakati nchini tuna reserve ya kutosha kwa bei ya zamani!!
Ikiwa nchi ilikua na akiba ya kutosha tulitegemea bei...
Ripoti ya CAG si habari mpya ni uthibitisho wa uzembe na ufisadi uliokithiri. Fedha za umma zinapotea, wananchi wanabaki na hospitali zisizo na dawa, shule duni, na miradi hewa.
Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu.Huu si wakati wa kusoma ripoti na kusahau.
Hilo linawezekana ingawa kuna gharama ila inawezekana kabisa kwa gari nyingi zilizopo hapa tanzania kubadilishwa mfumo ila lazima fundibawe mjuzi sana wanhizi mambo
Mwaka jana katika viwanja vya Nürburgring Nordschleife, Ujerumani BYD U9X iliweka rekodi ya the fastest car on the planet; 496 km/hr.
Mwaka huu March 28 na 29 hapo mjini Portimão nchini Portugal dunia ilishuhudia mashindano makubwa ya kimataifa ya mbio za pikipiki, World Superbike Championship...
Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Novina Yoel Kuboja (23), ambaye ni mkulima na mkazi wa Buchosa wilayani humo, kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuiba mtoto wa kiume mwenye umri wa miezi mitatu (jina limehifadhiwa kwa sababu za...
Wakuu,
Habari wana JF na ndugu zangu katika imani,
Kuna hili jambo naomba kusaidiwa na kupewa maarifa juu yake maana hunipa utata kuelewa kuhusu sherehe ya Pasaka, Viongozi wa imani hutumia mfumo gani kudhihirisha kwamba siku fulani itakuwa ni Pasaka, maana kuna wakati inakuwa mwezi wa tatu na...
Ninaandika kwa hasira kali sana. Unakuta umeenda zako kwa mganga unakutana na foleni kubwa ya kina dada wameenda kupata dawa za kupata waume wakati ndo haohao enzi wakiwa kwenye ubora walikuwa wakijibu kwa karaha waoaji waliojitokeza. Binafsi ni mhanga wa majibu na matendo ya kishenzi enzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.