wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana. Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wakitekwa au kupotea viongozi wa CCM hawakemei au kulaani kwa wakati?

    Nadhani viongozi wa CCM wanapaswa kubadili msimamo wao. Kila ikitokea taarifa ya kutekwa au kuuwawa kwa asiye mwana CCM wao ukaa kimya. Kwa kuzingatia umuhimu wa haki ya kuishi niwaombe wabadili response strategy zao na wajitokeze mapema kulaani na kukemea. Ukimya wa CCM umepelekea hata vyombo...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanaoendeshwa na wake zao hupenda kujionyesha vijogoo wakati ni tetea?

    Wanangu, huwa sipendi kuchangia wala kujadili mambo ya ngono na mambo binafsi. Ila baada ya kusoma nyuzi nyingi za wanaume wanaobemendwa na wake zao wakijifanya vijogoo, nimeamua lau leo niulize. Kuna nyuzi nyingi za kuwakandia na kuwaonyesha wanawake kama viumbe wa ajabu na dhaifu. Nahisi wengi...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, ni wakati wako sasa wa kuachia ngazi kwa heshima, siasa za kuonewa huruma hazitoifikisha mbele CHADEMA

    MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU. Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama kilichodhaniwa mbadala wa CCM. Siasa za Mbowe za kuonewa huruma kila mara Wananchi tumezichoka na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri:CHADEMA na wanaharakati mbalimbali, wakati umefika Mdude apewe tuzo ya ushujaa katika siasa za mapambano na harakati za kupigania haki za watu

    Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio wanasiasa. Kwa ujasiri aliona na utayari mkubwa alinao wa kubeba gharama ya hii kazi hata ikibidi kwa...
  6. Digaller

    JamiiForums Tanzania Wakati washambuliaji walipoteka Eneo takatifu la Waislamu

    Siku ya tarehe 20 Novemba 1979. Ilikuwa ni tarehe ya kwanza ya Muharram. Msikiti mkubwa zaidi wa Makka ulijaa mahujaji wa Pakistani, Indonesia, Morocco na Yemen pamoja na wenyeji. Katika umati huu wa watu pia kulikuwa na waasi, ambao walivaa nguo nyekundu zilizofunika vichwa vyao. Baadhi yao...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

    Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's 👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
  8. flank

    JamiiForums Tanzania Ni mwiko kufagia wakati maiti iko ndani,kufanya hivyo ni kujipunguzia muda wa kuishi.

    Mh! Mbona unaingia Kwa lazima? 😂
  9. D

    JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa huyu askari wakati wa uchaguzi jana kitampunguzia ari ya kipolisi maisha yake yote

    Ni katika kituo cha kupigia kura Mivumoni madale Majira ya asubuhi vituo vinafunguliwa! Polisi wanawathili kwa ajili kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao (kura zao) Masanduku ya kura yakaandaliwa na kupangwa kwa ajili ya upigaji kura! Wasimamizi wa uchaguzi (walimu ) wakiwa...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigamboni: Mawakala wa CHADEMA walalamika kutokuapishwa hadi sasa wakati Mawakala wa CCM wakiendelea na mchakato huo

    Wakuu, Wakati taifa likiwa linajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi kesho, maalamiko ya uonevu kutoka CHADEMA na vyama vingine yameendelea kupamba moto Huko Mjimwema, Kigamboni Mawakala wa CHADEMA wameripotiwa kukumbana na changamoto ya kutokuapishwa. Siku ya jana mawakala hao walipoenda mapema...
  11. GANJIBHAAI

    JamiiForums Tanzania Ifike wakati haya mashirika yetu ya nyumba yaanze kununua maeneo ambayo ni prime kwenye miji yetu

    Kwa vile mimi simjuaji naomba kuuliza, hivi kuna utaratibu Mashirika yetu ya nyumba kununua maeneo mapya kwa ajili ya kuyaendeleza? Na kama ndio hawawezi kununua Kinondoni,Magomeni Mwananyamala, Nearby Airport na maeneo mengine ambayo ni prime kwa utaratibu mzuri? Build Vertical Residence...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Safari ya Malezi Bora wakati huu wa likizo

    Wakati wa likizo ni fursa ya kipekee kwa mzazi au mlezi kujenga uhusiano bora na mtoto. Huu ni muda wa kumfundisha ujuzi muhimu kama vile usafi, kupika, kuogelea, au hata kutembelea maeneo ya kufurahisha. Mbali na hilo, likizo ni wakati wa kuonesha upendo kwa mtoto wako, kumfundisha kujieleza...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mumeo/mkeo akisema usimsumbue wakati wa tendo, jiongeze mpendwa

    Knakutana na haya mambo yanajirudia kwenye ndoa hasa wakati wa tendo la ndoa Mwenzio anakujibu Uinigusee Nimechoka Sijisikii Niamshe baada ya masaa mawili Nanmengineyo kama una la kuongeza tujuzane Kama unakutana haya ndugu jiongeze mapema kabisa kwa usalama wako Hapo ndoa Ishanzaa kutetema...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Naamini kuna jambo linakuumiza akili wakati huu

    Sijui nini unachopitia wakati huu lakini naamini una jambo linakuumiza akili na moyo ongea na Mungu wako akutue huo mzigo wa maumivu haustahili kuendelea kuteseka kama ni kujifunza tayari umeshahitimu, Nikutakie USIKU MWEMA.
  15. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu: Nili-restore simu, Sasa wakati naingiza email kujiunga tena imekwama

    Hii email ni muhimu maana ndio naendesha blog,website na mambo mengine mengi ya kibiashara. Niliweka 2 step verification,Sasa inadai inatuma notification nibonyeze yes lakini haiji notification yoyote na mbaya zaidi hizo njia zingine kama passkey Sina access nayo ,na hata namba ya simu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wajibu wa Wadau wa Uchaguzi wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    1. Jeshi la Polisi 2. Vyama vya Siasa - 3. Wananchi - 4. Msimamizi wa Uchaguzi Chanzo: TAMISEMI 2024
  17. Logikos

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Mozambique (Msumbuji), Je ni Wakati wa kutoa hii AK 47

    Hapana haujakosea hio ni bendera ya nchi na hio ni AK 47 ikiwa na Jembe..., Ndio naelewa kwamba kuna kipindi walikuwa wanapigania Mapinduzi / Uhuru hio AK ilikuwa na kazi mahususi je wakati haujafika kubadilisha hio AK na kuweka angalau kalamu iendane na hicho kitabu ? Clothes Make the...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unapojijua wewe ni mchepuko, tulia kwa nafasi yako. Kiherehere cha kutaka kurasimisha ili iweje sasa?

    Mara mbona uniweki status, mara meseji za uko wapi sasa hivi, mara mbona haunipigii mara kwa mara, mara mtoto wangu anaumwa, mara kodi ya nyumba inakata kesho (kwani ulikuwa unaishije kabla yangu👽).
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ni dharau kubwa Kiongozi wa Taifa letu kutoa risala huko Brazil wakati wanaotakiwa kusikiliza wanaendelea na shughuli za kupakua chakula

    Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio, Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula, Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo...
  20. Magical power

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na inapendana

    Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na inapendana. Yawezekana hao uwaonao leo wanapendana sana kuna mahala upendo wao ulipuuzwa mahala na waliumizwa Kwasababu mapito yenye maumivu hayaondoi thamani ya mtu sahihi. Hata kama umeumizwa sana, endelea kuwa mtu sahihi, mali safi...
Back
Top Bottom